Suala la bandari lina harufu ya chuki

Suala la bandari lina harufu ya chuki

Yaani baada ya kujua kusoma na kuandika ukagundua kwamba Zanzibar haihitaji Bandari zake ziwe na Ufanisi. Pia hizo Nchi Sita zinahudumiwa hata na Bandari za Mbambabay, Kigoma na Mwanza.
Jiendeleze kiongozi kuepuka aibu ndogondogo.
Sikiliza majibu haya hapa
 
Attachments

  • WAZIRI MBARAWA - 'BANDARI ya ZANZIBAR WALISHASAINI MKATABA SIKU NYINGI', AWA.mp4
    18.7 MB
Kwanini wakwepe kuingiza bandari za Zanzibar wakati bandari ni swala la Muungano.
Kwani Zanzibar nao hawataki kunufaika na hao wawekezaji?
Bandari za Zanzibar nizakupokelea tende TU mwezi mtukufu, na hata hizo tende zenyewe zinashukia pale na kuletwa Tanganyika. Ndio maana bidhaa za Zanzibar zilikuwa zinatozwa ushuru tena zinapoinguzwa bara. Nani anakwenda Zanzibar kufungasha nini.
 
Kwa hiyo wewe una akili kuliko waliowekwa bandari kuwa swala la Muungano, kama bandari zao za kupokelea tender kwanini wanahangaika na bandari za Tanganyika?
 
Hivi ni kweli tatizo la mkataba ni kukosekana ukomo wa muda TU? Mbona hata kwenye mkataba wa ndoa hakuna muda lakini wanandoa wanaachana na kutengana pia? Je, kama ukomo utawekwa mkataba utakuwa halali?
Umeandika vizuri huko juu kote lakini kuanzia paragraph hiyo hapo ndio nimeanza kuona hoja zako hazina msingi madhubuti.

Usifananishe mkataba wa nchi na ndoa zinazofungwa na kuvunjwa pindi mume au mke anapotaka.
 
Pointi YAKO ni dhaifu unapo Potezea Suala la Muda katika Mkataba. Na pia ni dhaifu zaidi Sana unapolinganisha ndoa za mikataba ya kiserkali za Dunia , na ndoa za kiimani za kidini.

Cha Msingi Cha kujiuliza ,> Kwanini Tusiziendeshe sisi wenyewe kwakuwa wataalamu wapo.
Wanachokwepa serikali ni kuimarisha usimamizi bandarini >>> Inawezekana Kabisa mfupa huu UMEWASHINDA.
Kama mfupa ni mgumu kwa awamu hii ya SITA, Basi ni busara wakauacha kusudi wenye meno imara awamu zijazo wautafune kwa ufanisi zaidi.
 
Inafahamika kuwa bandari zetu zinatoa huduma hafifu sana kwa wateja wake wanaozitegemea kwa huduma.

Inafahamika kuwa bandari zetu hazitoi mapato yanayokusudiwa kwa taifa kwasababu mbalimbali zikiwemo zile za:

1. Ukosefu wa utaalam wa kuendesha bandari.

2. Ukosefu wa vifaa vya vya kisiasa vya kuhudumia bandari.

3. Usimamizi mbovu wa bandari.

4. Upigaji mkubwa bandarini.

5. Uwezo wa meli kubwa na nyingi kutia nanga.

6. Wizi mkubwa

Bandari zetu zinahudumia nchi nyingi zinazotuzunguuka ambazo hazina bandari tangu wakati wa ukoloni hadi Leo hii. Huduma ni mbovu sana tangu enzi hizo lakini hakuna mtu aliyewahi kuandamana kupinga huduma mbovu zinazotolewa hata pale wateja wa bandari zetu wanapolalamikia huduma mbovu na wizi hadi kutishia kutuhama. Ubovu huu ulikuwepo kwenye awamu zote za uongozi.

Nikizotizama sura na majina ya wanaotaka kuandamana kupinga bandari isikodishwe kwa DP World kampuni kutoka Dubai Wana harufu ya wale waliokuwa wakinufaika na ulegelege wa usimamizi wa bandari, wangetaka status quo bandarini pale na ni wale wale wanaopinga kila kitu Cha uarabuni. Yaani kule uarabuni hakuna zuri lolote zaidi ya dini zao.

