Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Mzee Mohamed Said unapoelekea utakuwa na roho/siha ya kigaidi aliyekuwa sheikh Ilunga..
Mungu akusaidie usifike huko
Mungu akusaidie usifike huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Van...
Unataka nikujibu kama utakavyo wewe?
Hili mbona haliwezekani?
Binadamu tumeghitililafiana katika kuwaza.
Wala sikimbilii kwa yoyote awaye yule.
Huo ndiyo msingi wa kuelewa vipi wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika hatukuwaona TEC na mfano wa TEC au Mtikila na mfano wa Mtikila.
Hapo ni wewe kujiuliza kwa nini hawakuwapo katika harakati za kupigania uhuru?
Kitu kikubwa katika kalamu yangu ni kule kukupeni historia ambayo nyinyi hamkupata hata siku moja kuisikia ikisomeshwa si shule ya msingi, sekondari na vyuoni.
Kwengine ninapoalikwa kuzungumza maswali nipatayo ni tofauti sana na maswali nipokeayo hapa.
Hapa historia hii inawakasirisha.
Huko kwengine historia hii inawashangaza.
Mathalan wataniuliza inakuwaje Idara ya Historia Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam na katika vyuo vikuu vingine havijaweza kutafiti na kuandika historia hii?
Wananiuliza kuhusu mashujaa waliopigania uhuru wa Tanganyika baada ya mimi kuandika historia zao kimetokea nini?
Wametambuliwa na juhudi zimefanywa kusomesha historia hii?
Hawanishutumu kwa udini.
Hata mimi sikutegemea kabisa uwe na majibu ya maana mzee wangu.Van...
Unataka nikujibu kama utakavyo wewe?
Hili mbona haliwezekani?
Binadamu tumeghitililafiana katika kuwaza.
Wala sikimbilii kwa yoyote awaye yule.
Huo ndiyo msingi wa kuelewa vipi wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika hatukuwaona TEC na mfano wa TEC au Mtikila na mfano wa Mtikila.
Hapo ni wewe kujiuliza kwa nini hawakuwapo katika harakati za kupigania uhuru?
Kitu kikubwa katika kalamu yangu ni kule kukupeni historia ambayo nyinyi hamkupata hata siku moja kuisikia ikisomeshwa si shule ya msingi, sekondari na vyuoni.
Kwengine ninapoalikwa kuzungumza maswali nipatayo ni tofauti sana na maswali nipokeayo hapa.
Hapa historia hii inawakasirisha.
Huko kwengine historia hii inawashangaza.
Mathalan wataniuliza inakuwaje Idara ya Historia Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam na katika vyuo vikuu vingine havijaweza kutafiti na kuandika historia hii?
Wananiuliza kuhusu mashujaa waliopigania uhuru wa Tanganyika baada ya mimi kuandika historia zao kimetokea nini?
Wametambuliwa na juhudi zimefanywa kusomesha historia hii?
Hawanishutumu kwa udini.
Mfalme...ni kitu kibaya na cha huzuni sana kuwa mzee halafu unakuwa huna akili, miaka yote uliyoishi unakuwa haujajifunza, na haujawa na faida.
Mohamedsaid analalamika sana na anaamini waislam wanafelishwa tu kwenye mitihani, amesahau kuwa waalimu wanaofundisha na kusahihisha mitihani ya taifa ni wa dini zote, waislam pia wanasahihisha mitihani ya taifa ambayo huyu mzee anailalamikia. au tuamue siku moja tuwape marks za bure wote, hata waliopata zero.
pili, Zanzibar waalimu wote ni waislam, shule/skuli zao zinafundishwa na waislam, mitihani ya taifa inasahihishwa na waislam, na ni waaminifu kwelikweli marks wanaziweka sahihi, wanashika mkia miaka yote.
