Suala la kuachiwa Mashehe wa Uamsho ni vema wanasiasa wakaliacha kando

Suala la kuachiwa Mashehe wa Uamsho ni vema wanasiasa wakaliacha kando

Wajaribu kuomba fidia kama wanataka kumtafutia mama wakati mgumu kwa maamuzi yake ya kuwatoa.

Uamsho ni tatizo la CCM, serikali ya Zanzibar na pro unionists; na wasidhani wazanzibari wote wamepokea kwa shangwe kutoka kwa uamsho hao watu walikuwa wanatengeneza divisions huko visiwani.

As far as bara is concerned can we afford a president anayeweza kuwa influenced by people outside the system so easily? Only in Tanzania, hakuna nchi nyingine duniani civil service yao itakubali.

..lakini pia hatuhitaji system yenye watu WAHUNI kama sabaya, makonda, na wengine.

..hatuhitaji system inayofuga makundi yanayoteka nyara wananchi.
 
Mashekhe wakadai FIDIA ili iwe fundisho kwa watendaji wa serikali kuwa makini wanapotuhumu wananchi.

Pia namsihi Mh.Sugu akadai fidia kwani mahakama ilithibitishwa kwamba serikali ilimshitaki kwa hila.

Mwingine ni Mdude Nyagali ambaye suala lake la kuteswa akiwa mikononi mwa Polisi limekuwa likipigwa danadana na Tume ya Haki za Binaadamu. Mdude asikwamishwe kumshtaki IGP na jeshi la Polisi.
Hizo fidia zitatoka kwenye mfuko wa nani?
 
Hizo fidia zitatoka kwenye mfuko wa nani?

..fidia zitatoka kwenye mifuko ya watanzania.

..ukumbuke waliowashikilia hao mashekhe bila ushahidi mishahara yao inatokana na kodi za watanzania.
 
..fidia zitatoka kwenye mifuko ya watanzania.

..ukumbuke waliowashikilia hao mashekhe bila ushahidi mishahara yao inatokana na kodi za watanzania.
Kama fidia inatoka kwetu basi DPP na askari hawapati madhara navyojua Afrika hawachelewi kufanya huo utaratibu kama kitega uchumi.
 
Kama fidia inatoka kwetu basi DPP na askari hawapati madhara navyojua Afrika hawachelewi kufanya huo utaratibu kama kitega uchumi.

..bila kudaiwa fidia serikali kilichowatokea hao mashekhe kitatokea kwa wengine.

..fikiria tukio la kuuwawa mwandishi wa habari daudi mwangosi.

..Familia yake ilitakiwa ilipwe na serikali / jeshi la polisi. Sina uhakika kama hilo limetokea.
 
Wengine tunaomba tu hao masheikh wasimvue nguo huyo Mama kwa kuichafua tena Zanzibar na matukio ya mwaka 2012.

Sheikh Aboud Rogo alikuwa na msemo wake kwamba,"It's our Innocents for their Innocents"

Sidhani kama hao masheikh wanahitaji fidia ya pesa likely watatafuta Innocents wa kuwahujumu.

Who are those Innocents?
 
..bila kudaiwa fidia serikali kilichowatokea hao mashekhe kitatokea kwa wengine.

..fikiria tukio la kuuwawa mwandishi wa habari daudi mwangosi.

..Familia yake ilitakiwa ilipwe na serikali / jeshi la polisi. Sina uhakika kama hilo limetokea.
Serikali/jeshi la polisi ikilipa fidia maana yake sisi walipa kodi tumelipa. Kama viongozi waandamizi wasiposhitakiwa basi serikali itaendelea kuwaweka watu ndani na fidia tutalipa sisi.
 
Mkiisumbua sana serikali itawarudisha tena ndani...
 
Ni kazi sana kutenganisha Uislam na Ugaidi
Ni kwa sababu ili uitwe gaidi lazima uwe muislamu, wewe ambaye si muislamu hata ufanyaje ni ngumu kuitwa gaidi maana ugaidi imekuwa ni vitendo vya mauwaji au uhalifu unaofanywa na waislamu hivyo kumwita asiyekuwa muislamu kuwa ni gaidi inakuwa kinyume.
 
Hawa ndugu zetu wa mama watoto shida sana,wao huamini Kwamba huwezi kutenganisha Uislam na Siasa, au maisha ya jamii, Awamu ya Mkapa,1995-2005, walimpa Mkapa shida sana.

