Suala la Bandari TEC hawakupata kama walivyozoea

Suala la Bandari TEC hawakupata kama walivyozoea

Hivi ukiwa muislamu ni lazima uwe mjinga? Maana kati ya wajinga 10 basi utakuta 10 ni waislamu!
Ryzen,
Utafiti huu wa kati ya wajinga 10 utakuta 10 ni Waislam umeufanyaje ili nami niurudie kuhakikisha matokeo ya utafiti wako.

Hebu tuangalie hapa chini:

Katika waasisi tisa wa African Association 1929 Dar es Salaam sita ni Waislam: Kleist Abdallah Sykes, Mzee bin Sudi, Ibrahim Hamisi, Zibe Kidasi, Ali Said Mpima na Suleiman Majisu.

Hawa ndiyo waliojenga ile nyumba kilipozaliwa chama cha TANU 1954.
Ujinga wa Waislam uko wapi?

Wajumbe wa TAA Political Sub Commitee 1950 walikuwa saba wanne Waislam na yumo Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan bin Ameir, Sheikh Said Chaurembo, Hamza Mwapachu na Abdul Sykes.

Hawa ndiyo walijenga msingi wa kuunda chama cha TANU kupigania uhuru wa Tanganyika.

Ujinga wa Waislam uko wapi?

Wanachama shupavu wa TANU Dar es Salaam: Sheikh Suleiman Takadir, Jumbe Tambaza, Mshume Kiyate, Mwinyijuma Mwinyikambi, Rajabu Diwani, Makisi Mbwana, Sheikh Haidari Mwinyimvua, Iddi Faizi Mafongo, Idd Tosiri, Sheikh Mohamed Ramia, Iddi Faizi, Iddi Tulio, Mashado Ramadhani Plantan na Schneider Abdillah Plantan.

Ujinga wa Waislam uko wapi?
Tuje kwa wanawake.

Sijui kama umepata kuyasikia majina haya katika wanachama wa mwanzo wa TANU: Tatu bint Mzee, Halima Khamis, Mwamtoro bint Chuma, Hawa bint Maftah, Nyange bint Chande, Zarula bint Abdulrahman, Shariffa bint Mzee, Mama bint Mwalimu, Fatma Matola, Amina Kinabo, Halima Selengia, Sophia Mustafa kwa kuwataja wachache.

Hawa wote naijua michango yao katika kupigania uhuru wa Tanganyika ukiwa utapenda naweza nikakuwekea hapa.

Ujinga wa Waislam uko wapi?
Waswahili tuna msemo, ''Akutukanae hakuchagulii tusi.''

Leo uhuru umepatikana na mnafaidika nao ijaza yetu ni kututukana?

Mama zetu na shangazi zetu wengi walinunua kadi za TANU kujiunga na mapambano ya kudai uhuru wa Tanganyika kutoka kwa Bi. Tatu bint Mzee.

1706415655843.jpeg

Tatu bint Mzee Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya TANU
1706416061175.png

Mwamtoro bint Chuma​
 
Mohamed, nimekushauri sana kwamba kuna sehemu ya jamii inakuona ni ''KOL'
Kauli au maandishi yako kuna wakati yanakuwa si maoni yako bali ya jamii .

Nilikusihi katika bandiko # 46 kwamba ulifute bandiko lako #1.. Katika bandiko # 47 ukasema sijasema lolote kuhusu video ya Ansbert na kwamba niliona ni salama ufute. Katika bandiko# 54 nikajibu hoja zaidi ya 5 kutoka bandiko #1.

Kinachosikitisha ni wewe kutotaka kujadili uliyoyaleta hapa jamvini kama hoja #1 inavyosema.
Inashangaza unaleta mambo nje ya mada. Kama kawaida picha na visivyo na uhusiano na mada ili kukwepa hoja.

Mara nyingi umejinasibu kuhusu paper ulizoandika na kuziwasilisha. Kwa staili hii ya mjadala unaacha maswali mengi kuliko majibu. Ningependa niwe peke yangu katika fikra hizo! niamini kuna tatizo!

Mohamed ukileta jambo hapa uwe tayari kwa mjadala na si mjadala tu bali pia kutetea hoja zako kwa mantiki.

Umeweka mada, halafu unatuletea habari za kumuona Nyerere, Mtikila n.k. miaka 20 hawapo Duniani.
Ukitazama wanahusiana vipi na Ziara ya Rais Vatican hakuna jibu.