Hivi ni kweli tatizo la mkataba ni kukosekana ukomo wa muda TU? Mbona hata kwenye mkataba wa ndoa hakuna muda lakini wanandoa wanaachana na kutengana pia? Je, kama ukomo utawekwa mkataba utakuwa halali?

Ujinga kama huu ndio unawafanya watawala kuwa madikteta hata kama hawataki kuwa hivyo kwa watu wake. Yaani mtu Yuko radhi hali iwe hivyo hivyo kwa maslahi yake na kundi lake TU.

Wako watu wanaopinga mkataba kwa sababu za kweli, wengine ujinga TU, wengine kwa wivu wa awamu ya 6 kufanikisha, wengine kwa maslahi yao TU na wengine kwasababu za kidini TU.

Hao tunaowapa bandari yetu lazima tuwape malengo na indicators ili kufanya kile tunachokusudia kutoka kwao ni nini Cha kufanya kama malengo yanakwenda kinyume na expectations, Lakini sio kupinga uwekezaji huu.
Upinzani mkubwa wa huu mradi ni majirani zetu Kenya wanaoumia kuona Tanzania inakwenda kuwa na bandari ya kisasa, cha kushangaza na kuchekesha ni kuona watanzania wenzetu wakiongea ujinga mwingi kwa nia tu ya kufanya kazi ya kupinga mradi pengine bila ya kujua kuwa wanawarahisishia kazi wapinzani wetu wa kiuchumi wa kaskazini.

Huu sio mradi ulioanza kufikiriwa jana wala juzi ni tangu 2015 wakati SGR ilipoanza kujengwa, ukitaka kujua nchi hii imejaa wapuuzi kumbuka namna JPM alivyopingwa ule mpango wake wa kukopa pesa ili kujenga reli, leo hii inakaribia kumalizika wanakuja na hoja nyingine za kisiasa za kupinga mradi wa bandarini.

Wanashindwa kuoanisha ukarabati mkubwa wa SGR na huu mradi wa DP World, wanashindwa kuoanisha mradi huu wa Dubai na kile kinachoendelea Rwanda chenye baraka ya Mzalendo Paul Kagame.

Ndio hapa inapoibuka akili ya kawaida tu, wanasema SSH kauza nchi kwa waarabu, na Kagame nae aliyewapokea hawa waarabu na yeye kauza nchi yake?.

Tuna ujinga mwingi sana watanzania, mambo ya kuyapa kipaumbele tunayachukulia kwa masihara na mambo ya kufanyia masihara tunayapa kipaumbele.
 
Inafahamika kuwa bandari zetu zinatoa huduma hafifu sana kwa wateja wake wanaozitegemea kwa huduma.

Inafahamika kuwa bandari zetu hazitoi mapato yanayokusudiwa kwa taifa kwasababu mbalimbali zikiwemo zile za:

1. Ukosefu wa utaalam wa kuendesha bandari.

2. Ukosefu wa vifaa vya vya kisiasa vya kuhudumia bandari.

3. Usimamizi mbovu wa bandari.

4. Upigaji mkubwa bandarini.

5. Uwezo wa meli kubwa na nyingi kutia nanga.

6. Wizi mkubwa

Bandari zetu zinahudumia nchi nyingi zinazotuzunguuka ambazo hazina bandari tangu wakati wa ukoloni hadi Leo hii. Huduma ni mbovu sana tangu enzi hizo lakini hakuna mtu aliyewahi kuandamana kupinga huduma mbovu zinazotolewa hata pale wateja wa bandari zetu wanapolalamikia huduma mbovu na wizi hadi kutishia kutuhama. Ubovu huu ulikuwepo kwenye awamu zote za uongozi.

Nikizotizama sura na majina ya wanaotaka kuandamana kupinga bandari isikodishwe kwa DP World kampuni kutoka Dubai Wana harufu ya wale waliokuwa wakinufaika na ulegelege wa usimamizi wa bandari, wangetaka status quo bandarini pale na ni wale wale wanaopinga kila kitu Cha uarabuni. Yaani kule uarabuni hakuna zuri lolote zaidi ya dini zao.

Hivi ni kweli tatizo la mkataba ni kukosekana ukomo wa muda TU? Mbona hata kwenye mkataba wa ndoa hakuna muda lakini wanandoa wanaachana na kutengana pia? Je, kama ukomo utawekwa mkataba utakuwa halali?

