Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #81
Pamoja sanaTumeelewana kabisa Lord denning✍✍✍✍✍
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja sanaTumeelewana kabisa Lord denning✍✍✍✍✍
Magufuli hakuwa kiongozi.JPM aliwapa jeuri sana..
Sasa mnavuna alichopanda hayati..
Nguvu ipo, utashi wa serikali kuitumia nguvu hiyo ndio umekuwa ukikosekana. Imekuwa ikitumika kisiasa tu wakati wa uchaguzi.Kuna wakati nguvu lazima itumike,
Tanzania haitakuwa ya kwanza ku deal na mass rural to cities migration.
Machinga ni vijana wanaotakiwa kutumiwa kwa nguvu zao.
Mimi nahisi kuwe na fine/faini kwa yeyote anayekutwa anauza bidhaa eneo ambalo hatakiwi kuwa. Hii itawazuia kufanya biashara popote. Sio vizuri kufanya biashara mbele ya mtu anayelipa kodi.NO. ingawa i agree kuwe na utaratibu mzuri wa kuwapanga kutambulika rasmi
Kariakoo imechafuka! Sasa wenye maduka wanawapa bidhaa ili wauze Kama wachuuzi na serikali inapoteza mapato mengi sanaHaya yote kasababisha yule "nileteeni Gwajima"
Siku hizi ukipita kariakoo umachinga kila kona na hawana wasiwasi.
Jamani eeh hawa wamekupeni kura lakini isiwe sababu ya kusababisha tabu kwa wengine.
Leo nilipita Mtaa wa Kongo machinga wamefunga barabara yote hata pakukanyaga ni mtihani nikajiuliza hv hii nchi ina sheria au tunaishi kama kuku.!!!😎
Makala ondosha machinga usiogope lawama ajali nyingi zinatokea maeneo ya Msimbazi kutokana na uzembe na ujinga huu wa kuwaogopa hawa wamachinga.
Mama Samia hawa wamachinga ni chanzo cha ajali nyingi katikati ya jiji tafadhali fanya jambo mama.
Serikali ikiamua huwa haishindwi. Ukijiuliza tu Kwa nini maeneo ya Lugalo hapo Dar huwezi kukuta machinga jibu unalopata ni kuwa Serikali ikiamua kuwapanga hawa watu sehemu na kuwawekea utaratibu wa kufanya biashara na wakausimamia basi inawezekana kabisaNguvu ipo, utashi wa serikali kuitumia nguvu hiyo ndio umekuwa ukikosekana. Imekuwa ikitumika kisiasa tu wakati wa uchaguzi.
Cha ajabu zaidi hakuna anaejali yaani dsm is rotten city.Kariakoo imechafuka! Sasa wenye maduka wanawapa bidhaa ili wauze Kama wachuuzi na serikali inapoteza mapato mengi sana
Cha ajabu zaidi hakuna anaejali yaani dsm is rotten city.
Hamna anaewanyanyapaaUtaratibu ndio unaotakiwa ila sio kuwachukia na kuwanyanyapaa wala kuwadharau
Hao wanaotakiwa kuwapanga na kuwasimamia nao wanakula mishahara bure, kazi zao hawafanyi halafu wanataka machingaz waonekane kero kumbe wenyewe ndio kero
Kuna wakati nguvu lazima itumike,
Tanzania haitakuwa ya kwanza ku deal na mass rural to cities migration.
Machinga ni vijana wanaotakiwa kutumiwa kwa nguvu zao.
Siasa ndio inaharibu kila kitu nchi hii. Hili zoezi ni sawa na mbio zinazosimamishwa kabla ya kuanza: on your mark, get ready, stop! CCM soon utaisikia ikisema wapiga kura wasibughudhiwe. Moja ya kanuni ya kupambana na maambukizi ni kupunguza misongamano. Kwa hali ya kariakoo na magulio ya mikoani, bila corona haiwezekani.Serikali ikiamua huwa haishindwi. Ukijiuliza tu Kwa nini maeneo ya Lugalo hapo Dar huwezi kukuta machinga jibu unalopata ni kuwa Serikali ikiamua kuwapanga hawa watu sehemu na kuwawekea utaratibu wa kufanya biashara na wakausimamia basi inawezekana kabisa
Mkuu, nasikitika kukuambia kuwa "maamuzi shirikishi" na machinga (+mama lishe) yanayotaka wasionekane barabarani, chini ya transfoma, nje ya majengo ya ofisi, maduka na masoko, kwenye vituo vya mabasi na kwenye njia za wapita kwa miguu, HAYAWEZEKANI.Kama hawako tayari kuambiwa wasichotaka hapo maamuzi mengine yatafanyika. Maamuzi shirikishi ni jambo la muhimu Kwa sasa ili kuepuka migongano isiyo ya lazima!