Niishie hapa maana! dah
 
Nguruvi3,
Unajua tofauti kubwa kati yako na mimi ni kuwa wewe uko hapa umeficha jina lako, sura yako na sauti yako.

Mimi niko hapa kwa jina langu halisi, kwa sura na sauti.

Wewe umejificha mimi sijajificha.
Hebu jitokeze ufahamike.
 
Ryzen,
Utafiti huu wa kati ya wajinga 10 utakuta 10 ni Waislam umeufanyaje ili nami niurudie kuhakikisha matokeo ya utafiti wako.

Hebu tuangalie hapa chini:

Katika waasisi tisa wa African Association 1929 Dar es Salaam sita ni Waislam: Kleist Abdallah Sykes, Mzee bin Sudi, Ibrahim Hamisi, Zibe Kidasi, Ali Said Mpima na Suleiman Majisu.

Hawa ndiyo waliojenga ile nyumba kilipozaliwa chama cha TANU 1954.
Ujinga wa Waislam uko wapi?

Wajumbe wa TAA Political Sub Commitee 1950 walikuwa saba wanne Waislam na yumo Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan bin Ameir, Sheikh Said Chaurembo, Hamza Mwapachu na Abdul Sykes.

Hawa ndiyo walijenga msingi wa kuunda chama cha TANU kupigania uhuru wa Tanganyika.

Ujinga wa Waislam uko wapi?

Wanachama shupavu wa TANU Dar es Salaam: Sheikh Suleiman Takadir, Jumbe Tambaza, Mshume Kiyate, Mwinyijuma Mwinyikambi, Rajabu Diwani, Makisi Mbwana, Sheikh Haidari Mwinyimvua, Iddi Faizi Mafongo, Idd Tosiri, Sheikh Mohamed Ramia, Iddi Faizi, Iddi Tulio, Mashado Ramadhani Plantan na Schneider Abdillah Plantan.

Ujinga wa Waislam uko wapi?
Tuje kwa wanawake.

Sijui kama umepata kuyasikia majina haya katika wanachama wa mwanzo wa TANU: Tatu bint Mzee, Halima Khamis, Mwamtoro bint Chuma, Hawa bint Maftah, Nyange bint Chande, Zarula bint Abdulrahman, Shariffa bint Mzee, Mama bint Mwalimu, Fatma Matola, Amina Kinabo, Halima Selengia, Sophia Mustafa kwa kuwataja wachache.

Hawa wote naijua michango yao katika kupigania uhuru wa Tanganyika ukiwa utapenda naweza nikakuwekea hapa.

Ujinga wa Waislam uko wapi?
Waswahili tuna msemo, ''Akutukanae hakuchagulii tusi.''

Leo uhuru umepatikana na mnafaidika nao ijaza yetu ni kututukana?

Mama zetu na shangazi zetu wengi walinunua kadi za TANU kujiunga na mapambano ya kudai uhuru wa Tanganyika kutoka kwa Bi. Tatu bint Mzee.

View attachment 2885341
Tatu bint Mzee Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya TANU
View attachment 2885347
Mwamtoro bint Chuma​
Walikurupuka kudai uhuru
 
Anachojaribu kukifanya huyu msemaji ni kutaka wasiokuwa Wakatoliki waamini kuwa Kanisa Katoliki bado lina nguvu ile ile iliyokuwanayo kabla ya sakata la "Waarabu" na Bandari ya Dar-es-Salaam.

Kanisa Katoliki katika sakata hili halikupata kile ambacho wamezoea kupata kuanzia wakati wa ukoloni hadi kufikia hili la bandari kupewa "Waarabu," katika Tanganyika huru.

TEC imefedheheka na hili limewaumiza na kwa mara ya kwanza wameshindwa kupata walichotaka kama ilivyokuwa mazoea.

Hawa walikuwa wakikataa kitu basi hakipiti.

Hawakuitaka EAMWS.
Hawakuitaka OIC.

Hawakuitaka Mahakama ya Kadhi.

Hili la bandari hawakulitaka kama ilivyo kawaida.

Wameshindwa safari hii kwa mara ya kwanza.

"Waarabu" wamekabidhiwa bandari.

Imekuwaje kwa TEC kushindwa?

Imeshindwa kwa sababu kuu moja ingawa zipo nyingi.

Hapa nitaeleza hii sababu moja kuu.