Ujinga kama huu ndio unawafanya watawala kuwa madikteta hata kama hawataki kuwa hivyo kwa watu wake. Yaani mtu Yuko radhi hali iwe hivyo hivyo kwa maslahi yake na kundi lake TU.

Wako watu wanaopinga mkataba kwa sababu za kweli, wengine ujinga TU, wengine kwa wivu wa awamu ya 6 kufanikisha, wengine kwa maslahi yao TU na wengine kwasababu za kidini TU.

Hao tunaowapa bandari yetu lazima tuwape malengo na indicators ili kufanya kile tunachokusudia kutoka kwao ni nini Cha kufanya kama malengo yanakwenda kinyume na expectations, Lakini sio kupinga uwekezaji huu.
Kwa sababu hizo 6 ulizozitoa naona hata ikulu tuikodishe
 
Kwa hiyo wewe una akili kuliko waliowekwa bandari kuwa swala la Muungano, kama bandari zao za kupokelea tender kwanini wanahangaika na bandari za Tanganyika?
Wanaohangaika na bandari za Tanganyika ni serikali ya Tanzania chini ya Rais mtanzania Mama Samia na bunge la Tanzania chini ya spika ambae ni mtanzania pia. Nchi yetu ni ya muungano hivyo tulieni mnyolewe.
 
Pointi YAKO ni dhaifu unapo Potezea Suala la Muda katika Mkataba. Na pia ni dhaifu zaidi Sana unapolinganisha ndoa za mikataba ya kiserkali za Dunia , na ndoa za kiimani za kidini.

Cha Msingi Cha kujiuliza ,> Kwanini Tusiziendeshe sisi wenyewe kwakuwa wataalamu wapo.
Wanachokwepa serikali ni kuimarisha usimamizi bandarini >>> Inawezekana Kabisa mfupa huu UMEWASHINDA.
Kama mfupa ni mgumu kwa awamu hii ya SITA, Basi ni busara wakauacha kusudi wenye meno imara awamu zijazo wautafune kwa ufanisi zaidi.
Labda useme tuiondoe CCM madarakani kwanza ili tuone wengine wataendeshaje bandari, Lakini Miaka 62 ya Uhuru chini ya awamu tofauti hali ya bandari sio nzuri pamoja na kuwa tegemeo kwa nchi nyingi kupitisha bidhaa zao. Kama wengine wamebinafsisha mashirika ya umma, viwanja, migodi na hata nyumba za serikali, kwanini Samia ashindwe kubinafsisha bandari? au unaongelea ubaguzi wa utanzania bara na uvisiwani?
 
Wanaohangaika na bandari za Tanganyika ni serikali ya Tanzania chini ya Rais mtanzania Mama Samia na bunge la Tanzania chini ya spika ambae ni mtanzania pia. Nchi yetu ni ya muungano hivyo tulieni mnyolewe.
Kila kitu kina mwanzo na mwisho ni swala la muda nchi ya Tanganyika kurudi CCM wamewadanganya watanganyika muda mrefu kwa Muungano usio na kichwa Wala miguu ila Sasa hivi wamesahafunguka na zile propaganda za udini wameshazing'amua
 
Mpaka Leo hii bado hujaona faida za muungano? Wakati wengine wanahangaika kutengeza BRICS wawe wengi wewe unahangaika kutengeneza Tanganyika. Akili kweli ni mali, asikudanganye mtu.
 
kavulata na King Nkondo kampeni mnazopiga ni kwamba mkataba huu ukubalike kama ulivyo???

Embu lihurumieni taifa lenu bana. Jaribuni kufikiria wajukuu zenu na vizazi vyenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sisemi ubaki kama ulivyo lakini sisemi ni vibaya bandari yetu kuendeshwa kisasa kabisa katika sprit ya win-win. Mkataba lazima uwe na component ya win-win kwa pande zote, mwekezaji yeyote anataka kuhakikishiwa usalama wa mtaji wake kwa 100%. Wewe unaonaje kupewa mkataba wa miaka 20 TU huku ukikusudia kuwekeza ma trillions ya Dolla kwenye mradi. Hata pale mlimani city Kuna watu walikuwa na mawazo finyu sana wakati mwekezaji anapewa mkataba wa kujenga na kufanya biashara pale. Lilikuwa pori Sasa ni eneo maarifu na chuo kikuu Cha DSM kinavuna pesa.
 
