Suala la China vs Taiwan, vita ya Urusi na Ukraine. Kusema ukweli kuna mataifa yametu-disappoint sana. A luta continua

Suala la China vs Taiwan, vita ya Urusi na Ukraine. Kusema ukweli kuna mataifa yametu-disappoint sana. A luta continua

Kiukweli niliwaamini sana Urusi, sasa sina imani nao. Hii vita kwa nguvu ambazo wanazo Russia ilikuwa waimalize ndani ya week moja zikizidi mbili. Sasa sielewi kwa nini wanapiga dana dana nyingi sana?!

Russia ni Taifa ambalo tumekuwa tukitegemea liitishe Marekani. Sasa Ukraine ka nchi ambako kamejibanza pembeni ya Russia tu kweli ka kuchukua miezi miwili kukachapa?

Yericko Nyerere alianza kuwa anaandika makala zake akitufurahisha sisi mashabiki wa Russia, sasa hata hataki tena kuandika. Russia wamefikia hatua wanatumia wafungwa vitani, hii wadau imekaaje? Very unprofessional.

Putin atakuwa anashauriwa vibaya. Russia tupo ndani ya Ukraine tunashindwa nini kumaliza mchezo? Kwa nini danadana nyingi na passes ambazo hazina maana?

Na tunajua namna ambayo Russia amewasubiria NATO ili awachape na NATO Wameogopa. Sasa hapo ndo palikuwa pa kutoa somo. Haya mambo nashindwa kuyaelewa kabisa. Maana nikitizama kule Taiwan naona China nao waliishia tu kupiga jalamba, mpaka leo hii hawaiingii uwanjani wanafanya tu mazoezi.

Natamani sana Marekani apate kipigo maana amezidi ubabe. Kama vipi China na Russia waungane wamchape, tuangalie kipigo kinavyotolewa.

Yericko ulitupa matumaini sana sisi ndugu na jamaa zako kwa Russia. Ila sasa naona kama umepoa sana. Hebu tengeneza makala ya kututia nguvu please. Wewe ni Jasusi wa Kimataifa na unajua sana haya mambo ya Kivita. Tuambie Russia hapa wanatumia mbinu gani kuchelewesha hivi vita?

Au basi angalau andika kuwa vita Russia walishamaliza kitambo sema tu zimebaki propaganda n.k, maana mtaani kuna jamaa ananisumbua kinyama. Karibuni wana Russia wenzangu. A luta Continua Mpaka kieleweke.

Yericko Nyerere et al tusiache kupeana support please.
Tatizo
Mshauri WA Putin ni yericko nyerere
 
Hivi Ukrein kasha rudisha hata shamba moja ambalo Urusi amesha chukua?

Mkuu vita ina Mambo mengi Sana hata huyu USA alichezea kichapo Cha dog Somalia mpaka kutoka nduki Sasa jiulize Somalia kweli niya kumfanya USA akimbia kwenye mapigano?

Hii Urusi tena kipindi ikiwa kwenye ule muungano wa nchi za kijamaa na nguvu zote lakini ilishindwa kuitawala Graveyard empire ndani ya miaka 10.

Hivyo hivyo kwa USA amekaa ndani ya Graveyard empire kwa miaka 20 mwisho kakimbia na kuwa acha wavaa kobazi wakitawala nchi yao.

Tuache ushabiki wa kushabikia Vita kisa tu ushabiki maandazi wa pro-usa +eu na pro-urusi + china.kingine muhimu movie zimeharibu akili za watu.
Counter offensive ya Kherson yafanyika muda huu
 
Ukiachilia MAKALA za Yeriko kuna Bwana mmoja humu Jf (jina lake moja ni la chuo maarufu uku Urusi) ni msomi kweli kweli before ya huu uvamizi wa Russia alikuwa akianza kuelezea uwezo wa Urusi na akili za Putini zilivyo katika nyuzi zake wewe msomaji unabaki kusema basi, basi basi:

Acha Urusi iwe na nguvu za kupiga nchi zote za Nato kwa wakati mmoja. alikuwa anachambua kila engo ya kwanini Urusi inauwezo wa kupiga nchi zote za Nato kwa wiki kadhaa. kwa kuwa ni mjuzi wa mambo na msomi anajua ku- analyse mambo wewe msomaji utabaki bila mashaka dhidi ya alichokiandika.