Waislam katika sakata la bandari walijikusanya pamoja na kujiweka mbali sana na wale ambao kila wamuonapo "Mwarabu" wao wanauona Uislam ambao lazima upigwe vita kwa hali yoyote ile.

Lakini kulikuwa na kitu kilichoongeza ladha katika kachumbari iliyokuwa ikitengenezwa na TEC.

Waliokuwa wanapinga Waarabu kuendesha bandari walikuwa wa imani moja na pamoja na CHADEMA.

Mifano iko mingi lakini hapana haja kueleza yote hapa.

Waislam kimya kimya wakaiunganisha CHADEMA katika orodha yao.

Chama hiki kikawekwa kundi moja na TEC na hii haikuwa kazi kubwa ya kumtoa mtu jasho la kwapa.

Ndani ya serikali na CCM kuna watu waliona mapema kabisa asubuhi kuwa nchi imeshagawanyika mapande mawili katika misingi ya imani.

Walio ndani ya serikali na CCM iliwadhihirikia kuwa Waislam wamejitenga wako mbali na wanaowapiga vita "Waarabu" na kwa mara ya kwanza kwa namna ya ajabu kabisa Waislam wakawa wanasubiri muda uwadie wapambane na TEC na mwenza wake CHADEMA.

Zikavuja taarifa kuwa Waislam nje ya BAKWATA wanajiandaa kwenda mahakamani kuhoji mengi yanayowasibu ndani ya serikali.

Waliokuwa serikalini na CCM walitambua watuhumiwa watakuwa nani.

Wenye akili zilizotimia ndani ya serikali na CCM haraka wakajiuliza tumefikaje hapa?

Hawa Waswahili si ndiyo waliopigania uhuru wa Tanganyika hadi ukapatikana?

Wenye akili timamu wakatambua vipi wamefika hapo.

Waingereza wana msemo, "You do it once too often."

Wakatoliki wamejidekeza kupita kiasi kwa kuhodhi kila kitu kuanzia serikali yenyewe, bunge, vyama vya siasa na kila kitu bila ya kukutana na kizingiti chochote.

Waislam wako nje na katika hili la "Waarabu," na bandari wamejiweka pembeni makusudi ili Ukristo ndani ya Tanzania ujivue nguo wenyewe hadharani.

Wametishika na wakarudi nyuma.

Hatari iliyokuwa inawakabili waliitambua.

Serikali ikatimiza maamuzi yake.
Taifa likabakia limetulia.

Kanisa likabakia limefedheheka.

Ile nguvu waliyodhani bado TEC inayo kumbe haipo tena.

TEC bila shaka imejiuliza baada ya haya nini kitafuatia?

Sababu ya kushindwa kwao wanaijua fika.

Sasa msemaji anasema Vatican siyo iliyomwalika Rais wa Tanzania bali serikali imeombwa ialikwe Vatican.

Nani mwenye kawaida ya kuongopa?

Kinachotafutwa hapa ni kujaribu kujifuta tope baada ya kuanguka.

Inataka ieleweke kuwa Rais wa Tanzania ana hofu na amejisalimisha Vatican.

Msemaji ananadi kuwa Kanisa Katoliki lina nguvu si watu wa kupuuzwa.

Ukweli ni kuwa hakika Kanisa limehodhi serikali kwa uwiano wa 80% kwa 20%.

Hali hii leo si mtaji tena kwao kwa sababu zilizo wazi kwani mengi yasiyopendeza yanaelezwa dhidi ya Kanisa na hatari yake ishajitokeza.

TEC imedhoofika bila yenyewe kutambua.

Hii ndiyo sababu ya TEC na CHADEMA kujikuta wako peke yao katika sakata la bandari na vita yao dhidi ya "Waarabu."

Iwe iwavyo hali ya siasa imebadilika.

Hizi propaganda kuwa Rais wa Tanzania ana hofu hazitasaidia kitu.

Zinaweza zikaamsha makubwa ambayo hawayategemei.

Zinaweza hizi propaganda pengine zikazua makubwa kuliko ule ukimya walioonesha Waislam wakati wa sakata la bandari.

Wasisahau ukimya mwingi una kishindo.

Leo nimethibitisha yale niliyoshuku kwa muda mrefu. Mohamed una tatizo la schizophrenic disorder wahi hospitali
 
Unasema shule za Wakristo zimetaifishwa ili Waislam wasome.
Inaelekea hujui yaliyokuwa ndani ya Wizara ya Elimu na NECTA.