shida sio ubongo wa mwanadamu Muislam, shida ni tamaduni, utamaduni wa Muislam umewekwa kiupinzani sana na shule ya elimu dunia kiasi kwamba ukiwawe watu wawili mmoja mwenye utamaduni wa kiislam na mwingine utamaduni wa kikristo, mmoja atamzidi mwenzake kimasomo. ushahidi mzuri angalia wale waislam wasomi, wale ambao hawapotezi muda mrefu kwa mtoto wao kusoma madrasa, mtoto anaanza kusoma chekechea tangu akiwa mdogo anaunganisha primary badala ya kupoteza muda mrefu kumsubject kwenye madrasa na kukariri kuran. angalia nchi kama Uturuki ambako uislam wao sio wa siasa kali, wanajali elimu na hawapotezi muda kwenye mambo ya ajabu hayo. hayo yanawapotezea muda sana.
mwisho, Nyerere ili kuwafurahisha mashehe alinyang'anya shule nyingi sana za wakristo akazifanya za serikali ili tu tufanane, wote tusome. ajabu yake, hapakuwa na shule ya waislam hata moja ya kunyang'anya, wakristo tu ndo walinyang'anywa shule zilizojengwa kwa pesa ya sadaka za wazungu, wala sio pesa ya wabongo. ila hadi leo watu hawaridhiki. wamepewa chuo cha morogoro ili nao basi waonekane, lakin bado wanashindwa kushindana na st. augustine na vyuo vingine vya kikristo ambayo vinapokea hadi watoto wao, na kile cha morogoro kimejaa waislam watupu. lakini bado wanalalamika. hili zee ni mbumbumbu sana na yale mavitabu yake ya kusadikika. na ni mtu hatari kwa taifa hili.
huyu ndiye mzee aliyekuwepo kwenye fujo tangu za mwembechai kipindi kile, na siku zote amekaririwa akiwaita wakristo makafiri na anaamini hatutakiwi kuwa na umoja. kama unabisha sema niweke clip hapa. haya ndio mashetani ya amani ya Tanzania hii.
Vang...Hata mimi sikutegemea kabisa uwe na majibu ya maana mzee wangu.
Insi...Hii inahusiana nini na bandiko #1 mzee kwa kujitoa ufahamu ww ni bingwa
kuwa usijekua na roho ya mauaji kama sheikh ilungaInsi...
Una uhuru wa kuniita upendavyo.
Inside...Mzee Mohamed Said unapoelekea utakuwa na roho/siha ya kigaidi aliyekuwa sheikh Ilunga..
Mungu akusaidie usifike huko
Inside...Hahaaa mkuu hii comment yako mzee kaenda anzishia uzi fb nimecheka kama mwehu🤣🤣
Naomba screenshot mkuu😂😂Hahaaa mkuu hii comment yako mzee kaenda anzishia uzi fb nimecheka kama mwehu🤣🤣
Huyo aliyesema ni mimi katika bandiko#46. Sikusema ufute, nilikushauri ufute nikisisitiza una haki ya kutoa maoni.Leo najibu video anakuja mtu ananiambia nifute majibu yangu yaliyoko JF na tayari mtandaoni yanasomwa.
Hivi ukiwa muislamu ni lazima uwe mjinga? Maana kati ya wajinga 10 basi utakuta 10 ni waislamu!
Najaribu kuumiza kichwa hapa kwamba umeshindwa nini mpaka sasa kujua kama huo utafiti ni sahihi au siyo sahihi maana kwangu kupitia wewe naona mdau yupo sawa maana kwa ulichokuwa umeulizwa pale juu na ulichojibu aisee sijui hata wanao watakuwa wana akili gani kama baba uko hivi.Nguruvi3,
Unajua tofauti kubwa kati yako na mimi ni kuwa wewe uko hapa umeficha jina lako, sura yako na sauti yako.
Mimi niko hapa kwa jina langu halisi, kwa sura na sauti.
Wewe umejificha mimi sijajificha.
Hebu jitokeze ufahamike.
Ryzen,
Utafiti huu wa kati ya wajinga 10 utakuta 10 ni Waislam umeufanyaje ili nami niurudie kuhakikisha matokeo ya utafiti wako.
Nguruvi3,Huyo aliyesema ni mimi katika bandiko#46. Sikusema ufute, nilikushauri ufute nikisisitiza una haki ya kutoa maoni.
''Key word-Ushauri''
Baada ya kupuuza ushauri unaona jinsi ambavyo huwezi kusimama kutetea kile ulichoandika.
