Suala la China vs Taiwan, vita ya Urusi na Ukraine. Kusema ukweli kuna mataifa yametu-disappoint sana. A luta continua

Tatizo
Mshauri WA Putin ni yericko nyerere
 
Counter offensive ya Kherson yafanyika muda huu
 
Ndugu, ukalianzisha halafu ukakimbia kivuli chako. Ile nyuzi yenye majibu yangu kuhusu hizi kashfa zako uko wapi ???

Siku kama huwezi kufanya mjadala na mimi tafadhali sana usinipotezee muda na kuzichosha akili zangu kuandika hapa, na usirudie kunija-taja tena kwa lengo la kunichafua. Nitakujibu halafu wewe na wakubwa zako mtaghafirika kama mlivyofanya siku ile
 
Russia wamefikia hatua wanatumia wafungwa vitani, hii wadau imekaaje? Very unprofessional.
Mleta mada hili halikustui!? Mfungwa anapewa mafunzo anaenda kupigana na nchi inayoungwa Mkono na NATO? Na wafungwa hao wakitumia kampuni ya ulinzi wanafanya kazi iliyotukuka kwa kiwachapa hao neo Nazi wanoungwa Mkono na NATO kwa rasilimali watu na fedha? Bado husituki?

Hao Wanajeshi wa NATO wanaopigana bega kwa bega na Ukraine neo Nazi wakishakudunguliwa na Kampuni ya ulinzi ( Wagner), NATO kwa kuepuka aibu wamewaelekeza wakate miili ya askari hao kwa kuondoa vichwa na mikono na miguu ili kuepuka askari katoka nchi gani ya NATO (Ushahidi upo). Ukatili wanafanya Hata kwa Marehemu!

Hawana utu kabisa.
Kwa ufupi, Russia hataki kuumiza raia wa Ukraine yeye anashida na hao ambao wanaotumia serikali ya Ukraine kufanya uhalifu! Ndiyo maana kwa Sasa hanatumia nguvu kiasi dhidi ya adui!

Nitakuwa nimeeleweka.
 
Mbna anamsaidia Direct Ukraine kwa kutuma silaha na Russia kaunyata mkia matakon, si alitangaza kwa mbwembwe ataemsaidia Ukraine atapigika, sasa mbna hajarusha kombora kwa meli za marekani zinazopeleka vifaa
Akirusha kombora wamarekani wanamfira Puttin
 
Umeandika mambo ambayo hata vyanzo vya kuyathibitisha huna.
 
Malcolm ni moja wa great thinker na bro wangu hapa Jf asiejua kuwa"kuna mdogo wake mjinga mjinga katika hii forum anamkubali kinoma" na sijawai kuwa na altercation nae kivile.So, niseme tu kuwa Unataka kunichonganisha na huyu bro. I'm no body kwake kwa heshima aliyonayo hapa jamvini. Kupishana katika hoja kupo tu hapa jamvini ila sijawai kufanya ujinga ujinga wangu kwake.
Nimemjua huyo bro kitambo hapa jamvini nikiwa kama guest na kuna nyakati uwa naingia kwenye profile yake naanza soma kila nyuzi aliyowaiianzisha hapa jamvini.
Nina watu 5 hapa Jf ninaowakubali kinoma, moja ni huyu bro unaetaka kunichonganisha nae kuna Chige kuna mtangoo, kiranga na Bams ni watu ambao napenda kusoma maandishi yao hapa Jf so kusema kuwa niliwai mu-attack uko nyuma ni kutaka kunifitisha na huyo bro na sidhani ikiwa ananijua zaidi ya kubumiana katika komenti 2/3.
Na nikirudi kwako pia sikummbuki kabisa ikiwa niliwai Argu na wewe popote pale na ndiyo maana kuna koment katika uzi fulani hivi"nilikuuliza ikiwa niliwakuargu na wewe uko nyuma".
I'm no Body kwa Guru Malcom. Elimu aliyonayo kichwani mwake kwangu ni Mbingu na Ardhi.
itoshe kwa Kusema "UNANISINGIZIA"
 
It seems I was RIGHT all along, and time has vindicated me again and again.

Putin won the war, Ukraine is in ruins, millions are dead, and America is begging Vladmir Putin to accept the terms and end the war.

Muda siku zote huwa ni mwalimu mzuri sana.
 
Bcc: MALCOM LUMUMBA, gwiji la uchambuzi makala za kimedani ndani ya JF.
Miaka zaidi ya kumi humu ndani, nimekuwa nikisimamia ninachokiamini hata kama wote mliamini vinginevyo na kuleta kejeli za namna hii. Baadhi ya Moderators wamekuwa na chuki hadi siku hizi wananizuia nisiandike kwenye majukwaa na kufuta nyuzi zangu.

Ila muda ni mwalimu mzuri sana. Nimeanza kuandika kuhusu haya tokea mwaka 2015, na mwaka 2025, ukweli tuliokuwa tunauzungumza umeanza kufahamika siyo tu humu JF bali hata Wamarekani wenyewe wameanza kustuka na kufahamu kwamba RUSSIA HAS WON A BRUTAL HYBRID WAR, CHINA HAS ASCENDED AND AMERICA IS DECLINING RAPIDLY.

Karibu sana Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…