Suala la Bandari TEC hawakupata kama walivyozoea

Said, sikatahi mtizamo wako. Inaweza ikawa kweli kwamba wengi tunakusoma kwasababu tunataka kujua kiwango cha chuki za udini mlionao Waislam dhidi ya ukristo hasa Ukatoliki, lakini ushahuri wangu ulilenga uandike makala bila kuingiza ushabiki na chuki za kidini.

Hakuna mtu yoyote ambae alifuta au kupotosha historia ya Waislam na Uislam. Labda nikwambie palipo na shida. Sykes na Waislam wenzake kwa mfano, walianzisha vuguvugu la uhuru kama Watanganyika na siyo kama Waislam. Na Nyerere nae pamoja na waklisto wengine waliungana nao kama Watanganyika siyo kama Wakristo au Wakatoliki. Kilichowaunganisha baba zetu hawa ni dhamira yao ya kutafuta Uhuru wa Tanganyika siyo Imani ya dini zao. Kinachokuuma ni kule kusikia historia inayotambua mchango wa kanisa katoliki kama taasisi kusaidia harakati za Uhuru wa Tanganyika. Na kama Waislam wangefanya hivyo kama taasis nani hangeacha kutambua mchango wao?

Kwa hiyo bwana Said, Mara nyingi ukweli una tabia ya kujipigania wenyewe na hudumu muda mrefu.

Simjibii Sheikh Muhammed Said isipokuwa nilitaka uangalie huyu Kardinali anavyokuambia yaani eti mupepewa jukumu na mungu kuulinda huu muungano ,

Kama Huo si udini ni kitu gani ??

Kardinali Pengo: Muungano si bahati nasibu​

- May 02, 2016

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amewataka waamini na wananchi kwa ujumla kutambua kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar si jambo la bahati nasibu.

Kardinali Pengo ameyasema hayo ofisini kwake hivi karibuni alipoitisha vyombo vya habari vya Kanisa Katoliki kuzungumzia pamoja na mambo mengine ongezeko la Parokia mpya jimboni kwake pamoja na mabadiliko kwa Maparoko na Maparoko Wasaidizi katika baadhi ya Parokia jimboni humo.

Asemema suala la Muungano linapaswa kuchukuliwa kwa uzito wa pekee kwa kila Mtanzania hasa waamini Wakatoliki na kwamba kila mwamini anapaswa kutambua kuwa amepewa jukumu na Mwenyezi Mungu kulinda na kuombea Muungano huo.
 
bwana mohamed said maisha yako yote unaishi kwa hofu kubwa na mashaka moyoni dhidi ya kanisa katoliki takatifu la mitume wa kweli, nafurahi sana kuona kanisa katoliki na wakatoliki wanaishi kichwani kwako bila kodi wala gharama yoyote na pale uwaonapo basi unalipuka kwa hasira hofu na chuki kubwa moyoni mwako.

unataabishwa sana na maendeleo ya kanisa pamoja na taasisi zake kongwe katika nyanja za maendeleo na sio hayo tu bali pia mfumo wa maisha, elimu, sekta za afya, mazingira, fedha na kadharika kubwa zaidi uongozi imara na mahiri kuliko serikali yenyewe, hakika kanisa katoliki na nchi huru ndani ya nchi huru. maisha yako sasa 60+ unaendelea kutaabishwa vilivyo na kasi ya maendeleo ya kanisa, taasisi zake na watu wake. nafurahi sana kuona unaendelea kutaabishwa na wivu, chuki, uongo vilivyo ndani ya moyo wako, sishangai wala? ulizaliwa kanisa ukalikuta na najua utaliacha likinawiri na kushamiri kwa kasi.

kwa jicho lako ovu, nia yako ovu na misimamo yako dhaifu, kwa kila ukionacho kwa wakatoliki basi gere hukujaa na kushamiri usoni mwako. Waislamu wote wanajua kasi ya maendeleo ya kanisa katoliki dhidi ya tutaasisi tuchache tulito tudogo twa waislamu. sisi hatutaabishwi na chochote kutoka kwa waislamu au uislam bali wewe na waovu wenzio wachache mnataabishwa sana na ukristo, wakristo na kanisa katoliki kwa ujumla.