1. Nilikujibu, maoni ya Ansbert hayakueleza ukweli au uongo, yaliweka hali ilivyo kutokana na sakata la Ziara.
Alisema ikiwa mwaliko ni wa Serikali au Vatican iulizwe Serikali, akaeleza maongezi na mtu wake, hakusema ni lazima yawe kweli. Nilimalizia kwamba mleta video ana haki ya maoni kama ambavyo wewe unayo pia.
Ulimfungamanisha Msemaji na Ukatoliki, nikahoji ikiwa ni hivyo nawe pia unaongea kwa niaba ya Waislam?
2. Ukaleta hoja ya ' Waarab na DP''. Nilikuuliza kwani Uarabu ni tusi? Mbona tuna Wazungu ! kwanini lisiwe tusi?
Kuhusu DP nikakushauri kama Mfanyakazi mstaafu wa Bandari Tanzania , waeleze Wanaopinga Mkataba kwa vifungu ni wapi wanakosea. Hapa ungesaidia sana una weledi na Bandari. Kusema ni kwasababu Rais ni Mwislam si hoja wala haijibu hoja au kifungu chochote. Waeleze watu Uzuri wa Mkataba kwa hoja
3. Ukazungumzia Chadema na Wakatoliki kama Wapinga Mkataba. Nikakueleza ikiwa wanapinga kwa vifungu, virejee vifungu hivyo uonyeshe hilza zao. Lakini pia kwani ilikuwa ni CDM pekee?
Mbona ACT ya Zitto na CUF ya Lipumba walipinga! Kwanini UNA ushahaulifu wa kuchagua 'selective amnesia''.
4. Nilikuuliza, ikiwa CCM waliungana na Waislam kwa mujibu wako, si hao hao CCM unaowalalamikia kwa madhila ya Waislam kwa miaka 60! Huu uswahiba unaanza wapi na unaishia wapi. Lini Chadema ilitawala sekunde 1 na kuwaletea adha Waislam!
5. Mwisho tukakuuliza imekuwaje Serikali imebadilisha baadhi ya vifungu.
Tulidhani utabaki kwenye mada ukitoa elimu , kwa mshangao tunasoma hadithi za jinsi ulivyokutana na Nyerere( unayemchukia sana), Binti Mwangora, African Event, Mshume, Bwana fulani kutoka Ulaya ukituahca tumeduwaa.
Ikiwa huo ndio uwasilishaji wako na utetezi wa paper, naomba niwe peke yangu nisiyekuelewa!
Rudi kwenye mada, hizi habari nyingine zitengenezee mada tofauti. Usilete hoja halafu unakwepa kwa hadithi
Ushauri ulioupuuza wa kuondoa bandiko ni mzuri! nilidhamiria kukusetiri. Bandiko lipo chini ya kiwango!
Ahsante
Ryzen,Naomba screenshot mkuu😂😂
Saint...Najaribu kuumiza kichwa hapa kwamba umeshindwa nini mpaka sasa kujua kama huo utafiti ni sahihi au siyo sahihi maana kwangu kupitia wewe naona mdau yupo sawa maana kwa ulichokuwa umeulizwa pale juu na ulichojib aisee sijui hata wanao watakuwa wana akili gani kama baba uko hivi.
Chadema sio Taasisi ya dini ata siku moja na haijifungamani na dini yoyote ile.Kinj...
Tatizo la bandari kupewa Waarabu TEC na CHADEMA walisimama upande mmoja.
Sasa si mimi ndiye niliowaunganisha.
Hili la udini angalia wewe mwenyewe na fanya utafiti utajua.
Mkuu Mfalme Sulemani , hili jambo la Waislamu kufeli ilmu dunia niliwahi kuliulizia hapa Inawezekana Vipi Zanzibar Kuna Div I, Div II, na Div III Chache, Ila Div IV na Div Zero Nyingi?!. sasa leo ndio nimepata majibu na kuijua sababu inayochangia.Mohamedsaid analalamika sana na anaamini waislam wanafelishwa tu kwenye mitihani, amesahau kuwa waalimu wanaofundisha na kusahihisha mitihani ya taifa ni wa dini zote, waislam pia wanasahihisha mitihani ya taifa ambayo huyu mzee anailalamikia. au tuamue siku moja tuwape marks za bure wote, hata waliopata zero.
pili, Zanzibar waalimu wote ni waislam, shule/skuli zao zinafundishwa na waislam, mitihani ya taifa inasahihishwa na waislam, na ni waaminifu kwelikweli marks wanaziweka sahihi, wanashika mkia miaka yote.