Angalia mfano huu na haya yamekuwa yakitendeka bila hofu:

Ninayo ripoti ya mwaka huu.

Waliofanya mtihani wa darasa la saba kuingia darasa la tisa, asilimia 71 Waislamu.

Asilimia 29 ni wengine. Walioshinda katika wale asilimia 71 ni asilimia 21.

Katika wale 29 walioshinda tena sema mwenyewe.

Katika asilimia 29 waliokwenda shuleni ni asilimia 79. Katika asilimia 71 waliokwenda darasa la tisa ni asilimia 21.

Sasa kuna moja, ama Waislamu wajinga ama akili yao haifanyi kazi, ama mtu ukiwa Muislamu wewe huna kitu, ama kuna kitu.

Sasa namwomba Waziri anayehusika, anaposema aseme ya kwamba kwa hali ilivyo Waislamu wameumbwa wajinga.''

Lakini nje huwa tunazungumza na wengi ndani ya serikali ambao wanajua kuwa hili ni tatizo ambalo ni muhali mkubwa kwa serikali kukiri kuwa ndani ya serikali kumekuwa na dhulma hizi.
Duh...!. Mkuu Mohamed Said, kwa idhini yako naomba kupandisha bandiko based on this dataz!.

P
 
Leo nimethibitisha yale niliyoshuku kwa muda mrefu. Mohamed una tatizo la schizophrenic disorder wahi hospitali
Mwenye tatizo hilo si mimi.
Ngoja nikupe stori.

Kwa mara ya kwanza mimi kuandika makala na ikachapwa Ulaya ilikuwa mwaka wa 1988.

Makala hii "In Praise of Ancestors," ilichapwa na Africa Events na ilikuwa inaeleza historia ya Abdul Sykes katika kuunda chama cha TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika.

Gazeti lote lilikusanywa kutoka kwa wauzaji mitaani wakipita watu na kununua nakala zote kwa wauza magazeti.

Sasa katika hali kama hii mgonjwa nani?

Leo najibu video anakuja mtu ananiambia nifute majibu yangu yaliyoko JF na tayari mtandaoni yanasomwa.

Naweka video la somo hilo hilo la Waarabu na bandari ili nieleweke zaidi unakuja wewe na hoja kuwa nahitaji kupewa kitanda hospitali kwani nina maradhi.

Ajabu yake ni hii.
Wengine wakinisoma wananialika kwenye vyuo vikuu vyao nikazungumze.

Wengine wananiomba waniingize katika miradi yao ya uandishi wa historia ya Afrika.

Wachapaji vitabu wanachapa miswada yangu inakuwa vitabu wanauza.
Mimi akili yangu timamu na imekamilika.

Alhamdulilah.

1706439791708.png
 
Nguruvi3,
Nitaanza na aitakae kalamu yangu.

Hata huko kwenu kalamu zipo na ikiwa itaombwa yangu na huku wako waombaji pia na wao kwa kushawishika pia wataomba kalamu kutoka kwenu.

Wala usighafilike katika hili kwani halina shaka.
Ikiwa hutaki kuingia kwa Mtikila hiyo ni khiyari yako.

Lakini mchezo huu ndivyo ulivyochezwa.

Sasa nachukua nilipoishia kwa Mtikila na kusonga mbele.

Utaona sheria za mchezo zilivyobadilika wakati ule kama zinavyobadilika hivi sasa.

Naanza.

Toleo la Rais Mwinyi la Africa Events yuko kwenye meli inayopigwa mabomu ilikuwa ni ''lead story'' yangu na sababu yake ni kuwa Ahmed Saleh Yahya wakati huo akiwa mhariri wa Africa Events alikuja Dar es Salaam na tukawa na mazungumzo kuhusu matatizo aliyokuwa anapata Rais Mwinyi kutoka vyombo vya habari Tanzania pamoja na magazeti ya chama chake akiwa Mwenyekiti na gazeti la serikali akiwa ndiye Rais.

Rais Mwinyi akishambuliwa sana na magazeti na Pastoral Letters.

Ahmed Yahya akaniuliza hii iinawezekana vipi?

Mimi nikamueleza kwa nini inakuwa hivyo.

Siasa za Tanzania ni za aina yake kwa watu fulani.

