Suala la bandari lina harufu ya chuki

Suala la bandari lina harufu ya chuki

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Inafahamika kuwa bandari zetu zinatoa huduma hafifu sana kwa wateja wake wanaozitegemea kwa huduma.

Inafahamika kuwa bandari zetu hazitoi mapato yanayokusudiwa kwa taifa kwasababu mbalimbali zikiwemo zile za:

1. Ukosefu wa utaalam wa kuendesha bandari.

2. Ukosefu wa vifaa vya vya kisiasa vya kuhudumia bandari.

3. Usimamizi mbovu wa bandari.

4. Upigaji mkubwa bandarini.

5. Uwezo mdogo wa meli kubwa na nyingi kutia nanga.

6. Wizi mkubwa bandarini.

Bandari zetu zinahudumia nchi nyingi zinazotuzunguuka ambazo hazina bandari tangu wakati wa ukoloni hadi Leo hii. Huduma ni mbovu sana tangu enzi hizo lakini hakuna mtu aliyewahi kuandamana kupinga huduma mbovu zinazotolewa hata pale wateja wa bandari zetu wanapolalamikia huduma mbovu na wizi hadi kutishia kutuhama. Ubovu huu ulikuwepo kwenye awamu zote za uongozi.

Nikizitizama sura na majina ya wanaotaka kuandamana kupinga bandari isikodishwe kwa DP World kampuni kutoka Dubai wengi wana harufu ya wale waliokuwa wakinufaika na ulegelege wa usimamizi wa bandari, wangetaka status quo bandarini pale, na ni wale wale wanaopinga kila kitu Cha uarabuni. Yaani kule uarabuni hakuna zuri lolote zaidi ya dini yao.

Hivi ni kweli tatizo la mkataba ni kukosekana ukomo wa muda TU? Mbona hata kwenye mkataba wa ndoa hakuna muda lakini wanandoa wanaachana na kutengana pia? Je, kama ukomo utawekwa mkataba utakuwa halali?

Ujinga kama huu ndio unawafanya watawala kuwa madikteta hata kama hawataki kuwa hivyo kwa watu wake. Yaani mtu Yuko radhi hali iwe hivyo hivyo kwa maslahi yake na kundi lake TU. Katiba yetu inamruhusu Rais kuwa dikteta kama akipenda aina hiyo ya leadership style.

Wako watu wanaopinga mkataba kwa sababu za kweli, wengine ujinga TU, wengine kwa wivu wa awamu ya 6 kufanikisha, wengine kwa maslahi yao TU na wengine kwasababu za kidini TU.

Hao tunaowapa bandari yetu lazima tuwape malengo na indicators ili wakifanye kile tunachokusudia kutoka kwao, na ni nini Chakufanya na kutokea (consequences) kama malengo yanakwenda kinyume na expectations, Lakini sio kupinga uwekezaji huu.
 
Hebu tueleze tutapata manufaa yapi ? Kwa hao DP World
Manufaa ni ufasini na mapato wa bandari kuliko ilivyo Sasa. Sasa hivi wateja wetu wanalalamika kila wakati kuwa mizigogo Yao inachelewa na inaibiwa bandarini lakini hatuna Cha kufanya. Sasa Mama Samia amekuja na kitu Cha kufanya watu tuache kulalama prematurely.
 
Hayo manufaa yamefungamanishwa kwenye kifungu gan cha mkataba?

Yaani kuna pahala kwenye mkataba kumewekwa hizo targets? Na hatua za kuchukuliwa ikiwa hawajameet hizo targets?

HALAFU KWANINI BANDARI ZOTE???

PIA, KWANINI TUSIPATE MANUFAA HAYO PANDE ZOTE ZA MUUNGANO???
 
Au ndio wanamkwepa mchina n bandari yake ya bagamoyo aliotaka kujenga na kuisimamisha hii ya Dar. Hili nalo mlitazame
 
Inafahamika kuwa bandari zetu zinatoa huduma hafifu sana kwa wateja wake wanaozitegemea kwa huduma.

Inafahamika kuwa bandari zetu hazitoi mapato yanayokusudiwa kwa taifa kwasababu mbalimbali zikiwemo zile za:

1. Ukosefu wa utaalam wa kuendesha bandari.

2. Ukosefu wa vifaa vya vya kisiasa vya kuhudumia bandari.

3. Usimamizi mbovu wa bandari.

4. Upigaji mkubwa bandarini.

5. Uwezo wa meli kubwa na nyingi kutia nanga.

6. Wizi mkubwa

Bandari zetu zinahudumia nchi nyingi zinazotuzunguuka ambazo hazina bandari tangu wakati wa ukoloni hadi Leo hii. Huduma ni mbovu sana tangu enzi hizo lakini hakuna mtu aliyewahi kuandamana kupinga huduma mbovu zinazotolewa hata pale wateja wa bandari zetu wanapolalamikia huduma mbovu na wizi hadi kutishia kutuhama. Ubovu huu ulikuwepo kwenye awamu zote za uongozi.

