Pre GE2025 Suala la maslahi ya Tanganyika tunataka liwe addressed kampeni 2025!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Watakuja wasomi feki na wazalendo uchwala kukwambia tuna Tanzania bara na Zanzibar.

Yaani watanganyika tumekuwa brainwashed kiasi kwamba hata nchi yetu ya Tanganyika hatuitaji kwa jina na tunajificha kwenye kichaka cha Tanzania bara, wakati wazanzibar bado wanatamka proudly nchi yao ya Zanzibar.
na kuna issue nyingi tu za msingi, kipindi cha jiwe aliibua issue ya umeme wakawa wanadaiwa kama bilioni 200 kama nakumbuka, hawajawahi kulipa au wamelipa hatujui kwa sababu na rais naye ni wa kwao. na likija suala lolote la changamoto za muungano, huwa zinaangaliwa zaidi zile za wazanzibar, sasa ivi wametulia hata hatujui kama mama yao kawapendelea kimyakimya au vipi, inakuwaje miaka yote walikuwa wanaongea sasaivi wapo kimya? hivi wanasiasa huwa wanaakili kutafuta issue sensitive zinazoweza kuwadraw maccm waje kwenye meza ya mazungumzo na kutatua matatizo au?
 
Ukiutizama huu muungano Kwa hakika inaonyesha kama vile karume ndiyo alikuwa msomi alafu Nyerere aliishia la 3 C..
Kwakweli structure ya huu muungano inaonyesha kuwa Nyerere alifeli pakubwa sana, Tanganyika ni kama vile imezikwa mazima
Naamini hapa ndipo mahali pa kuwa wazi na kueleza kilichopo mtaani ili viongozi wetu kama sio kujirekebisha basi watafute solution ya kudumu kwenye mambo mbalimbali.

1. Raia wengi, wanaamini mtu mwenye courage pekee kuongelea suala la muungano, ni TL.

2. eneo dogo kama zanzibar, lenye watu hada 2m hawafiki, kuwa sawa na eneo kubwa lenye watu zaidi ya 55m, watu hawaridhiki.

3. suala la ardhi, zanzibar wanamiliki bara wapendavyo, ila bara marufuku kumiliki zanzibar?

4. kazi, asilimia 20% kazi bara wanapata wazanzibar, ila marufuku mtanganyika kuajiriwa zenji.

5. raia wa zanzibar waliowengi hasa wasio na makazi bara, hawawapendi watanganyika wala muungano. hata wale waliofaidika na tanganyika na kuishi bara, chuki wanazo nyingi sana na ipo wazi.

6. viongozi wa kuteuliwa kama mawaziri, wakurugenzi n.k, hatuwezi kuwa sawa, not fair.

7. Rais anatoka zanzibar, anaweza kuwa Rais zanzibar na akawa rais bara, ruksa, nasemani rais bar akwa sababu hata akiitwa rais wa muungano akienda zanzibar anakuwa chini ya rais wa zanzibar.

8. wengi pamoja na kwamba wapo tayari hata uvunjike, lakini kwa sababu tumeshaishi pamoja miaka mingi, wanasema hata usipovunjika itakuwa safi, ila kipengele cha rais wa zanzibar kiondoke, issue ya umiliki wa ardhi iondoke, na issue za ajira ziwe fair mtu aajiriwe pande zote mbili.

9. haiji kichwani, wewe unasema unapenda muungano, ila hautaki tuungane. kama tungemiliki ardhi kwa pamoja, wabara wata assimilate zanzibar na wazanzibari wataassimilate bara, na hapatakuwa na Tanganyika wala Zanzibar, itakuwapo TANZANIA. sasa kama wewe haupendi tuassimilate to each other, muungano upo wapi sasa na ni wa nini? si utakuwa muungano wa upande mmoja? yaani leo hii zanziba anaamini anapenda muungano ila akiruhusu ardhi ya zanzibar imilikiwe watanganyika wataimiliki yote na wazanzibar watakosa au zanzibar haitakuwepo tena, sasa kama unataka iwepo, unataka muungano upi na kivipi?