Hapo tuko katika hoteli moja maarufu inaitwa Chef Pride iko Chagga Street na ndiyo ilikuwa kijiwe changu nikija Dar kutoka Tanga.

Basi niko hapo na Sheikh Ahmed tunashusha chai kababu na sambusa.

Mimi Ahmed Yahya aliponipigia simu kuniambia kuwa yuko mjini na ananiomba tunywe chai pamoja nikajua lipo jambo.

(Nasema liko jambo kwa kuwa AE na jamaa hawa walikubaliana kitu baina yao kuhusu makala zangu lakini hiki ni kisa kingine iko siku In Shaa Allah nitakieleza).

Waamerika wana msemo, ''There is no free lunch in America.''

Ukiona mtu kakualika anakununulia chakula jua utalipa kwa njia nyingine.
Nasema haya kunogesha barza.

Nimekula sana biriani za marehemu Ahmed Yahya London bure na hakunituma kazi.

Sheikh Ahmed akaniomba niandike makala moja kama njia ya kumsaidia mzee wetu.

Ndiyo nikaandika hiyo makala na wakati huo Africa Events walikuwa wameacha kuchapa makala zangu kwa muda mrefu.

Makala hii walichapa kama makala ya ''Special Correspondent.''

Hiki ni kisa kingine Insha Allah iko siku ikipatikana fursa nitakieleza.

Nani anamsaliti nani haya nakuachia msomaji.

Kilichonifurahisha mimi katika toleo hili ni hiyo, ''caricuture'' ya Rais Mwinyi yuko juu ya chombo kinataka kuzama baada ya kupigwa bomu na kushika moto.

Kwa nini hapakuwa na gazeti lolote kumsaidia Rais Mwinyi wakamwacha anashambuliwa na kupigwa kutoka pande zote kama paka mwizi?

Huko ndipo tulipotoka na katika safari hii ''underdog'' kajifunza mengi sana.

Sasa wanajua namna ya kujihami na shari zinazoelekezwa kwao.

Ndiyo maana kwa hili la Waarabu na bandari ukaona mko peke yenu ingawa unasema ACT Wazalendo walipinga.

Kupinga kwao kulikuwa kinamna.

Hawakuwa na ujasiri wa kuonekana wako na waleee!

Hapa, nilidhani ungemjibu wa post #54 kuhusu;
1. Mahusiano ya maoni ya CHADEMA na TEC juu ya vifungu vya mkataba wa DP na udini?
2. Maoni yako binafsi, kifungu kwa kifungu, juu ya vile vifungu vilivyolalamikiwa, ili uje utuonyeshe kwamba ile ilikuwa ni vita ya kidini na Waislamu wameshinda.
3. Uhusiano wa UBORA wa mkataba wa bandari na udini

Ukiyajibu haya, unaweza kutushawishi. Na unapojibu, usikimbilie kwa Mwl Nyerere na waanzilishi wa TAA, wala Mtikila na Mwinyi, wala historia yako ya uandishi, na tuzo, na mialiko yako. Tushawishi kwa hoja za mkataba wa bandari, vipi uislamu umeshinda. Zaidi ya hapo, unajiaibisha mzee wangu
 
Van...
Unataka nikujibu kama utakavyo wewe?
Hili mbona haliwezekani?

Binadamu tumeghitililafiana katika kuwaza.
Wala sikimbilii kwa yoyote awaye yule.

Huo ndiyo msingi wa kuelewa vipi wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika hatukuwaona TEC na mfano wa TEC au Mtikila na mfano wa Mtikila.

Hapo ni wewe kujiuliza kwa nini hawakuwapo katika harakati za kupigania uhuru?

Kitu kikubwa katika kalamu yangu ni kule kukupeni historia ambayo nyinyi hamkupata hata siku moja kuisikia ikisomeshwa si shule ya msingi, sekondari na vyuoni.

Kwengine ninapoalikwa kuzungumza maswali nipatayo ni tofauti sana na maswali nipokeayo hapa.

Hapa historia hii inawakasirisha.
Huko kwengine historia hii inawashangaza.

Mathalan wataniuliza inakuwaje Idara ya Historia Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam na katika vyuo vikuu vingine havijaweza kutafiti na kuandika historia hii?

Wananiuliza kuhusu mashujaa waliopigania uhuru wa Tanganyika baada ya mimi kuandika historia zao kimetokea nini?

Wametambuliwa na juhudi zimefanywa kusomesha historia hii?

