kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,348
- 7,058
Zingatia nenolangu nililosema "mataahira ni mengi".Umeambiwa mchele utakaoletwa utawekwa virutubisho. Wee peleka kijana wako apige ubwabwa kugeuzwa yeye kua ubwabwa. Eti wakienda nje wanapiga ubwabwa umeambiwa huo umewekwa virutubisho hivi wanataka kuwekea watoto wetu?
Kwa hiyo hata kusoma hujui? umesoma ingredients zilizomo kwenye huo unga wa AZAM? hujaona kuwa uko fortified? Unajua wananunua wapi hivyo virutubisho wanavyotumia?. Jitahidi kusoma uongeze upeo wako wa mambo muhimu.Mafuta natumia ya alizeti nalima mwenyewe shambani yanakamuliwa mashine. Ngano natumia ya SSB inazalishwa hapa hapa bongo chumvi inachimbwa bagamoyo sukari bagamoyo mahindi yanalimwa hapa hapa Tanzania. Kipi kingine mkuu
Hapa Bongo wajinga wanaongezeka kila kukicha.duniani kote idadi ya watu wasiokuwa na akili ni kubwa mara nne zaidi ya watu wenye akili.
Mimi siyo zuzu, Bali ni kubwa la Mazuzu. Kama umeshindwa kuelewa Hilo, nakualika chamani. Kadi namba 100 ya UZUZU nakupatia kuanzia Leo.wewe ndio zuzu mbona?
UNA MAANA VILAZA?Tangu huu Mchele ulipotolewa na Marekani nimewaona Watanzania kuwa wana akili ndogo sana.
Ikiwa mnashindwa kuwapa watoto wenu chakula bora huko shuleni na wanakonda na kupata utapiamlo, then ghafla mnapata msaada mnakimbilia katika kichaka cha ushoga!
Hizi nchi za watu wenye low minded people ni ngumu kuziongoza, ndio maana watu wenye akili zinazowaza vyema hujitenga na siasa.
Mnasahau kuwa hii nchi ni masikini kwa kila kitu.
Ajenda ya ushoga ni kichaka cha watu wajinga kujificha.
Waswahili wengi pamoja na kuwa wamesoma Ila hawapo logically Ila wapo emotionally.
Hupenda kuongea bila kuhusisha ufahamu hivyo hata ushoga wenyewe asilimia kubwa wanaouzungumzia hawauelewi ni nini na hawajui unasababishwa na nini.
Ndiyo na hapana. Udadisi ndiyo akiliWasiwasi ndiyo Akili Acha tuhoji Kwanza kabla ya kupokea misaada ya kishamba
Kwenye Aya ya mwisho naunga mkono hoja inahuzunisha Sanaa..Ila ni kweli suala la ushoga linatumika sana kuzima hoja muhimu. Huku JF kuna hadi uzi mtu anasema wanaume kusalimiana "mambo" au kutakiana usiku mwema ni ushoga... mambo ya kipumbavu sana. Kama TBS wamethibitisha mchele hauna shida wapewe mafukara wa Dodoma wale. Waziri wa kilimo naye ni kenge kama kenge wengine. Nchi yenye mvua zaidi ya 1000mm kwa mwaka inashindwa kulima ngano hata 100,000 metric tonnes inahuzunisha.