Rafiki yako mtu wa kujiweza alikuomba picha ya Nyerere na maaskofu? Hiyo maktaba yako ni sehemu ya kanisa? Kwani hakukuomba picha ya Nyerere na Mashek? Hebu punguza udini basi. Husichanganye mambo ya siasa na itikadi za kidini? Inaonyesha huyo rafiki yako ni mnafiki wa kiwango cha hali ya juu. Anawezaje kuomba kitu ilihali anajuwa hauna, alafu anajifanya kupandisha dau?Peace...
Nina rafiki yangu mtu wa kujiweza sana.
Ameondoka Tanzania miaka mingi iliyopita.
Kila akija Tanzania hakosi kunitembelea nyumbani.
Siku alipokuja Maktaba akaniuliza kwa nini hadi leo sijatundika picha ya Mwalimu Julius Nyerere aliyopiga na Baraza la Wazee wa TANU mwaka 1957.
Picha hii yeye katundika ofisini kwake.
Nikamjibu kuwa haijanipitikia kufanya hivyo.
"Mohamed nipatie picha ya Nyerere kapiga na maaskofu wakati wa kupigania uhuru kama alivyopiga na Baraza la Wazee wa TANU nitakupa milioni 1."
Sijaweza kupata picha hii na yeye kila akiniuliza kuhusu picha namjibu sijapata.
Yeye hucheka kisha akapandisha dau juu.
Bei ya picha hii sasa thamani yake inakaribia shilingi za Kitanzania 10m.
Nadhani huyu rafiki yangu anajua kama picha hii haipo ndiyo maana anapandisha dau kila mwaka bila wasiwasi.
Mbussi,Rafiki yako mtu wa kujiweza alikuomba picha ya Nyerere na maaskofu? Hiyo maktaba yako ni sehemu ya kanisa? Kwani hakukuomba picha ya Nyerere na Mashek? Hebu punguza udini basi. Husichanganye mambo ya siasa na itikadi za kidini? Inaonyesha huyo rafiki yako ni mnafiki wa kiwango cha hali ya juu. Anawezaje kuomba kitu ilihali anajuwa hauna, alafu anajifanya kupandisha dau?
Bwana Said, makala zako nyingi ikiwemo hii mada mama ya mwaliko wa Rais huko Vatican unayoihusiyanisha na kufeli kwa TEC na Chadema kwenye mkataba wa bandari, inaonyesha wazi ulivyo mdini. TEC kama taasis inayogusa maisha ya watu na Chadema kama chama cha siasa walikuwa na ubaya gani kuhoji ingredients za mkataba wa hovyo? Ni udini wenu tu uliopelekea kuhisi kwamba wanaupinga ule mkaba kwasababu waliopewa ni Waarabu (Waislam).Mbussi,
Kuna picha maarufu ya Nyerere na Baraza la Wazee wa TANU.
Picha hii haikuwapo popote.
Picha hii aliipata kwangu na akaipenda na ndiyo sababu ya yeye kuniomba nimtafutie picha ya Nyerere na Maaskofu.
Mimi humtania namwambia labda nikupe ya kuchora.
Najua anajua hii picha ya Nyerere na Maaskofu haipo lakini hupenda kunicheza shere.
Wala si suala la unafiki bali maskhara kati ya marafiki wawili.
Ukweli ni kuwa Waislam mchango wao katika kupigania uhuru wa Tanganyika ni wa pekee sana.
Hii ndiyo sababu iliyonisukuma mimi kuandika historia hii.
Huu si udini.
Mchango wa Wakikuyu na Mau Mau katika kupigania uhuru wa Kenya ni wa pekee.
Kuandika historia ya Wakikuyu na mchango wao katika uhuru wa Kenya si ukabila.
View attachment 2888466