Hawanishutumu kwa udini.

Kalamu yangu haijapata kuniabisha.
Kalamu yangu imeniletea mengi.

Hapa JF angalia nimekuwa Mwandishi Bora mara mbili mfululizo mwaka wa 2021 na 2022.

Waislam wamenipa nishani mara mbili kwa kuandika historia ya Tanganyika kama inavyostahili kuandikwa.

Yapo mengi tu ya kufurahisha la kupata aibu hili sijakumbana nalo na namsshukuru Mungu.

1706439267456.png

1706439328954.jpeg

Unamjua huyu Bwana Mkubwa Kabisa?
1706439490786.png

Library of Congress Washington DC
Ukimuona mtu anaingia humu basi jua ni mtu wa vitabu
 
Mwenye tatizo hilo si mimi.
Ngoja nikupe stori.

Kwa mara ya kwanza mimi kuandika makala na ikachapwa Ulaya ilikuwa mwaka wa 1988.

Makala hii "In Praise of Ancestors," ilichapwa na Africa Events na ilikuwa inaeleza historia ya Abdul Sykes katika kuunda chama cha TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika.

Gazeti lote lilikusanywa kutoka kwa wauzaji mitaani wakipita watu na kununua nakala zote kwa wauza magazeti.

Sasa katika hali kama hii mgonjwa nani?

Leo najibu video anakuja mtu ananiambia nifute majibu yangu yaliyoko JF na tayari mtandaoni yanasomwa.

Naweka video la somo hilo hilo la Waarabu na bandari ili nieleweke zaidi unakuja wewe na hoja kuwa nahitaji kupewa kitanda hospitali kwani nina maradhi.

Ajabu yake ni hii.
Wengine wakinisoma wananialika kwenye vyuo vikuu vyao nikazungumze.

Wengine wananiomba waniingize katika miradi yao ya uandishi wa historia ya Afrika.

Wachapaji vitabu wanachapa miswada yangu inakuwa vitabu wanauza.
Mimi akili yangu timamu na imekamilika.

Alhamdulilah.

Unazidi kuthibitisha hoja yangu
 
Cobra....
Sina wivu na kanisa wala sina chuki na yote mabaya.
Ningekuwa nasema uongo ningejulikana mapema sana.

Kinyume chake ni kuwa kutokana na kalamu yangu waongo wamefahamika na si mimi.

Ningekuwa na hulka hizi katika kalamu yangu hapa JF nisingechaguliwa kuwa Mwandishi Bora katika Jukwaa la Historia kwa miaka miwili mfululizo 2022 na 2023.

Waislam wamenitunuku nishani mbili kwa mchango wangu katika kuandika historia ya Tanganyika.

Halikadhalika nisingepokea mialiko kutoka vyuo kadhaa ndani na nje ya mipaka yetu kwenda kuzungumza na kuisikiliza kwa hii historia niliyokujanayo.

NIngekuwa mimi ''mjinga'' na ''mpumbavu,'' nisingepata heshima hii.

Hakuna amani itakayovunjika kwa kuandika historia ya kweli ya uhuru wa Tanganyika ulivyopiganiwa na Waislam kwa juhudi kubwa.

Historia ambayo ilifutwa ipotee isifahamike.

Huu mwaka wa 25 toka kichapwe kitabu cha Abdul Sykes (1997) na dhulma zote walizofanyiwa Waislam zikaonyeshwa ndani ya kitabu hiki.

Waislam hawajanyanyua hata wembe.

Kinachofanyika ni kuitahadharisha serikali kuwa ndani yake wako watu wabaya wanajenga fitna kwa udini wao.

Unasema shule za Wakristo zimetaifishwa ili Waislam wasome.
Inaelekea hujui yaliyokuwa ndani ya Wizara ya Elimu na NECTA.

Angalia mfano huu na haya yamekuwa yakitendeka bila hofu:

''Lakini tuende kielimu.

Ninayo ripoti ya mwaka huu.

Waliofanya mtihani wa darasa la saba kuingia darasa la tisa, asilimia 71 Waislamu.

Asilimia 29 ni wengine. Walioshinda katika wale asilimia 71 ni asilimia 21.

Katika wale 29 walioshinda tena sema mwenyewe.

Katika asilimia 29 waliokwenda shuleni ni asilimia 79. Katika asilimia 71 waliokwenda darasa la tisa ni asilimia 21.