Hutuwezi kuacha kufanya uamuzi kisa eti watakimbilia kwenye uhalifu, wakienda huko magereza yapo tu, watahifadhiwa!!yaani jitu lina mtaji karibia wa milioni sita, eti na yeye anajenga bonge ya banda anaanza kuuza pombe(grocery) na hana choo hapo ni juu ya mtalo, pembeni ana store ya mitungi ya gesi anauza!!na mama leo ndio kagonga msumali wa utosi kabisa kuwa hawalipi kodi, hivyo wanaolipa kodi wapewe kipaumbele!!!masoko yamejengwa hawataki kwenda huko, yaania anapotaka yeye ndio hapo hapo, nenda tandika, mbagala foleni za magari asilimia kubwa chanzo ni wao kuminya barabara!!Japo najua lazima tu nguvu itatumika kwani hawa kuelewa tu ni ngumu!!ila naimani sasa amiri jeshi amewapa watendaji nguvu kwani walikuwa waoga!!Machinga leo wanaitwa uchafu takataka.
Kama JPM alikuwa anapata feelings nazosikia nikiwatazama wamachinga mitaa ya kariakoo, basi Mungu ampe pumziko jema yule mzee.
Kuna wanangu sijui wataenda kuishije mtu kamaliza chuo miaka 7 hana kazi kaamua kuwa mlengaji anaanza kuona mwanga mara paap anarudishwa kitaa...
Sijui kama watu wanaona kinachoenda kutokea....all in all maisha ni vita ngumu sana mtu asipojua size ya viatu vyako anaweza fanya lolote tu... poleni sana wanangu kwa sasa hamna chenu.
Akili?? Swali lako?? Huyu mama alipigiwa kura maana aligombea pamoja na marehemu. Ambaye hakumtaka basio asingempa kura Magu. Makamu anayesimama pamoja na mgombea mwenzake anachaguliwa pamoja naye; huu mfumo ni tofauti kuliko katiba ambako rais anamteua makamu baada ya uchaguzi, au pale ambako makamu anachaguliwa na bunge. Huyu alipata kura pamoja na mwenzake.Mama hana akili,na huku mtaani hakubaliki kabisa,kwanza hakupigiwa kura
Ccm ipi tena, nakwambia usifikilie huyo Amos makala wiki iliyopita aliibuka tu, tayari kuna maagizo toka kwa rais, yalishatolewa hajasikia kilichotokea huko katavi?wameamka na kukuta mabanda yamevunjwa kwani walishaandaliwa sehemu ya kwenda hawataki?leo mh.ameamua kusema hadharani sasa, ili wajue sasa ni msimamo wa serikali, wengine walianza kusema Rc makala anaenda kufukuzwa kazi kwa kauli yake ya wiki jana!!Mwenyekiti wa chama kaisha pigilia msumali wa mwisho.Huyo Gambo ngoja kama utamsikia tena huko arusha akienda kuwatia jeuri wamachinga kama alivyofanya juzi, kuwa atawapigania usiku na mchana, hakuna kutoka!!!hii ndio kauli iliyokuwa ikisubiliwa kwa hamu.wasubilie labda 2025 huko.Siasa ndio inaharibu kila kitu nchi hii. Hili zoezi ni sawa na mbio zinazosimamishwa kabla ya kuanza: on your mark, get ready, stop! CCM soon utaisikia ikisema wapiga kura wasibughudhiwe. Moja ya kanuni ya kupambana na maambukizi ni kupunguza misongamano. Kwa hali ya kariakoo na magulio ya mikoani, bila corona haiwezekani.
Mbio za fisi hukoo kulikotoka Skm gang.Wewe uliyehamia na mbio za fisi pia unaruhusiwa kujinasibu.
Tanzania huru hii