Suala la DP WORLD na chuki za Watanganyia dhidi ya Wazanzibar

Duuu ya mtanganyika akimbilie Zanzibar kwa uchumi gani mlionao?

Maana hapa Dar Kila kituo daladala Kuna mzanzibar anauza pweza au anatembeza samaki wawili labda wamasai ndo wanakuja huko Tena wale wasio na mifugo
 
Kwa jinsi ulivoandika inaonekana unachuki zaidi na WA bara kuliko hata wabara walivo na chuki na kisiwani
 
Wewe ndio Traako kabisa, huna hata akili ya kukuvusha barabara
Umewaona hao tu waliopo huko
NJOO bara uwaone nduguzo walivyojaa wala usingetaman kuwataja hao wa bara kumi walioko, zenji
Inaonyesha ujawai kutoka wala kuvuka hayo maji ndo maana ni limbuken nimemaliza kusoma kipost chako nikahisi na kichefu chefu kwa jinsi ulivyomjinga
Kinachoulizwa ni kwanini bandari za zanzibar hazikuhusishwa katika mradi huu? Iwapo mpaka mito ya bara imeusishwA kwanini zanzibar?
Yaan wataka zanzibar isiguswe wakat ni Tanzania?
Kakojoe ulale
 
Ndiyo maana tunataka tuvunje ilimsiendelee kupata shida
 
Sisi hatuna hata Mwenyekiti wa kitongoji hapo Zanzibar lakini wazanzibari wamejazana
 
Sisi hatuna hata Mwenyekiti wa kitongoji hapo Zanzibar lakini wazanzibari wamejazana
 
Kwahiyo wabara kuona kuzuiliwa kumiliki ardhi Zanzibar Ni Negative siyo? Kuwa na akili Pana.
Bora we unaeleza kwa mifano
Wabara atupo negative wala chuki aijazidi ni kwamba tu tupo wengi zaidi tunaskika
 
Wabara wakipewa ardhi Zanzibar wanajenga makanisa ndio upuuuzi mkubwa wanaowapelekea wazanzibari, Zanzibar ni kisiwa na sasa wazanzibari wenyewe ardhi iliyoko haiwatoshi hao watanganyika wanataka waendeleze makanisa na ushoga tu,
Chunguza akili yako alafu jitafakari sana. Kwahiyo kwako Ni chili kwa wabara siyo unagative Tena. Mvunjeni muungano mkae kwenu. Kama ishu Ni kujenga makanisa. Unawezaje kuwaita watanganyika wanaendeleza ushoga?. Una Fuvu bovu Sana. Yule Askari aliyekalia mjengo kwenye gari Ni mtanganyika?. Jiheshimu usije kutusababishia bani hapa.
 
Ninyi dawa yenu mtawaliwe kinyerere, yani kinguvu nguvu, hakuna uhuru hata wa kumiliki tv wala nini! Kudhulumu na kutaifisha mali za watu n.k, kama hawa ndio mnawakubali sio!! Wale wanaoongoza nchi kwa haki bila dhulma wala mabavu hamuwakubali!!
Soma elewa .usikurupuke kujibu. Angalia niliyemjibu utaelewa kwanini nilimjibu hivyo.
 
jambo usilolijua ni kwamba, wazanzibari ndio wenye chuki na bara tangu enzi, na watu wa bara wamezuiwa wasiongee chochote kuhusu zanzibar, wakati wazanzibar wanaongea na kutubagua everyday. nadhani ifike mahali viongozi wa pande zote mbili wakae na watu wao wawaelimishe, ili kama tunaendelea na muungano, tuheshimiane na kupendana. I tell you, hii ni reprisal tu/retaliation, watanganyika wamebaguliwa na wazanzibar kwa kila kitu, na mtanganyika akitaka kuongea tu, wazenji huwa wanasema wewe ni mdini, wanaamini kuongea chochote dhidi ya zanzibar ni udini. ila wao wakiongea dhidi ya tanganyika sio udini. ufa upo sana tu mioyoni mwa watu na unatakiwa kuponywa. na wengi huwa hawaamini inakuwaje kanchi kama wilaya tena kasiko kuwa na mbele wala nyuma kanasimama na kujibizana na linchi likuuubwa lenye watu zaidi ya 58m?

kuhusu dhahabu, almasi etc, maisha ya watu wa bara ni bora mbali sana kuliko maisha ya watu wa visiwani. hili hakuna ubishi. mishahara makazini bara ni bora kuliko visiwani. elimu bara ni bora kuliko visiwani. kila kitu mmezidiwa. miji kama Arusha, geita, mwanza, kahama n.k, imekuwa na ina mzunguko mkubwa wa pesa kwasababu ya hayo madini. zanzibar kilichojaa ni uvivu, kuzamia bara kutafuta maisha, madawa ya kulevya na ushoga. ila ukweli ni kwamba maisha yenu ni magumu sana hata pamoja na kuwapa uhuru wa kuishi bara, kumiliki ardhi bara na kufanya biashara bara kama raia.
 
Wabara wakipewa ardhi Zanzibar wanajenga makanisa ndio upuuuzi mkubwa wanaowapelekea wazanzibari, Zanzibar ni kisiwa na sasa wazanzibari wenyewe ardhi iliyoko haiwatoshi hao watanganyika wanataka waendeleze makanisa na ushoga tu,
bro, makanisa tushajenga sana huku bara. zanzibar watu hawazidi hata milioni 2, bara watu ni zaidi ya milioni 58. mbona huku bara mnakuja na mnaishi vizuri tu wakati makanisa yapo? hizi ndio akili za kuamini mwarabu ndio mungu wenu wa pili mnawalamba makalio milele.
 
Hapa Kenya pia twauza port kwa DP world. Pale Somalia berbera pia walinunua. Wamenyangaya Yemen socotra island. Wale wanafahamu geopolitics wanaelewa yanayojiri. Hii yote inahusikana na kumiliki red Sea. Hii imeleta mzozo na USA. Hii ndio chanzo cha vita vya Yemen na Sudan . Mkumbuke UAE na Saudi Arabia ni familia moja.
 
Good point
 
Wajinga Sana hawajielewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…