Kwanza walianza kudai Watoto wa Kiislam wavae hijabu shuleni,Serikali ikaridhia,wakataka Tena,Mwanamke Muislam asitibiwe na Dokta wa kiume,hii ikishindikana,wakataka Tena Hata polisi na wanajeshi wa kike wavae hijabu, Serikali ikagoma, Kipindi fulani,kwenye bunge la Katiba wakataka ofisi ya kadhi mkuu, iwepo kwenye Katiba,Tena Kadhi alipwe mshahara na Serikali.

Sasa hii hukumu ya Mashekhe, kuachiliwa kwao huru,tuombe isije ikawa Uzanzibar na Uislam wa Raisi Samia umechangia,kama ni hivyo,tutakuwa tumefungulia "pandola box"yatatokea Mengi huko mbele.

Nakumbuka miaka ya 93,94,kipindi Cha Mwinyi,hawa ndugu zetu walijichukulia sheria mikononi,kukataa eti bucha za kitimoto zisiwe kwenye maeneo yenye waislam wengi,basi kuanzia Ubungo River side,mpaka ubungo mataa(zamani ubungo minazi)walivamia mabucha na kuanza kuyavunja.

Kipindi Cha Kikwete,wakaja Tena na balaa jingine,wanataka wao ndio waruhusiwe kuchinja,hawataki kabisa "mkristo achinje"kwenye machinjio ya Serikali walitaka waajiriwe wa "Islam tu.

Hii ishu ilimalizwa kwa busara kubwa na Mzee Mwinyi.

Mama Samia Ajipange
Hii no Kete ya wanasiasa wetu maana wao wakikaa kwa kutulia nchi kiwa nimetulia wao wanakosa hoja ,hii itawapa kiki
 
Kaka unakumbukumbu sana, nakumbuka inshu ile ya kuchinja iliondoka na mchungaj aliyeitwa Mathayo Kachila wa Buselesele, Damu ilimwagika kule. Alikuwepo Shekhe Ismail kule, alikuwa kichwa sana. Nakumbuka Waziri Mkuu PINDA alikwenda na timu yake kusuruhisha akatoka patupu. Kidogo SHIGONGO ambaye sasa ni mbunge wa Buchosa alitumia ushawishi wake kidogo mambo yakaanza kukaa sawa. MUNGU ashukuriwe sana kwa kutupitisha katika kipindi kigumu kile!
 
Sina huo muda
Hili swala ni zito Mkuu, Serikali ina Siri nyingi na inao uwezo wa kupata taarifa zote kadiri wanavyotaka!

Narudia tena sio rahisi kuwashikilia watu wale waliokuwa na influence kubwa vile bila sababu za msingi.

Na mpaka wamefikia hatua ya kuachiliwa huru lazima Serikali imejiridhisha vya kutosha kwamba huenda hawana madhara tena Kama ilivyokuwa awali
 
1. Usinifanye nifikiri kuwa unaandika haya bila kuwa na ufahamu wa kutosha namna serikali za kidunia hususani za Ki - Afrika na hususani ya Tanzania chini ya CCM inavyofanya kazi yake ili kujihakikishia inabaki madarakani...

2. Usinifanye nifikiri kuwa hujui kuwa serikali hii chini ya CCM inawatengenezea kesi mbaya, za makosa yasiyo na dhamana watu wote wanaoikosoa kwa ukali na uwazi. Hii ilikuwa mbaya zaidi wakati wa uongozi wa Mwendazake Magufuli kama Rais. Mfano dhahiri ni aina ya viongozi kama Sabaya (aliyekuwa DC wa Hai - Kilimanjaro) na Paulo Makonda (aliyekuwa RC - DSM)

3. Usinifanye niamini kuwa hujui kuwa kuna watu mpaka leo wako mahabusu au jela kwa kesi za namna hii hii, za kubumba kwa watu kutumia mamlaka yao ya kiutawala kuonea na kuwanyanyasa watu na kuwanyima haki zao...

4. Usinifanye niamini kuwa hata hujui kwamba, baadhi ya wakosoaji dhidi ya serikali ya Tanzania na viongozi wake chini ya CCM ambao walishindikana kushitakika mahakamani kwa kubambikizuwa makosa/kesi mbaya, aidha waliteswa na kuuwawa/kupotezwa na wengine kwa kutonywa na watu wema ndani ya serikali hiyohiyo walikimbia nchi na wanaishi uhamishoni nje ya nchi mpaka sasa...!

KWA HIYO;

1. Kwanini wewe unataka wanasiasa wasiseme na kukemea dhambi na tabia hii mbaya toka kwa baadhi ya viongozi/watawala? Wakiacha kufanya hivi, nani apaze sauti kukemea tabia na maovu haya toka kwa watawala waovu hawa...? Je, una maslahi na haya maovu wewe?

2. Kuna maslahi gani ya nchi kutoka kwenye kesi hii iliyowatesa watu wasio na hatia kwa takribani miaka 9 wakiwa gerezani...??