TL akija na gia hii kwenye kampeni, ndipo ajajua nini hasa kilichopo kwenye mioyo ya watanganyika, hata kitendo cha kutawaliwa na mzanzibari ambaye hatujui maslahi yake yapo bara au zenji, na hatujui pesa zetu kama zinapelekwa kujenga zenji au la. ni hayo tu. TL nishakupa password ya kuteka mioyo ya wabara tayari, kuichukua au kuiacha ni juu yako.
 
inaonyesha nyerere ndio alikuwa anajibembeleza, sawa na unatafuta mwanamke halafu unakubali kuandika viwanja na nyumba zote majina yake alimradi akukubali wakati yeye hana chochote anachooffer.
 
Ukiutizama huu muungano Kwa hakika inaonyesha kama vile karume ndiyo alikuwa msomi alafu Nyerere aliishia la 3 C..
Kwakweli structure ya huu muungano inaonyesha kuwa Nyerere alifeli pakubwa sana, Tanganyika ni kama vile imezikwa mazima
Ingawa mawazo yangu sio ha kweli lakini naweza sema Intelijensia ya Zanzibar ni Baba Lao
 
CCM ndiye adui mkubwa wa Tanganyika na Zanzibar huru.
 
Attachments

  • downloadfile.png
    downloadfile.png
    290.1 KB · Views: 4
Ninge
Naamini hapa ndipo mahali pa kuwa wazi na kueleza kilichopo mtaani ili viongozi wetu kama sio kujirekebisha basi watafute solution ya kudumu kwenye mambo mbalimbali.

1. Raia wengi, wanaamini mtu mwenye courage pekee kuongelea suala la muungano, ni TL.

2. eneo dogo kama zanzibar, lenye watu hada 2m hawafiki, kuwa sawa na eneo kubwa lenye watu zaidi ya 55m, watu hawaridhiki.

3. suala la ardhi, zanzibar wanamiliki bara wapendavyo, ila bara marufuku kumiliki zanzibar?

4. kazi, asilimia 20% kazi bara wanapata wazanzibar, ila marufuku mtanganyika kuajiriwa zenji.

5. raia wa zanzibar waliowengi hasa wasio na makazi bara, hawawapendi watanganyika wala muungano. hata wale waliofaidika na tanganyika na kuishi bara, chuki wanazo nyingi sana na ipo wazi.

6. viongozi wa kuteuliwa kama mawaziri, wakurugenzi n.k, hatuwezi kuwa sawa, not fair.

7. Rais anatoka zanzibar, anaweza kuwa Rais zanzibar na akawa rais bara, ruksa, nasemani rais bar akwa sababu hata akiitwa rais wa muungano akienda zanzibar anakuwa chini ya rais wa zanzibar.

8. wengi pamoja na kwamba wapo tayari hata uvunjike, lakini kwa sababu tumeshaishi pamoja miaka mingi, wanasema hata usipovunjika itakuwa safi, ila kipengele cha rais wa zanzibar kiondoke, issue ya umiliki wa ardhi iondoke, na issue za ajira ziwe fair mtu aajiriwe pande zote mbili.

9. haiji kichwani, wewe unasema unapenda muungano, ila hautaki tuungane. kama tungemiliki ardhi kwa pamoja, wabara wata assimilate zanzibar na wazanzibari wataassimilate bara, na hapatakuwa na Tanganyika wala Zanzibar, itakuwapo TANZANIA. sasa kama wewe haupendi tuassimilate to each other, muungano upo wapi sasa na ni wa nini? si utakuwa muungano wa upande mmoja? yaani leo hii zanziba anaamini anapenda muungano ila akiruhusu ardhi ya zanzibar imilikiwe watanganyika wataimiliki yote na wazanzibar watakosa au zanzibar haitakuwepo tena, sasa kama unataka iwepo, unataka muungano upi na kivipi?

TL akija na gia hii kwenye kampeni, ndipo ajajua nini hasa kilichopo kwenye mioyo ya watanganyika, hata kitendo cha kutawaliwa na mzanzibari ambaye hatujui maslahi yake yapo bara au zenji, na hatujui pesa zetu kama zinapelekwa kujenga zenji au la. ni hayo tu. TL nishakupa password ya kuteka mioyo ya wabara tayari, kuichukua au kuiacha ni juu yako.
Ningekuwa karibu yako brooo, ningekutemea mate ya uso!! Rubbish
 
Back
Top Bottom