Suala la mchele imeonesha wazi kuwa nchi yetu ina hazina kubwa ya watu wenye akili ndogo

Suala la mchele imeonesha wazi kuwa nchi yetu ina hazina kubwa ya watu wenye akili ndogo

Umeambiwa mchele utakaoletwa utawekwa virutubisho. Wee peleka kijana wako apige ubwabwa kugeuzwa yeye kua ubwabwa. Eti wakienda nje wanapiga ubwabwa umeambiwa huo umewekwa virutubisho hivi wanataka kuwekea watoto wetu?
Zingatia nenolangu nililosema "mataahira ni mengi".
Watafiti wanasema Afrika IQ zawengi ni below 70 which is considered as mental retarded!!!
Pia tafiti zinadai Kila kwenye watu wanne kunakichaa mmoja...
 
Mafuta natumia ya alizeti nalima mwenyewe shambani yanakamuliwa mashine. Ngano natumia ya SSB inazalishwa hapa hapa bongo chumvi inachimbwa bagamoyo sukari bagamoyo mahindi yanalimwa hapa hapa Tanzania. Kipi kingine mkuu
Kwa hiyo hata kusoma hujui? umesoma ingredients zilizomo kwenye huo unga wa AZAM? hujaona kuwa uko fortified? Unajua wananunua wapi hivyo virutubisho wanavyotumia?. Jitahidi kusoma uongeze upeo wako wa mambo muhimu.
 
Walishasema Akili ndogo uongoza Akili kubwa...Tutafika tu.
 
Tangu huu Mchele ulipotolewa na Marekani nimewaona Watanzania kuwa wana akili ndogo sana.

Ikiwa mnashindwa kuwapa watoto wenu chakula bora huko shuleni na wanakonda na kupata utapiamlo, then ghafla mnapata msaada mnakimbilia katika kichaka cha ushoga!

Hizi nchi za watu wenye low minded people ni ngumu kuziongoza, ndio maana watu wenye akili zinazowaza vyema hujitenga na siasa.

Mnasahau kuwa hii nchi ni masikini kwa kila kitu.

Ajenda ya ushoga ni kichaka cha watu wajinga kujificha.

Waswahili wengi pamoja na kuwa wamesoma Ila hawapo logically Ila wapo emotionally.

Hupenda kuongea bila kuhusisha ufahamu hivyo hata ushoga wenyewe asilimia kubwa wanaouzungumzia hawauelewi ni nini na hawajui unasababishwa na nini.
UNA MAANA VILAZA?
 
Mimi issue yangu sio Michele na mafuta yanashida ama laaa hapanaa..

Sisi sio wa kusaidiwa Michele na mafuta

Tunaweza kujilisha na kujitosheleza kwa vyakula wenyewe bila kusaidiwa na MABEBERU

Tusaidiwe kwenye angle zingine zingine Ila sio kwenye CHAKULA hapo nasema big NO

NI USHENZI NA UPUUZI MKUBWA SANAAA KUPOKEA HUO MSAADA NI MATUSI YA VIUNGO VYA UZAZI WA WAMAMA ZETU TUKIPOKEA HIZO MICHELE NA MAFUTA YA ALIZETI..
 
Ila ni kweli suala la ushoga linatumika sana kuzima hoja muhimu. Huku JF kuna hadi uzi mtu anasema wanaume kusalimiana "mambo" au kutakiana usiku mwema ni ushoga... mambo ya kipumbavu sana. Kama TBS wamethibitisha mchele hauna shida wapewe mafukara wa Dodoma wale. Waziri wa kilimo naye ni kenge kama kenge wengine. Nchi yenye mvua zaidi ya 1000mm kwa mwaka inashindwa kulima ngano hata 100,000 metric tonnes inahuzunisha.
 
Kwenye Aya ya mwisho naunga mkono hoja inahuzunisha Sanaa..
 
Back
Top Bottom