Mara ya mwisho kuona komenti yake kwenye ili jukwaa la kimataifa ususani vita ya Ukraine ni pale Urusi ilipoanza kupitisha ule msafara wa 64 kilometers na kuanza mashambulizi, aliandika koment ya kusifia vile Putin alivyo Genius, ili kusapoti hoja yake akeleta clip ya Baba yake na Bush na kiongozi mmoja mkubwa wa US wakielezea uwezo mkubwa wa akili wa Putin.. Mara mambo yalivyobadilika hajawai kukoment tena.. mara nyingi yupo kwenye jukwaa la mapenzi na ule uzi wa WA MWISHO NDIYE MSHINDI.

NILICHOJIFUNJA:
Takwimu za kwenye makalatasi na Field ni Mbingu na Ardhi jamaaa amekuwa dispointed na ili kutoutonesha moyo wake ameamua kuwasusia Jukwaaa lenu la kimataifa[emoji23][emoji23]
Ndugu, ukalianzisha halafu ukakimbia kivuli chako. Ile nyuzi yenye majibu yangu kuhusu hizi kashfa zako uko wapi ???

Siku kama huwezi kufanya mjadala na mimi tafadhali sana usinipotezee muda na kuzichosha akili zangu kuandika hapa, na usirudie kunija-taja tena kwa lengo la kunichafua. Nitakujibu halafu wewe na wakubwa zako mtaghafirika kama mlivyofanya siku ile
 
Russia wamefikia hatua wanatumia wafungwa vitani, hii wadau imekaaje? Very unprofessional.
Mleta mada hili halikustui!? Mfungwa anapewa mafunzo anaenda kupigana na nchi inayoungwa Mkono na NATO? Na wafungwa hao wakitumia kampuni ya ulinzi wanafanya kazi iliyotukuka kwa kiwachapa hao neo Nazi wanoungwa Mkono na NATO kwa rasilimali watu na fedha? Bado husituki?

Hao Wanajeshi wa NATO wanaopigana bega kwa bega na Ukraine neo Nazi wakishakudunguliwa na Kampuni ya ulinzi ( Wagner), NATO kwa kuepuka aibu wamewaelekeza wakate miili ya askari hao kwa kuondoa vichwa na mikono na miguu ili kuepuka askari katoka nchi gani ya NATO (Ushahidi upo). Ukatili wanafanya Hata kwa Marehemu!

Hawana utu kabisa.
Kwa ufupi, Russia hataki kuumiza raia wa Ukraine yeye anashida na hao ambao wanaotumia serikali ya Ukraine kufanya uhalifu! Ndiyo maana kwa Sasa hanatumia nguvu kiasi dhidi ya adui!

Nitakuwa nimeeleweka.
 
Mbna anamsaidia Direct Ukraine kwa kutuma silaha na Russia kaunyata mkia matakon, si alitangaza kwa mbwembwe ataemsaidia Ukraine atapigika, sasa mbna hajarusha kombora kwa meli za marekani zinazopeleka vifaa
Akirusha kombora wamarekani wanamfira Puttin
 
Mleta mada hili halikustui!? Mfungwa anapewa mafunzo anaenda kupigana na nchi inayoungwa Mkono na NATO? Na wafungwa hao wakitumia kampuni ya ulinzi wanafanya kazi iliyotukuka kwa kiwachapa hao neo Nazi wanoungwa Mkono na NATO kwa rasilimali watu na fedha? Bado husituki?

Hao Wanajeshi wa NATO wanaopigana bega kwa bega na Ukraine neo Nazi wakishakudunguliwa na Kampuni ya ulinzi ( Wagner), NATO kwa kuepuka aibu wamewaelekeza wakate miili ya askari hao kwa kuondoa vichwa na mikono na miguu ili kuepuka askari katoka nchi gani ya NATO (Ushahidi upo). Ukatili wanafanya Hata kwa Marehemu!

Hawana utu kabisa.
Kwa ufupi, Russia hataki kuumiza raia wa Ukraine yeye anashida na hao ambao wanaotumia serikali ya Ukraine kufanya uhalifu! Ndiyo maana kwa Sasa hanatumia nguvu kiasi dhidi ya adui!

Nitakuwa nimeeleweka.
Umeandika mambo ambayo hata vyanzo vya kuyathibitisha huna.
 
Ndugu, ukalianzisha halafu ukakimbia kivuli chako. Ile nyuzi yenye majibu yangu kuhusu hizi kashfa zako uko wapi ???