3. Hakuna sababu wala kosa lolote la ugaidi dhidi ya watu hawa (mashekhe) zaidi tu ya kwamba walikuwa na wataendelea kuukosoa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Hilo ndilo kosa lao na CCM hawataki na wasingependa mtu alete chokochoko kwenye jambo hili kwa sababu ndiyo uhai wa CCM na serikali yao ulipo. Kujaribu kuukosoa muungano huu haramu ni kutafuta kesi yq ugaidi tu...!!

4. Watu wengine wanasema eti ooh, walisababisha watu kuanza kuuana kwa tundikali nk nk. Sasa mtu unashindwa kuelewa, kwamba, kama ndivyo kwanini walioua ndiyo wasikamatwe na kushitakiwa? Tangu lini kesi ya kuua inageuka kuwa kesi ya ugaidi...??

HAPANA, HAPANA... Uovu huu na kukiukwa kwa haki za watu kwa namna hii lazima kupaziwe sauti popote na kila mtu; kwenye majukwaa ya kisiasa na wanasiasa, makanisani na wachungaji na maaskofu; misikitini na maimamu na mashekhe; wanaharakati na vikundi vya kutetea haki za binadamu.....wote wapaze sauti zao kuupinga uovu...

IMEANDIKWA; "....mpingeni shetani, naye atawakimbia..."

Lazima shetani ----- chanzo cha uovu, kitovu cha uovu apingwe kwa nguvu zote....!!
Kila mmoja ana namna yake ya kuona mambo. Ni ukweli kwamba hata iweje hatuwezi kujua kila kitu kinachotokea ndani ya nchi na kinachofanywa na Serikali

Wanaharakati wataongea, wanasiasa wataongea lakini serikali nayo ina nafasi ya kufanya yake

Kwa miaka yote tangu wakamatwe hawa watu hawakuwahi kunyamanza ! Lakini imewapendeza leo wawarudishe kwao Zanzibar baada ya miaka 9 pamoja na kelele za wanasiasa na wanaharakati kwa miaka yote hiyo
 
Hili swala ni zito Mkuu, Serikali ina Siri nyingi na inao uwezo wa kupata taarifa zote kadiri wanavyotaka!

Narudia tena sio rahisi kuwashikilia watu wale waliokuwa na influence kubwa vile bila sababu za msingi.

Na mpaka wamefikia hatua ya kuachiliwa huru lazima Serikali imejiridhisha vya kutosha kwamba huenda hawana madhara tena Kama ilivyokuwa awali
Sawa mkuu
 
Hawa ndugu zetu wa mama watoto shida sana,wao huamini Kwamba huwezi kutenganisha Uislam na Siasa, au maisha ya jamii, Awamu ya Mkapa,1995-2005, walimpa Mkapa shida sana.

Kwanza walianza kudai Watoto wa Kiislam wavae hijabu shuleni,Serikali ikaridhia,wakataka Tena,Mwanamke Muislam asitibiwe na Dokta wa kiume,hii ikishindikana,wakataka Tena Hata polisi na wanajeshi wa kike wavae hijabu, Serikali ikagoma, Kipindi fulani,kwenye bunge la Katiba wakataka ofisi ya kadhi mkuu, iwepo kwenye Katiba,Tena Kadhi alipwe mshahara na Serikali.

Sasa hii hukumu ya Mashekhe, kuachiliwa kwao huru,tuombe isije ikawa Uzanzibar na Uislam wa Raisi Samia umechangia,kama ni hivyo,tutakuwa tumefungulia "pandola box"yatatokea Mengi huko mbele.

Nakumbuka miaka ya 93,94,kipindi Cha Mwinyi,hawa ndugu zetu walijichukulia sheria mikononi,kukataa eti bucha za kitimoto zisiwe kwenye maeneo yenye waislam wengi,basi kuanzia Ubungo River side,mpaka ubungo mataa(zamani ubungo minazi)walivamia mabucha na kuanza kuyavunja.

Kipindi Cha Kikwete,wakaja Tena na balaa jingine,wanataka wao ndio waruhusiwe kuchinja,hawataki kabisa "mkristo achinje"kwenye machinjio ya Serikali walitaka waajiriwe wa "Islam tu.

Hii ishu ilimalizwa kwa busara kubwa na Mzee Mwinyi.

Mama Samia Ajipange

Huyu mama ana uzanzibar sana. Hawa wapemba kutwa kuona wanaonewa. Sijaona faida ya muungano hata kidogo. Ni bora wakae kwao. Siku kikinuka, tutawamaliza huku hukuu uswahilini.
 