Sasa kuna moja, ama Waislamu wajinga ama akili yao haifanyi kazi, ama mtu ukiwa Muislamu wewe huna kitu, ama kuna kitu.

Sasa namwomba Waziri anayehusika, anaposema aseme ya kwamba kwa hali ilivyo Waislamu wameumbwa wajinga.''

Au kwa hali ilivyo kuna sababu kadha, kadha.
(Hotuba ya Mh. Kitwana Kondo (MB) aliyoitoa Bungeni Dodoma, 1999)

Nachelea kuweka hapa ya Wizara ya Elimu na ya NECTA makala itakuwa ndefu sana.

Unasema mimi kujibiwa.
Wajibu nini katika hayo?

Lakini nje huwa tunazungumza na wengi ndani ya serikali ambao wanajua kuwa hili ni tatizo ambalo ni muhali mkubwa kwa serikali kukiri kuwa ndani ya serikali kumekuwa na dhulma hizi.

Unaniona niko hapa kwa jina langu halisi na kwa sura na sauti yangu sijajificha kama wewe.

Niogope kitu gani?
Wewe unaogopa nini?

Tuishie hapa nina mengi.

ni kitu kibaya na cha huzuni sana kuwa mzee halafu unakuwa huna akili, miaka yote uliyoishi unakuwa haujajifunza, na haujawa na faida.

Mohamedsaid analalamika sana na anaamini waislam wanafelishwa tu kwenye mitihani, amesahau kuwa waalimu wanaofundisha na kusahihisha mitihani ya taifa ni wa dini zote, waislam pia wanasahihisha mitihani ya taifa ambayo huyu mzee anailalamikia. au tuamue siku moja tuwape marks za bure wote, hata waliopata zero.

pili, Zanzibar waalimu wote ni waislam, shule/skuli zao zinafundishwa na waislam, mitihani ya taifa inasahihishwa na waislam, na ni waaminifu kwelikweli marks wanaziweka sahihi, wanashika mkia miaka yote.

shida sio ubongo wa mwanadamu Muislam, shida ni tamaduni, utamaduni wa Muislam umewekwa kiupinzani sana na shule ya elimu dunia kiasi kwamba ukiwawe watu wawili mmoja mwenye utamaduni wa kiislam na mwingine utamaduni wa kikristo, mmoja atamzidi mwenzake kimasomo. ushahidi mzuri angalia wale waislam wasomi, wale ambao hawapotezi muda mrefu kwa mtoto wao kusoma madrasa, mtoto anaanza kusoma chekechea tangu akiwa mdogo anaunganisha primary badala ya kupoteza muda mrefu kumsubject kwenye madrasa na kukariri kuran. angalia nchi kama Uturuki ambako uislam wao sio wa siasa kali, wanajali elimu na hawapotezi muda kwenye mambo ya ajabu hayo. hayo yanawapotezea muda sana.

mwisho, Nyerere ili kuwafurahisha mashehe alinyang'anya shule nyingi sana za wakristo akazifanya za serikali ili tu tufanane, wote tusome. ajabu yake, hapakuwa na shule ya waislam hata moja ya kunyang'anya, wakristo tu ndo walinyang'anywa shule zilizojengwa kwa pesa ya sadaka za wazungu, wala sio pesa ya wabongo. ila hadi leo watu hawaridhiki. wamepewa chuo cha morogoro ili nao basi waonekane, lakin bado wanashindwa kushindana na st. augustine na vyuo vingine vya kikristo ambayo vinapokea hadi watoto wao, na kile cha morogoro kimejaa waislam watupu. lakini bado wanalalamika. hili zee ni mbumbumbu sana na yale mavitabu yake ya kusadikika. na ni mtu hatari kwa taifa hili.

huyu ndiye mzee aliyekuwepo kwenye fujo tangu za mwembechai kipindi kile, na siku zote amekaririwa akiwaita wakristo makafiri na anaamini hatutakiwi kuwa na umoja. kama unabisha sema niweke clip hapa. haya ndio mashetani ya amani ya Tanzania hii.
 
Hivi ukiwa muislamu ni lazima uwe mjinga? Maana kati ya wajinga 10 basi utakuta 10 ni waislamu!
Hahaaa mkuu hii comment yako mzee kaenda anzishia uzi fb nimecheka kama mwehu🤣🤣
 
Mkuu naomba hiyo clip
 
Back
Top Bottom