chadema wamepigana miaka kwa miaka kurudisha haki za watanzania zilizoporwa, migodi ya bulyanhuru, north mara, gesi ya mtwara, makaa ya mawe huko kiwira mbeya, rushwa, ubadhirifu, wizi na hujuma mbalimbali serikalini, viongozi wa chadema wamepambana dhidi ya dhurma mbalimbali za viongozi wa serikali na makampuni makubwa yanayoiba rasilimali za Tanzania. kamwe hujawahi kaa kitako kuandika chochote kwa hadua hio ya chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) bali hubinua kinywa chako kiapana tena kichafu kulikaripia kanisa, ukristo, wakristo na viongozi wake.

bahati nzuri sana hutokaa kusikia kanisa limekujibu bali waumini wake tutashughurika nawe mpaka mauti, ni miaka na miaka mijadala yako tunaikabili, kukukabili na kukukumbusha kuwa kanisa linanawiri sana. wakatoliki hatutaabishwi nawe wala uislamu wala waislamu tupo tumejitosheleza kwa kila kitu.

Mwalimu Julius Nyerere alipoka mamia ya taasisi za wakristo na mashirika mengine yaliyo na mafungamano na kanisa ili msomeni. usivyo na aibu unazusha uongo, chuki dhidi yake pamoja na ujivuni wako umesoma na kusomeshwa shule za kanisa leo unaona halina maana bali upuuzi. hakika mzee wewe ni mjinga na mpumbavu duniani. amani tuliyonayo utaiacha kama ilivyo si muislamu wala mkristo wala yoyote alie na uwezo wa kuvunja amani hii na kama yupo amwage hata mkojo aone.
Ingependeza kama focus ingekuwa katika mada husika kuliko kuzielekeza kwa Mohamed Said.
Mjadala wako wote umeelekea kwa Mohamed Said tu, na hakuna sehemu iliyojibu hoja.

Napata tabu sana kujibu andiko lako, kwa vile sipati mawazo yako katika mada husika.
 
Ahsante, ndio maana nilikushauri ufute bandiko #1 kwasababu huwezi kulitetea kwa hoja au mantiki.
Tatizo kubwa la Tanzania na watanzania ni kutokuwa na uvumilivu wa kusikia historia ya Tanzania hasa toka ukoloni mpaka sasa. Na mbaya zaidi ni kwa viongozi kuchagua nini kiandikwe na nini kisiandikwe (haswa ni historia toka 1961 mpaka leo). Hii ni mbaya sana katika kuandika historia ya nchi.

Nguruvi3, kama Mohamed Said aliyoyaandika hayaakisi ukweli katika mada asili, Tafadhali tufafanulie vipengele unavyoviona kakosea.
Na ikikupendeza hapa Jamvini andika upya historia kama unavyoijua wewe katika somo husika. Hapo sote tutafaidika na ni jukumu letu kuamini ya kwako au kuja na fikra mpya.
 
Said, sikatahi mtizamo wako. Inaweza ikawa kweli kwamba wengi tunakusoma kwasababu tunataka kujua kiwango cha chuki za udini mlionao Waislam dhidi ya ukristo hasa Ukatoliki, lakini ushahuri wangu ulilenga uandike makala bila kuingiza ushabiki na chuki za kidini.
Pengine katika uandishi kunaweza kutokea hisia za hapa na pale. Lakini, je maudhui yanaukweli ukiacha hisia za mtoa thread?

Kinachokuuma ni kule kusikia historia inayotambua mchango wa kanisa katoliki kama taasisi kusaidia harakati za Uhuru wa Tanganyika. Na kama Waislam wangefanya hivyo kama taasis nani hangeacha kutambua mchango wao?
Kwa hivyo, kwa maoni yako Waislam hawakufanya hivyo kama Taasisi. Au unalenga nini katika kipengele hiki.
Waingereza husema: Kila kitokeacho, hutokea kwa sababu. Kama katika kusoma kwako historia, hukuona mchango wa waislam pengine kulikuwa na sababu na kusudio.

