Liwagu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 5,593
- 6,754
Tufanye ipo huko ufipa so?
Inamaana we mwandishi hujui faida za Muungano au???
Kuna ujinga nwingi sana kwenye huu muungano.Kwani Tanzania ni muungano wa nchi mbili, zipi? si Tanganyika na Zanzibar? kama mzanzibari anakuja kutawala hapa, tunajuaje kama anatumia mipesa ya Tanganyika kujenga zanzibar? wakati za zanzibar hazijengi Tanganyika? kwanini zote mbili tanganyika na zanzibar zisifutike tuwe na Tanzania, ardhi tumiliki pande zote mbili na tuassimilate ili tuishi kote, kwa kufanya hivyo muungano utakuwa halisi na hautakuja kuvunjika tena wala malalamiko hayatakuwepo. sasa leo unakuwa na Rais wa muungano ambaye akienda zanzibar anakuwa chini ya rais wa zanzibar, tunakuwa na mzanzibari anayekuwa rais bara, ila mbara hawezi kuwa rais kule wakati mzanzibar anakuwa rais bara na zanzibar uksa, kwani tuna shida gani sisi watanganyika hadi tujibembeleze kiasi hicho?
Inahitajika akili kisodatu kuelewa kasoro lukuki za muungano
Kamatunaamua kuungana tuungane jumla.
Kwanza wananchi wapandezote ukiwaangalia nikama ndugutu, sijui nini kinazuiya kuwa na muungano wenye tija.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app