Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Kiukweli niliwaamini sana Urusi, sasa sina imani nao. Hii vita kwa nguvu ambazo wanazo Russia ilikuwa waimalize ndani ya week moja zikizidi mbili. Sasa sielewi kwa nini wanapiga dana dana nyingi sana?!
Russia ni Taifa ambalo tumekuwa tukitegemea liitishe Marekani. Sasa Ukraine ka nchi ambako kamejibanza pembeni ya Russia tu kweli ka kuchukua miezi miwili kukachapa?
Yericko Nyerere alianza kuwa anaandika makala zake akitufurahisha sisi mashabiki wa Russia, sasa hata hataki tena kuandika. Russia wamefikia hatua wanatumia wafungwa vitani, hii wadau imekaaje? Very unprofessional.
Putin atakuwa anashauriwa vibaya. Russia tupo ndani ya Ukraine tunashindwa nini kumaliza mchezo? Kwa nini danadana nyingi na passes ambazo hazina maana?
Na tunajua namna ambayo Russia amewasubiria NATO ili awachape na NATO Wameogopa. Sasa hapo ndo palikuwa pa kutoa somo. Haya mambo nashindwa kuyaelewa kabisa. Maana nikitizama kule Taiwan naona China nao waliishia tu kupiga jalamba, mpaka leo hii hawaiingii uwanjani wanafanya tu mazoezi.
Natamani sana Marekani apate kipigo maana amezidi ubabe. Kama vipi China na Russia waungane wamchape, tuangalie kipigo kinavyotolewa.
Yericko ulitupa matumaini sana sisi ndugu na jamaa zako kwa Russia. Ila sasa naona kama umepoa sana. Hebu tengeneza makala ya kututia nguvu please. Wewe ni Jasusi wa Kimataifa na unajua sana haya mambo ya Kivita. Tuambie Russia hapa wanatumia mbinu gani kuchelewesha hivi vita?
Au basi angalau andika kuwa vita Russia walishamaliza kitambo sema tu zimebaki propaganda n.k, maana mtaani kuna jamaa ananisumbua kinyama. Karibuni wana Russia wenzangu. A luta Continua Mpaka kieleweke.
Yericko Nyerere et al tusiache kupeana support please.