Kwa hiyo bwana Said, Mara nyingi ukweli una tabia ya kujipigania wenyewe na hudumu muda mrefu
Ukweli unaouzungumzia hapa ni upi?
 
Simjibii Sheikh Muhammed Said isipokuwa nilitaka uangalie huyu Kardinali anavyokuambia yaani eti mupepewa jukumu na mungu kuulinda huu muungano ,

Kama Huo si udini ni kitu gani ??

Kardinali Pengo: Muungano si bahati nasibu​

- May 02, 2016

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amewataka waamini na wananchi kwa ujumla kutambua kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar si jambo la bahati nasibu.

Kardinali Pengo ameyasema hayo ofisini kwake hivi karibuni alipoitisha vyombo vya habari vya Kanisa Katoliki kuzungumzia pamoja na mambo mengine ongezeko la Parokia mpya jimboni kwake pamoja na mabadiliko kwa Maparoko na Maparoko Wasaidizi katika baadhi ya Parokia jimboni humo.

Asemema suala la Muungano linapaswa kuchukuliwa kwa uzito wa pekee kwa kila Mtanzania hasa waamini Wakatoliki na kwamba kila mwamini anapaswa kutambua kuwa amepewa jukumu na Mwenyezi Mungu kulinda na kuombea Muungano huo.
Pengo ni askofu wa wakatoliki ameaddress akiwa kanisani unaitaje udini hivyo unafikiria sawa sawa
 
Simjibii Sheikh Muhammed Said isipokuwa nilitaka uangalie huyu Kardinali anavyokuambia yaani eti mupepewa jukumu na mungu kuulinda huu muungano ,

Kama Huo si udini ni kitu gani ??

Kardinali Pengo: Muungano si bahati nasibu​

- May 02, 2016

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amewataka waamini na wananchi kwa ujumla kutambua kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar si jambo la bahati nasibu.

Kardinali Pengo ameyasema hayo ofisini kwake hivi karibuni alipoitisha vyombo vya habari vya Kanisa Katoliki kuzungumzia pamoja na mambo mengine ongezeko la Parokia mpya jimboni kwake pamoja na mabadiliko kwa Maparoko na Maparoko Wasaidizi katika baadhi ya Parokia jimboni humo.

Asemema suala la Muungano linapaswa kuchukuliwa kwa uzito wa pekee kwa kila Mtanzania hasa waamini Wakatoliki na kwamba kila mwamini anapaswa kutambua kuwa amepewa jukumu na Mwenyezi Mungu kulinda na kuombea Muungano huo.
Kwamwewe, Hayo ni maoni yake binafsi kama Mtanzania mwingine. Na ndiyo maana nimetoa mfano awali kwamba akina Sykes na Waislam wengine walianzisha vuguvugu la kudai Tanganyika huru kama Watanganyika na si kwasababu ya Uislam wao. Hivyohivyo kwa Nyerere na wenzake.

Nakumbuka kipindi fulani Sheikh mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam wa wakati huo alimfananisha RC Makonda na Yesu pamoja na/au mtume Mohammed, huwezi kusema hayo ni maoni ya Waislam wa Dar bali ulikuwa mtizamo wake binafsi.

Kwa hiyo Pengo ana Uhuru wa maoni yake kama Mtanzania mwingine, hisipokuwa angeyatoa kama tamko mfano walivyofanya TEC kwenye saga ya Bandari basi tungesema ni msimamo wa kanisa Katoliki Tanzania.
 
Vilevile bwana Kwamwewe, tofauti na Sheikh aliyetamka akiwa kwenye vikao vya kisiasa, umesema Pengo aliyatamka hayo maneno akiwa kanisani. Kanisani ndiyo dini yenyewe wala huo siyo udini.
 
Pengine katika uandishi kunaweza kutokea hisia za hapa na pale. Lakini, je maudhui yanaukweli ukiacha hisia za mtoa thread?

Kwa hivyo, kwa maoni yako Waislam hawakufanya hivyo kama Taasisi. Au unalenga nini katika kipengele hiki.
Waingereza husema: Kila kitokeacho, hutokea kwa sababu. Kama katika kusoma kwako historia, hukuona mchango wa waislam pengine kulikuwa na sababu na kusudio.