Hayo manufaa yamefungamanishwa kwenye kifungu gan cha mkataba?

Yaani kuna pahala kwenye mkataba kumewekwa hizo targets? Na hatua za kuchukuliwa ikiwa hawajameet hizo targets?

HALAFU KWANINI BANDARI ZOTE???

PIA, KWANINI TUSIPATE MANUFAA HAYO PANDE ZOTE ZA MUUNGANO???
Hapa ndipo shida inapoanzia na wengi wanaopinga wanapinga kwa ukasuku tu. Sasa IGA ikaweke targets tena? Kwani mnapoambiwa kutakuwa na mikataba ya utekelezaji kwani mnaelewa vipi nyie watu? Yes, opportunities ni kwa bandari zote kutokana na business operations ya DP World ambayo inaweza kuhitaji ports integration or networking models.

Bandari ni suala la Muungano kwenye context ya ulinzi na usalama kwani Bandari ni border kitafsiri ila katika uendeshaji na management Zanzibar wana structure yao. Lakini pia katika hali ya kawaida hata kama wewe ndo ungekuwa ndio investor, Bandari ya Zanzibar utaifanyia nini? Ili usifanyie nini? Definitely haina manufaa yoyote ya kiuwekezaji.
 
Kwani Zanzibar hapana wakazi ambao watapokea mizigo kupitia bandari? Yaani bandari ya ziwa Manyara iwe na faidia afu ya Zanzibar isiwe na faida?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sisemi ubaki kama ulivyo lakini sisemi ni vibaya bandari yetu kuendeshwa kisasa kabisa katika sprit ya win-win. Mkataba lazima uwe na component ya win-win kwa pande zote, mwekezaji yeyote anataka kuhakikishiwa usalama wa mtaji wake kwa 100%. Wewe unaonaje kupewa mkataba wa miaka 20 TU huku ukikusudia kuwekeza ma trillions ya Dolla kwenye mradi. Hata pale mlimani city Kuna watu walikuwa na mawazo finyu sana wakati mwekezaji anapewa mkataba wa kujenga na kufanya biashara pale. Lilikuwa pori Sasa ni eneo maarifu na chuo kikuu Cha DSM kinavuna pesa.
Sikikizeni nafsi zenu vzr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Zanzibar hapana wakazi ambao watapokea mizigo kupitia bandari? Yaani bandari ya ziwa Manyara iwe na faidia afu ya Zanzibar isiwe na faida?

Sent using Jamii Forums mobile app
Usichanganye sasa na kuwa mpole. Kwanza jielemishe kwani ports zimewekwa kwa ujumla wake. Ni wazi kwamba sio kila Bandari ataenda kuweka huo uwekezaji, no. Ports integration ndio itabainisha Bandari ili na ipi inahitajika mfumo wa uendeshaji wa kisasa.

Zanzibar yenye watu milioni moja ndio ukalinganishe Tanzania Bara+7 countries ambayo inakuwa uhakika wawatu takribani milioni 400?
 
Kuna tatizo gan kuuweka wazi mkataba? kwann unaweka blanket la all opportunities ? kwani utajuaje kama kutatokea fursa upande Zanzibar siku za baadaye? Acheni kutufanya wajinga. CCM itaondolewa na hiki kitu, Muungano utavunjwa na hili suala. Acheni kampeni hizi hazitawasaidia karekebishane mkataba uwe wa maslahi kwa taifa basi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka Leo hii bado hujaona faida za muungano? Wakati wengine wanahangaika kutengeza BRICS wawe wengi wewe unahangaika kutengeneza Tanganyika. Akili kweli ni mali, asikudanganye mtu.
Hakuna Muungano wa changuchangu Cha kwako Cha wote.
Walioanzisha Muungano walikuwa na ndoto ya Muungano wa nchi Moja ndio maana Karume alimwambia Nyerere wewe kuwa rais na Mimi makamu tuwe nchi Moja,l lakini Nyerere hakuwa na haraka alitaka vizazi vikacho vikiona faida ya Muungano vije kudai serikali Moja lakini upande mmoja unajiona wao ni waarabu na kuamua kuiuza Tanganyika kwa waarabu.
Hata Nyerere angekuwepo angevunja huu Muungano kwani tuliungana na WA Zanzibar na sio hao waarabu.
 
Back
Top Bottom