Mashekhe walipwe FIDIA ili kukomesha utamaduni wa serikali kushikilia wananchi kwa makosa wasiyoweza kuyathibitisha mahakamani.

Namimi napataka hapo hapo. Kwa vile hakuna ushahidi, na serikali haitakuwa na uwezo wa kujua ushahidi. Basi tutamalizana kitaani. Mbwa kama hawa wanastahili kifo. Hakuna lingine. Wacha serikali ishindwe kesi kwa waahalifu sisi wengine tutachukua sheria mkononi.
 
Bwana zitto kali komalia ilo swala utasema alikua ana wapigania wana siasa bhana
 
Leo tena jamii ya Watanzania wameshusha pumzi kwa mara nyingine baada ya kusikia Mashehe wa uamsho kuachiliwa huru.

Kuna maoni mengi sana kwa watu. Mengi ya maoni hayo pamoja na kupongeza kitendo hicho wameenda mbali kwamba serikali iwalipe fidia. Hili limekuwa kubwa zaidi.

Wanasiasa na wanaharakati walilipigia kelele kwa muda mrefu Sasa baada ya kuachiliwa wamelipokea tena kwa namna nyingine.

Sio mjuzi wa sheria lakini naamini serikali walikuwa na sababu za msingi kuwashikilia hawa Mashekhe.

Tunapoanza kupiga kelele kuwa wakadai fidia mahakamani nadhani tungewapa muda kwanza. Wale Mashekhe naamini sio watu wa kusemewa na kuelekezwa kila kitu.

Wanao uwezo wa kujisimamia na kuamua kwa busara zao baada ya kusikiliza nafsi zao juu ya tuhuma walizoshutumiwa nazo.

Kuondoa shitaka mahakamani baada ya muda mrefu hivyo Mimi na wewe tunaweza tusijue kwa undani sababu iliyoifanya serikali kufikia uamuzi huo.

Tusije mtaani na kuwatakatifuza wakaonekana kana kwamba walikuwa mahabusu kwa kosa la kusingiziwa au kuonewa

Miaka tisa ni mingi sana kumfanya mtu ajue alipokosea na kujutia makosa yake na akawa tayari kujirudi kabisa.

Moja ya Mashekhe walioachiliwa amekiri kwamba wamejifunza mengi na kifungu kilichotumika kuwaweka huru kinampa mamlaka DPP kuwashitaki tena kwa kosa lilelile la awali endapo watatenda kosa lolote linaloelekeana na kosa walilokuwa wameshitakiwa nalo.

Ni mapema sana kuanza kuona Kama walionewa na kusingiziwa makosa hayo waliyokuwa nayo. Tusitumie muda na nguvu nyingi kutaka jamii iwaone watakatifu.

Si kila shitaka linaloondolewa mahakamani linakuwa limekosa ushahidi, mengine huondolewa kwa manufaa ya umma hasa linapooneka kutokuwa na madhara tena kwa wakati huo.

Lakini pia tufahamu kuwa hawa walishitakiwa kwa kosa la ugaidi. Kwa serikali makini si rahisi sana kufikia hatua ya kutoa hukumu kwa watu wake kwa kosa Kama hilo hasa ukizingatia ugaidi ni tishio la dunia.

Hapa lazima kuna technicalities zimechezwa ili mzani ubalance kati ya serikali na waliokuwa watuhumiwa.

Tumshukuru Mungu hili swala limefika mwisho maana huku nje presha ilishaanza kuwa kubwa pia hivyo hatujui hii presha na kelele ya nje ingetufikisha wapi.

Lakini pia tumuombe Mungu hayo yaliyokuwa yanaendelea kipindi kile wanakamatwa yasitokee tena. Tuishi kwa amani, upendo na utulivu.
wewe ni mpuuzi tu ivi kwa akili yako ya mavi kama kweli kuna kesi hapo si wengekuwa zamani washahukumiwa hao kosa lao kubwa ni kuutaja muungano lakini jambo lakusikitisha eti unaambiwa Tanzania ni nchi imepata huru mimi naona ni bora ukoloni ule wakizungu ulikuwa na haki kuliko huu ukuloni wa kiafrika unaitwa nchi huru ivi kweli wewe kwa akili zako za matope jaji vipi atasikiliza upuuzu huu mtu analetwa mahakamani halafu unaambia ushahidi hauja kamilika na wewe jaji unatizama tu miaka 9 hujaitupiliya mbali kesi hio halafu unasema kunasheria hapo halafu kwa sheria za ukandamizaji za kijinga serikali inaweza kukuweka ndani kwa muda wa miaka 100 halafu ikafuta hio kesi na hakuna kuulizwa wala hakuna fidia
 
Back
Top Bottom