Ukweli unaouzungumzia hapa ni upi?
Zawadi, husinilishe maneno. Hakuna sehemu niliyosema Waislam hawakuwa na mchango wowote. Ni Watanganyika wa dini zote na makabila yote walihusika kupigania Uhuru wa Tanganyika. Tumehamisha mada ya bandiko la Said, lakini ukilisoma bandiko lake la mwaliko wa Rais Vatican lina hisia kali za udini na ni la kichochezi.

Historia ya Tanganyika imeandikwa tangu enzi kabla ya utumwa hadi tulipopata Uhuru. Mzee Said hataki kusiki historia ya mtu anaeitwa Tip tip na biashara ya utumwa. Anataka Waarabu wapambwe kwamba walikuwa watu wema sana, walitujengea misikiti na madrasa. Hataki kusikia habari za Wamissionary wala shule na hospital walizozijenga. Ndiyo maana nikasema ukweli utabaki ukweli.
 
Kwani dini kujitenga na siasa wakati Wa Uhuru lilikiwa ni kosa?? Na waislam kuonekana walianzisha vuguvugu LA Uhuru ndo wanahaki sana kuliko wengine???
 
Zawadi, husinilishe maneno. Hakuna sehemu niliyosema Waislam hawakuwa na mchango wowote. Ni Watanganyika wa dini zote na makabila yote walihusika kupigania Uhuru wa Tanganyika. Tumehamisha mada ya bandiko la Said, lakini ukilisoma bandiko lake la mwaliko wa Rais Vatican lina hisia kali za udini na ni la kichochezi.

Historia ya Tanganyika imeandikwa tangu enzi kabla ya utumwa hadi tulipopata Uhuru. Mzee Said hataki kusiki historia ya mtu anaeitwa Tip tip na biashara ya utumwa. Anataka Waarabu wapambwe kwamba walikuwa watu wema sana, walitujengea misikiti na madrasa. Hataki kusikia habari za Wamissionary wala shule na hospital walizozijenga. Ndiyo maana nikasema ukweli utabaki ukweli.
Nakuunga mkono
 
Kwamwewe, Hayo ni maoni yake binafsi kama Mtanzania mwingine. Na ndiyo maana nimetoa mfano awali kwamba akina Sykes na Waislam wengine walianzisha vuguvugu la kudai Tanganyika huru kama Watanganyika na si kwasababu ya Uislam wao. Hivyohivyo kwa Nyerere na wenzake.

Nakumbuka kipindi fulani Sheikh mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam wa wakati huo alimfananisha RC Makonda na Yesu pamoja na/au mtume Mohammed, huwezi kusema hayo ni maoni ya Waislam wa Dar bali ulikuwa mtizamo wake binafsi.

Kwa hiyo Pengo ana Uhuru wa maoni yake kama Mtanzania mwingine, hisipokuwa angeyatoa kama tamko mfano walivyofanya TEC kwenye saga ya Bandari basi tungesema ni msimamo wa kanisa Katoliki Tanzania.

Hayo maoni ya kulinda anawaambia nani ?? kwani Zanzibar ni mali ya kanisa hata wafuasi wake walinde ??
 
Vilevile bwana Kwamwewe, tofauti na Sheikh aliyetamka akiwa kwenye vikao vya kisiasa, umesema Pengo aliyatamka hayo maneno akiwa kanisani. Kanisani ndiyo dini yenyewe wala huo siyo udini.
Kwani kwenye Biblia imeandikwa mungu aliwaambia wakristo walinde muungano ?? Huu muungano si wa hiari ?? Wazanzibari wakati wote wanasema hawautaki muungano , kwa nini yeye atake kuulinda tena na kumhusisha Mungu ??
 