Siku kama huwezi kufanya mjadala na mimi tafadhali sana usinipotezee muda na kuzichosha akili zangu kuandika hapa, na usirudie kunija-taja tena kwa lengo la kunichafua. Nitakujibu halafu wewe na wakubwa zako mtaghafirika kama mlivyofanya siku ile
Malcolm ni moja wa great thinker na bro wangu hapa Jf asiejua kuwa"kuna mdogo wake mjinga mjinga katika hii forum anamkubali kinoma" na sijawai kuwa na altercation nae kivile.So, niseme tu kuwa Unataka kunichonganisha na huyu bro. I'm no body kwake kwa heshima aliyonayo hapa jamvini. Kupishana katika hoja kupo tu hapa jamvini ila sijawai kufanya ujinga ujinga wangu kwake.
Nimemjua huyo bro kitambo hapa jamvini nikiwa kama guest na kuna nyakati uwa naingia kwenye profile yake naanza soma kila nyuzi aliyowaiianzisha hapa jamvini.
Nina watu 5 hapa Jf ninaowakubali kinoma, moja ni huyu bro unaetaka kunichonganisha nae kuna Chige kuna mtangoo, kiranga na Bams ni watu ambao napenda kusoma maandishi yao hapa Jf so kusema kuwa niliwai mu-attack uko nyuma ni kutaka kunifitisha na huyo bro na sidhani ikiwa ananijua zaidi ya kubumiana katika komenti 2/3.
Na nikirudi kwako pia sikummbuki kabisa ikiwa niliwai Argu na wewe popote pale na ndiyo maana kuna koment katika uzi fulani hivi"nilikuuliza ikiwa niliwakuargu na wewe uko nyuma".
I'm no Body kwa Guru Malcom. Elimu aliyonayo kichwani mwake kwangu ni Mbingu na Ardhi.
itoshe kwa Kusema "UNANISINGIZIA"
 
Ukiachilia MAKALA za Yeriko kuna Bwana mmoja humu Jf (jina lake moja ni la chuo maarufu uku Urusi) ni msomi kweli kweli before ya huu uvamizi wa Russia alikuwa akianza kuelezea uwezo wa Urusi na akili za Putini zilivyo katika nyuzi zake wewe msomaji unabaki kusema basi, basi basi:

Acha Urusi iwe na nguvu za kupiga nchi zote za Nato kwa wakati mmoja. alikuwa anachambua kila engo ya kwanini Urusi inauwezo wa kupiga nchi zote za Nato kwa wiki kadhaa. kwa kuwa ni mjuzi wa mambo na msomi anajua ku- analyse mambo wewe msomaji utabaki bila mashaka dhidi ya alichokiandika.

Mara ya mwisho kuona komenti yake kwenye ili jukwaa la kimataifa ususani vita ya Ukraine ni pale Urusi ilipoanza kupitisha ule msafara wa 64 kilometers na kuanza mashambulizi, aliandika koment ya kusifia vile Putin alivyo Genius, ili kusapoti hoja yake akeleta clip ya Baba yake na Bush na kiongozi mmoja mkubwa wa US wakielezea uwezo mkubwa wa akili wa Putin.. Mara mambo yalivyobadilika hajawai kukoment tena.. mara nyingi yupo kwenye jukwaa la mapenzi na ule uzi wa WA MWISHO NDIYE MSHINDI.

NILICHOJIFUNJA:
Takwimu za kwenye makalatasi na Field ni Mbingu na Ardhi jamaaa amekuwa dispointed na ili kutoutonesha moyo wake ameamua kuwasusia Jukwaaa lenu la kimataifa😂😂
It seems I was RIGHT all along, and time has vindicated me again and again.

Putin won the war, Ukraine is in ruins, millions are dead, and America is begging Vladmir Putin to accept the terms and end the war.

Muda siku zote huwa ni mwalimu mzuri sana.
 
Bcc: MALCOM LUMUMBA, gwiji la uchambuzi makala za kimedani ndani ya JF.
Miaka zaidi ya kumi humu ndani, nimekuwa nikisimamia ninachokiamini hata kama wote mliamini vinginevyo na kuleta kejeli za namna hii. Baadhi ya Moderators wamekuwa na chuki hadi siku hizi wananizuia nisiandike kwenye majukwaa na kufuta nyuzi zangu.

Ila muda ni mwalimu mzuri sana. Nimeanza kuandika kuhusu haya tokea mwaka 2015, na mwaka 2025, ukweli tuliokuwa tunauzungumza umeanza kufahamika siyo tu humu JF bali hata Wamarekani wenyewe wameanza kustuka na kufahamu kwamba RUSSIA HAS WON A BRUTAL HYBRID WAR, CHINA HAS ASCENDED AND AMERICA IS DECLINING RAPIDLY.

Karibu sana Mkuu
 
Back
Top Bottom