Nikizotizama sura na majina ya wanaotaka kuandamana kupinga bandari isikodishwe kwa DP World kampuni kutoka Dubai Wana harufu ya wale waliokuwa wakinufaika na ulegelege wa usimamizi wa bandari, wangetaka status quo bandarini pale na ni wale wale wanaopinga kila kitu Cha uarabuni. Yaani kule uarabuni hakuna zuri lolote zaidi ya dini zao.

Hivi ni kweli tatizo la mkataba ni kukosekana ukomo wa muda TU? Mbona hata kwenye mkataba wa ndoa hakuna muda lakini wanandoa wanaachana na kutengana pia? Je, kama ukomo utawekwa mkataba utakuwa halali?

Ujinga kama huu ndio unawafanya watawala kuwa madikteta hata kama hawataki kuwa hivyo kwa watu wake. Yaani mtu Yuko radhi hali iwe hivyo hivyo kwa maslahi yake na kundi lake TU.

Wako watu wanaopinga mkataba kwa sababu za kweli, wengine ujinga TU, wengine kwa wivu wa awamu ya 6 kufanikisha, wengine kwa maslahi yao TU na wengine kwasababu za kidini TU.

Hao tunaowapa bandari yetu lazima tuwape malengo na indicators ili kufanya kile tunachokusudia kutoka kwao ni nini Cha kufanya kama malengo yanakwenda kinyume na expectations, Lakini sio kupinga uwekezaji huu.
Hebu tueleze athari za kiusalama kwa kuwapa bandari DP WORLD. Vilevile tueleze athari za kiuchumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo manufaa yamefungamanishwa kwenye kifungu gan cha mkataba?

Yaani kuna pahala kwenye mkataba kumewekwa hizo targets? Na hatua za kuchukuliwa ikiwa hawajameet hizo targets?

HALAFU KWANINI BANDARI ZOTE???

PIA, KWANINI TUSIPATE MANUFAA HAYO PANDE ZOTE ZA MUUNGANO???
Akikujibu, nijulishe mkuu

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Hebu tueleze tutapata manufaa yapi ? Kwa hao DP World
TPA inayoendeshwa na nyie waswahili inaingiza gross income bilioni 768 per year na inatumia bilioni 719 kujiiendesha, at the end inapeleka gross profit bilioni 49, ticts aliyepewa kusimamia sehemu ndogo ya bandari pamoja na ubabaishaji mkubwa lkn anapeleka serikalini bilioni 300, unaambiwa DP world anaenda kuongeza mapato ambayo yatachangia asilimia 57 ya bajeti ya serikali, asa Kwa makubwa hayo yajayo watz Mungu atupe nini tena?
 
Hebu tueleze athari za kiusalama kwa kuwapa bandari DP WORLD. Vilevile tueleze athari za kiuchumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ye hajaanza kufanya hivyo, msaidie wewe kwanza kwa kumuelewesha athari za kiuchumi na kiusalama tuzipatazo kutoka kwa wawekezaji wa madini na gesi ambao ndege zao hutua hukohuko moja kwa moja na kuondokea hukohuko porini. Ukimaliza bila shaka nae atakuwa tayari amepata point
 
Manufaa ni ufasini na mapato wa bandari kuliko ilivyo Sasa. Sasa hivi wateja wetu wanalalamika kila wakati kuwa mizigogo Yao inachelewa na inaibiwa bandarini lakini hatuna Cha kufanya. Sasa Mama Samia amekuja na kitu Cha kufanya watu tuache kulalama prematurely.
Kweli kabisa ni chuki na hila za wakenya tu
 
Hayo manufaa yamefungamanishwa kwenye kifungu gan cha mkataba?

Yaani kuna pahala kwenye mkataba kumewekwa hizo targets? Na hatua za kuchukuliwa ikiwa hawajameet hizo targets?

HALAFU KWANINI BANDARI ZOTE???

PIA, KWANINI TUSIPATE MANUFAA HAYO PANDE ZOTE ZA MUUNGANO???
Msomi huyoooo anahoji!🤭🤭🤭🤭
 
Kwanini wakwepe kuingiza bandari za Zanzibar wakati bandari ni swala la Muungano.
Kwani Zanzibar nao hawataki kunufaika na hao wawekezaji?
 
Back
Top Bottom