Tatizo kubwa la Tanzania na watanzania ni kutokuwa na uvumilivu wa kusikia historia ya Tanzania hasa toka ukoloni mpaka sasa. Na mbaya zaidi ni kwa viongozi kuchagua nini kiandikwe na nini kisiandikwe (haswa ni historia toka 1961 mpaka leo). Hii ni mbaya sana katika kuandika historia ya nchi.
Ni kweli unayosema na kwa kuongezea tu Historia haiandikwi bali inawasilishwa. Historia hujiandika yenyewe sisi wanadamu tunainukuu nakuiwakilisha kama ilivyotokea na si kama tunavyodhani
Nguruvi3, kama Mohamed Said aliyoyaandika hayaakisi ukweli katika mada asili, Tafadhali tufafanulie vipengele unavyoviona kakosea.
Na ikikupendeza hapa Jamvini andika upya historia kama unavyoijua wewe katika somo husika. Hapo sote tutafaidika na ni jukumu letu kuamini ya kwako au kuja na fikra mpya.
Mbona umesoma bandiko moja na kufikia tamanati! Nilipomwambia afute bandiko nilikuwa na sababu za msingi na moja ni kumsetiri kwasababu bandiko lipo chini ya viwango. Hebu pitia mabandiko haya #46 ,#47 #54 #60 nakuendela utabaini nimeeleza kwanini afute

Pili, mada si Historia bali yatokanayo na video ya Ansbert Ngurumo ambayo Mohamed ameiweka mwenyewe
Badala ya kujenga hoja, kutetea hoja au kubomoa hoja kwa kutumia Video katika haya hapa chini ameingia kwingine. Hoja ni hizi

1. Ziara ya Rais Vatcan
2. Uarabu na DP
3 Chadema na Ukatoliki, Waislam na CCM

Kinachoshangaza ni kusikia Nyerere, Mtikila , Mwinyi, Mabucha ya Nguruwe, Abdul Sykes n.k. vikitawala mjadala bada ya hoja alizoleta mwenyewe. Sijui kwa wengine mlisoma , kwasisi wenye elimu ya kubabaisha hili linatupoteza, tunashindwa kujua mjadala unahusu nini.

Lakini pia jiulize ikiwa ndio mada imewasilishwa mbele ya kadamnasi halafu hakuna mpangilio wa hoja hiyo si mada ni vurugu.

Nilipomshauri afute bandiko lake, si kwamba linakera, si kwamba lina maudhui mabaya bali nilifahamu hoja ni nyepesi na hawezi kuzijengea hoja, au kuzitetea kwa mantiki .

Ndicho kinachotokea kwamba tunapuyanga kwa Abdul Sykes n.k. hatujali tena mada aliyowasilisha
 
wewe ni nuts yaani umeandika uzi kuhusu Zanzibar na Mungano halafu unajijibu mwenyewe , hata sijui umekuja hapa kufanya nini . Si uanze kufuta lile bandiko lako kwanza
Yes nimeandika sana kuhusu Zanzibar na Muungano na kuanika uozo wake. Watanganyika wamejua mengi
Sikujua kama kuna Wasomaji wengi ukiwemo, nitarejea tena kuendelea.

Mada iliyopo hapa ni kuhusu Video ya Mo na hoja alizotoa.
Kuhusu uwepo wangu hapa ! mbona ni mwenyeji sana miongo mingi tu, Mo anajua !
 
Mbona umejifungia ndani ya uzi wako hutaki watu wengine wachangie , unaogopa ukweli ? Pumba tupu umejaza kwenye uzi
 
Ni kweli unayosema na kwa kuongezea tu Historia haiandikwi bali inawasilishwa. Historia hujiandika yenyewe sisi wanadamu tunainukuu nakuiwakilisha kama ilivyotokea na si kama tunavyodhani

Mbona umesoma bandiko moja na kufikia tamanati! Nilipomwambia afute bandiko nilikuwa na sababu za msingi na moja ni kumsetiri kwasababu bandiko lipo chini ya viwango. Hebu pitia mabandiko haya #46 ,#47 #54 #60 nakuendela utabaini nimeeleza kwanini afute

Pili, mada si Historia bali yatokanayo na video ya Ansbert Ngurumo ambayo Mohamed ameiweka mwenyewe
Badala ya kujenga hoja, kutetea hoja au kubomoa hoja kwa kutumia Video katika haya hapa chini ameingia kwingine. Hoja ni hizi

1. Ziara ya Rais Vatcan
2. Uarabu na DP
3 Chadema na Ukatoliki, Waislam na CCM

Kinachoshangaza ni kusikia Nyerere, Mtikila , Mwinyi, Mabucha ya Nguruwe, Abdul Sykes n.k. vikitawala mjadala bada ya hoja alizoleta mwenyewe. Sijui kwa wengine mlisoma , kwasisi wenye elimu ya kubabaisha hili linatupoteza, tunashindwa kujua mjadala unahusu nini.

