Suala la kuachiwa Mashehe wa Uamsho ni vema wanasiasa wakaliacha kando


..lakini pia hatuhitaji system yenye watu WAHUNI kama sabaya, makonda, na wengine.

..hatuhitaji system inayofuga makundi yanayoteka nyara wananchi.
 
Hizo fidia zitatoka kwenye mfuko wa nani?
 
Hizo fidia zitatoka kwenye mfuko wa nani?

..fidia zitatoka kwenye mifuko ya watanzania.

..ukumbuke waliowashikilia hao mashekhe bila ushahidi mishahara yao inatokana na kodi za watanzania.
 
..fidia zitatoka kwenye mifuko ya watanzania.

..ukumbuke waliowashikilia hao mashekhe bila ushahidi mishahara yao inatokana na kodi za watanzania.
Kama fidia inatoka kwetu basi DPP na askari hawapati madhara navyojua Afrika hawachelewi kufanya huo utaratibu kama kitega uchumi.
 
Kama fidia inatoka kwetu basi DPP na askari hawapati madhara navyojua Afrika hawachelewi kufanya huo utaratibu kama kitega uchumi.

..bila kudaiwa fidia serikali kilichowatokea hao mashekhe kitatokea kwa wengine.

..fikiria tukio la kuuwawa mwandishi wa habari daudi mwangosi.

..Familia yake ilitakiwa ilipwe na serikali / jeshi la polisi. Sina uhakika kama hilo limetokea.
 
Wengine tunaomba tu hao masheikh wasimvue nguo huyo Mama kwa kuichafua tena Zanzibar na matukio ya mwaka 2012.

Sheikh Aboud Rogo alikuwa na msemo wake kwamba,"It's our Innocents for their Innocents"

Sidhani kama hao masheikh wanahitaji fidia ya pesa likely watatafuta Innocents wa kuwahujumu.

Who are those Innocents?
 
..bila kudaiwa fidia serikali kilichowatokea hao mashekhe kitatokea kwa wengine.

..fikiria tukio la kuuwawa mwandishi wa habari daudi mwangosi.

..Familia yake ilitakiwa ilipwe na serikali / jeshi la polisi. Sina uhakika kama hilo limetokea.
Serikali/jeshi la polisi ikilipa fidia maana yake sisi walipa kodi tumelipa. Kama viongozi waandamizi wasiposhitakiwa basi serikali itaendelea kuwaweka watu ndani na fidia tutalipa sisi.
 
Mkiisumbua sana serikali itawarudisha tena ndani...
 
Ni kazi sana kutenganisha Uislam na Ugaidi
Ni kwa sababu ili uitwe gaidi lazima uwe muislamu, wewe ambaye si muislamu hata ufanyaje ni ngumu kuitwa gaidi maana ugaidi imekuwa ni vitendo vya mauwaji au uhalifu unaofanywa na waislamu hivyo kumwita asiyekuwa muislamu kuwa ni gaidi inakuwa kinyume.
 
Hii no Kete ya wanasiasa wetu maana wao wakikaa kwa kutulia nchi kiwa nimetulia wao wanakosa hoja ,hii itawapa kiki
 
Kaka unakumbukumbu sana, nakumbuka inshu ile ya kuchinja iliondoka na mchungaj aliyeitwa Mathayo Kachila wa Buselesele, Damu ilimwagika kule. Alikuwepo Shekhe Ismail kule, alikuwa kichwa sana. Nakumbuka Waziri Mkuu PINDA alikwenda na timu yake kusuruhisha akatoka patupu. Kidogo SHIGONGO ambaye sasa ni mbunge wa Buchosa alitumia ushawishi wake kidogo mambo yakaanza kukaa sawa. MUNGU ashukuriwe sana kwa kutupitisha katika kipindi kigumu kile!
 
Sina huo muda
Hili swala ni zito Mkuu, Serikali ina Siri nyingi na inao uwezo wa kupata taarifa zote kadiri wanavyotaka!

Narudia tena sio rahisi kuwashikilia watu wale waliokuwa na influence kubwa vile bila sababu za msingi.

Na mpaka wamefikia hatua ya kuachiliwa huru lazima Serikali imejiridhisha vya kutosha kwamba huenda hawana madhara tena Kama ilivyokuwa awali
 
Kila mmoja ana namna yake ya kuona mambo. Ni ukweli kwamba hata iweje hatuwezi kujua kila kitu kinachotokea ndani ya nchi na kinachofanywa na Serikali

Wanaharakati wataongea, wanasiasa wataongea lakini serikali nayo ina nafasi ya kufanya yake

Kwa miaka yote tangu wakamatwe hawa watu hawakuwahi kunyamanza ! Lakini imewapendeza leo wawarudishe kwao Zanzibar baada ya miaka 9 pamoja na kelele za wanasiasa na wanaharakati kwa miaka yote hiyo
 
Sawa mkuu
 

Huyu mama ana uzanzibar sana. Hawa wapemba kutwa kuona wanaonewa. Sijaona faida ya muungano hata kidogo. Ni bora wakae kwao. Siku kikinuka, tutawamaliza huku hukuu uswahilini.
 
Mashekhe walipwe FIDIA ili kukomesha utamaduni wa serikali kushikilia wananchi kwa makosa wasiyoweza kuyathibitisha mahakamani.

Namimi napataka hapo hapo. Kwa vile hakuna ushahidi, na serikali haitakuwa na uwezo wa kujua ushahidi. Basi tutamalizana kitaani. Mbwa kama hawa wanastahili kifo. Hakuna lingine. Wacha serikali ishindwe kesi kwa waahalifu sisi wengine tutachukua sheria mkononi.
 
Bwana zitto kali komalia ilo swala utasema alikua ana wapigania wana siasa bhana
 
wewe ni mpuuzi tu ivi kwa akili yako ya mavi kama kweli kuna kesi hapo si wengekuwa zamani washahukumiwa hao kosa lao kubwa ni kuutaja muungano lakini jambo lakusikitisha eti unaambiwa Tanzania ni nchi imepata huru mimi naona ni bora ukoloni ule wakizungu ulikuwa na haki kuliko huu ukuloni wa kiafrika unaitwa nchi huru ivi kweli wewe kwa akili zako za matope jaji vipi atasikiliza upuuzu huu mtu analetwa mahakamani halafu unaambia ushahidi hauja kamilika na wewe jaji unatizama tu miaka 9 hujaitupiliya mbali kesi hio halafu unasema kunasheria hapo halafu kwa sheria za ukandamizaji za kijinga serikali inaweza kukuweka ndani kwa muda wa miaka 100 halafu ikafuta hio kesi na hakuna kuulizwa wala hakuna fidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…