Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Tulizeni mishono Mama aweke mambo sawaHuyu mama soon
ATA IUZA HII NCHI
MatagaHuyu mama soon
ATA IUZA HII NCHI
Katika speech yake hajasema amekusudia kufanya kipi ili kudeal na hayo mambo ambayo "hayajakaa vizuri"?Pia Rais Saia akatueleza kuhusu Mkataba wetu na Kampuni ya Madini ya Barrick kuwa kuna mambo mle kwenye mkataba hayajakaa vizuri.
Hata mimi nilishangaaKuna baadhi ya vitu alivizungumza jana nikashindwa kumuelewa, kwa mfano aliposema kuhusu madini kutoroshwa kupitia chini ya ardhi kama ni kweli alijua hili alichukua hatua gani kumwambia bosi wake?...
Katika speech yake hajasema amekusudia kufanya kipi ili kudeal na hayo mambo ambayo "hayajakaa vizuri"?
Kuongeaongea sana bila kuwa na clear action plans ni sawa na bure tu. Afterall huyu alikua pembeni ya Magufuli kwa miaka zaidi ya mitano. Hata kama inaonekana JPM alikuwa anamside line kwenye baadhi ya mambo, huyu hawezi kukwepa kuwajibika kwa mambo yote ya hovyo yaliyofanyika kipindi chote cha Magufuli.
Kivipi?Huyu mama soon
ATA IUZA HII NCHI
Sasa mwendazake angekuwa amefanya homework yake vizuri kwenye ishu ya madini, hayo madudu ya madini kutoroshwa huko Mererani, na Ishu ya mkataba wenye madudu na Barrick vingetoka wapi?Anaropoka tu ili na yeye aonekane ila hamna kitu specific anacho ongea, aseme kwenye mkataba mpya kuna changamoto hii na hii ? Amesharuhusu wa gesi ya Mtwara LNG waje, amesharuhusu wa Hellium waje atawapa tu kwa mikatabu yoyote wanayotaka, ameruhusu expatriates waje ovyo ovyo tu , kwa akili zake huu ndio uchumi...
kama alimwambia mara kadhaa boss wake na hamna hatua iliyochukuliwa je?Kuna baadhi ya vitu alivizungumza jana nikashindwa kumuelewa, kwa mfano aliposema kuhusu madini kutoroshwa kupitia chini ya ardhi kama ni kweli alijua hili alichukua hatua gani kumwambia bosi wake?...
Jiwe hakuwahi kumshirikisha Mh. Samia.Katika speech yake hajasema amekusudia kufanya kipi ili kudeal na hayo mambo ambayo "hayajakaa vizuri"?
Kuongeaongea sana bila kuwa na clear action plans ni sawa na bure tu. Afterall huyu alikua pembeni ya Magufuli kwa miaka zaidi ya mitano. Hata kama inaonekana JPM alikuwa anamside line kwenye baadhi ya mambo, huyu hawezi kukwepa kuwajibika kwa mambo yote ya hovyo yaliyofanyika kipindi chote cha Magufuli.
Nchi imepata Rais sahihi kabisa anayeelewa vizuri mwelekeo wa dunia.Huyu mama soon
ATA IUZA HII NCHI
Yule mzee alikuwa anajifanya too much know wakati ni kilaza mbobezi tuHata mm nilishangaa
Nikajiuliza alijuaje kama hayo mambo yanafanyika ina maana alikuwa anajua kitambo au?
kisa hiki kina husu zama za kiongozi mbabe Joseph Stalin.Kuna baadhi ya vitu alivizungumza jana nikashindwa kumuelewa, kwa mfano aliposema kuhusu madini kutoroshwa kupitia chini ya ardhi kama ni kweli alijua hili alichukua hatua gani kumwambia bosi wake?
Hata kama bosi wake alikuwa na tabia za ubabe na kutosikiliza ushauri, lakini sidhani kama ushauri wake huo angemwambia mwendazake angekataa kuufanyia kazi hasa alivyokuwa akipigania rasilimali za hili taifa.
Inawezekana kabisa ile hotuba ya Rais jana alichanganya na kaumbea kidogo ili kunogesha kijiwe kama zilivyo tabia za wanawake wengi, awe makini huyu mama na hizi rasilimali za taifa letu, tusijekusikia tena zile habari mtoto wa fulani kakamatwa China na madawa wakaweka bond madini au gesi yetu, kuchekeana kukizidi mwishowe hugeuka msiba mkubwa.
Zaidi ya hapo Rais alikuwa sahihi, masuala ya mikataba ya madini tuliyoingia na wazungu lazima yapelekwe taratibu, bado tunawahitaji hao watu, Tanzania sio kijiji ndio maana Lissu yalimkuta aliposema haya, kulazimisha kubadilisha mikataba sasa hivi ni kujitafutia hasara tu kwa serikali yetu, kila siku ndege zetu zimekuwa zikikamatwa huko nje, hapa naamini ndio maana Rais aliposema kuna baadhi ya mambo tusilazimishe kutunishiana misuli na hao jamaa, bado tunawahitaji.
CORONA BABA LAO.........Huyu mama soon
ATA IUZA HII NCHI