Lakini pia jiulize ikiwa ndio mada imewasilishwa mbele ya kadamnasi halafu hakuna mpangilio wa hoja hiyo si mada ni vurugu.

Nilipomshauri afute bandiko lake, si kwamba linakera, si kwamba lina maudhui mabaya bali nilifahamu hoja ni nyepesi na hawezi kuzijengea hoja, au kuzitetea kwa mantiki .

Ndicho kinachotokea kwamba tunapuyanga kwa Abdul Sykes n.k. hatujali tena mada aliyowasilisha

Anza kufuta bandiko lako ulilowazuia watu kuchangia hoja zako Za kipuuzi. Chadema nilikuwa nawaumga mkono sana kabla lakini walipokuja na hoja Za kitoto Za kidini Za DP nimewashtukia kumbe ni mamluki wa Roma
 
Petrol,
Misingi ya umoja iliwekwa tokea mapema wakati wazee wetu hapa Dar es Salaam mwaka wa 1929 wanaunda African Association.

Waasisi walikuwa hawa: Cecil Matola (President), Kleist Abdallah Sykes (Secretary), Mzee bin Sudi, Ibrahim Hamisi, Ali Said Mpima, Zibe Kidasi, Suleiman Majisu, Rawkes Kusi na Rawson Watts.

AA ikawa imetawaliwa na Waislam na wakawa wanapitisha baadhi ya matatizo yao katika AA.

Wazee wetu wakaona hii haifai kwani walataka AA kiwe chama kisichofungamana na imani za wanachama wao.

Wakaamua mwaka wa 1933 kuunda Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika) President akiwa Mzee bin Sudi na Secretary Kleist Abdallah Sykes ili mashauri ya Waislam yapitishwe huko.

Sasa mwaka wa 1950 harakati za kutaka kuunda chama cha siasa.
Msimamo wa Hamza Mwapachu ulikuwa nafasi ya President wa chama hicho awe Mkristo ili chama kichukue sura ya umoja wa Watanganyika wote.

Wakati ule TAA ili ilikuwa imeshikwa na Waislam na Wengine walikuwa wachache sana katika siasa kwa kuwa Kanisa lilijiweka mbali sana na harakati za ukombozi wa Tanganyika.

Historia hii nimeieleza mara nyingi sana hapa.

Hivi ndivyo Julius Nyerere alivyochaguliwa kuwa President wa TAA mwaka wa 1953 katika uchaguzi ulifanyika Arnautoglo Hall Julius Nyerere na Abdul Sykes wakigombea nafasi hiyo.

Hii ni katika historia muhimu ya TANU ambayo Nyerere hakupata kuieleza na matokeo yake ikawa haifahamiki hadi pale kilipochapwa kitabu cha maisha ya Abdul Sykes (1997).

TANU ikaingia kupigania uhuru wa Tanganyika Nyerere akiwa kiongozi wa harakati hizi na nchi ikawa imeshikamana.

Ushahidi ni picha za kupigania uhuru.
Picha zote Nyerere kazungukwa na Waislam wake kwa waume.

Uhuru ukapatikana mwaka wa 1961 nchi ikiwa na umoja.
Nani aliyekuja kutugawa na kuuvunja umoja huu?

Ndugu yangu Petrol,
Unalo jibu?

Unamjua adui huyu?

Angalia picha hizo hapo chini na kwa makusudi sitaweka maelezo ila mwaka wa picha kwani picha zinajieleza zenyewe:

Hekaya za Mohamed Said
 
Back
Top Bottom