Wajaribu kuomba fidia kama wanataka kumtafutia mama wakati mgumu kwa maamuzi yake ya kuwatoa.
Uamsho ni tatizo la CCM, serikali ya Zanzibar na pro unionists; na wasidhani wazanzibari wote wamepokea kwa shangwe kutoka kwa uamsho hao watu walikuwa wanatengeneza divisions huko visiwani.
As far as bara is concerned can we afford a president anayeweza kuwa influenced by people outside the system so easily? Only in Tanzania, hakuna nchi nyingine duniani civil service yao itakubali.
..lakini pia hatuhitaji system yenye watu WAHUNI kama sabaya, makonda, na wengine.
..hatuhitaji system inayofuga makundi yanayoteka nyara wananchi.