Suala la mchele imeonesha wazi kuwa nchi yetu ina hazina kubwa ya watu wenye akili ndogo

Tangu huu Mchele ulipotolewa na Marekani nimewaona Watanzania kuwa wana akili ndogo sana.

Ikiwa mnashindwa kuwapa watoto wenu chakula bora huko shuleni na wanakonda na kupata utapiamlo, then ghafla mnapata msaada mnakimbilia katika kichaka cha ushoga!

Hizi nchi za watu wenye low minded people ni ngumu kuziongoza, ndio maana watu wenye akili zinazowaza vyema hujitenga na siasa.

Mnasahau kuwa hii nchi ni masikini kwa kila kitu.

Ajenda ya ushoga ni kichaka cha watu wajinga kujificha.

Waswahili wengi pamoja na kuwa wamesoma Ila hawapo logically Ila wapo emotionally.

Hupenda kuongea bila kuhusisha ufahamu hivyo hata ushoga wenyewe asilimia kubwa wanaouzungumzia hawauelewi ni nini na hawajui unasababishwa na nini.
Wewe shoga nenda TBS kajichukulie mfuko wako mmoja wa kg 25, achana na sisi tunajitambua
 
Tangu huu Mchele ulipotolewa na Marekani nimewaona Watanzania kuwa wana akili ndogo sana.

Ikiwa mnashindwa kuwapa watoto wenu chakula bora huko shuleni na wanakonda na kupata utapiamlo, then ghafla mnapata msaada mnakimbilia katika kichaka cha ushoga!

Hizi nchi za watu wenye low minded people ni ngumu kuziongoza, ndio maana watu wenye akili zinazowaza vyema hujitenga na siasa.

Mnasahau kuwa hii nchi ni masikini kwa kila kitu.

Ajenda ya ushoga ni kichaka cha watu wajinga kujificha.

Waswahili wengi pamoja na kuwa wamesoma Ila hawapo logically Ila wapo emotionally.

Hupenda kuongea bila kuhusisha ufahamu hivyo hata ushoga wenyewe asilimia kubwa wanaouzungumzia hawauelewi ni nini na hawajui unasababishwa na nini.
Jiulize yafuatayo na usinijibu
1. What is our staple food? Is it rice or ugali? Why rice while afternoon meal at our schools is always ugali? an enticing trap is encouraged here if you are not careful buddy.
2. Nchi ina surplus ya mchele, kwa nini wasirutubishe mchele uliovunwa nchini?
3. Majirani Kenya wana nakisi ya nafaka, kwa nini hawapelekewi wao huo msaada na badala yake, wao majirani wanaagiza Brazil na Vietnam?
4. Kuna nchi kadhaa zina-declaration of extreme hunger ya WFP na UNHCR ikiwemo Palestine iliyoko vitani, iweje US food aid paradropping ilifanyika huko kwa kiwango kidogo sana ilhali misaada ya Egypt na Qatar ilikuwa mingi sana iliyofika huko?
5. Ni njia gani ilitumika kuitambua Dodoma kuwa na mahitaji ya chakula cha msaada, ikiwa rekodi zinaonesha Dodoma haijawahi kuomba msaada wa chakula kutoka ghala la Taifa? Ilhali hali ya mavuno ya Dodoma inafanana na Singida na Shinyanga? Huko Mtwara na Lindi unajua hali zao zilivyo? Utafananisha na Dodoma? What about Somalia and South Sudan?
6. Umewahi kujiuliza ni kwa nini dhana ya utoshelevu wa chakula huwa unaitwa Food SECURITY na sio Food SUFFICIENCY?
Poor you!
 
Tangu huu Mchele ulipotolewa na Marekani nimewaona Watanzania kuwa wana akili ndogo sana.

Ikiwa mnashindwa kuwapa watoto wenu chakula bora huko shuleni na wanakonda na kupata utapiamlo, then ghafla mnapata msaada mnakimbilia katika kichaka cha ushoga!

Hizi nchi za watu wenye low minded people ni ngumu kuziongoza, ndio maana watu wenye akili zinazowaza vyema hujitenga na siasa.

Mnasahau kuwa hii nchi ni masikini kwa kila kitu.

Ajenda ya ushoga ni kichaka cha watu wajinga kujificha.

Waswahili wengi pamoja na kuwa wamesoma Ila hawapo logically Ila wapo emotionally.

Hupenda kuongea bila kuhusisha ufahamu hivyo hata ushoga wenyewe asilimia kubwa wanaouzungumzia hawauelewi ni nini na hawajui unasababishwa na nini.
1.Kwanza kabisa nchi yetu sio masikini unatumia kigezo gani kusema tanzania ni masikini hatuna ardhi, hatuna maji, hatuna maliasili kuna watu wanakuja nyumbani kwako kuomba chakula.
2.Unatumia kigezo gani kusema watanzania hawana akili au hawana uwezo wa kufikiri yaani kwahiyo kwako walioweka ushoga kwenye katiba zao ndio wanafikiria vizuri sio, wamasai hawana akili kwako.
3.Bila kufanya utafiti wowote hivyo vyakula vina madhara kwanini? unaongeza virutubisho vya nini unataka watoto wakue kama kuku (broiler chicks) unataka uniambie hao watoto hasa wakiume wakikua kama kuku wataweza kusimamisha vizuri.
4.Kitu kingine hakuna asiyejua kuna watu hasa wanaohusika na hizi non govermental organization wananufaika wao na hizi deal hawajali kabisa maisha ya vizazi vyetu kuna mifano mingi kuna utafiti umefanyika mwaka jana tena na mwandishi wa channel 10 hawa watu wanasambaza ushoga kwa kasi ya ajabu zipo taasisi nyingi nawasitiri.
5.Kitu kingine tanzania hii mfano mkoa wa Njombe kule chini ya Mh Mtaka RC kuna kampeni ya lishe bora, kwanini kama nchi tusiunganishe hizi kampeni, yaani huo msaada wa chakula cha mchongo utakua endelevu, kila mwaka wataleta virutubisho vyao si wale wenyewe huko.
6.Ukweli ni kwamba kuna wasaliti wa nchi hii wananufaika kupitia hizii non govermental organization kwenye sekta nyingi wanaomba misaada ya aibu huko kwa mashoga wanapiga asilimia 40 vitu vya aibu wanawapatia watanzania wenzetu
7. Mwisho sisi sio masikini tena tuna akili, hatutaki kuwa mashoga na hatutaki mchele na maharage yenye virutubisho, watanzania tunataka mchele wa kyela na maharage ya sumbawanga wale watoto wetu, sisi ndio tuna amua watoto wetu wale nini hivyo vyakula vya kuku wa kisasa hatuvitaki.
 
Nakubaliana nawe kiukweli ni suala la aibu kwa viongozi na wananchi kwa ujumla. Ujinga na umaskini ni tatizo sana. Nimeona aibu zaidi kwa waziri kukurupuka. Ni aibu sana.
 
Tangu huu Mchele ulipotolewa na Marekani nimewaona Watanzania kuwa wana akili ndogo sana.

Ikiwa mnashindwa kuwapa watoto wenu chakula bora huko shuleni na wanakonda na kupata utapiamlo, then ghafla mnapata msaada mnakimbilia katika kichaka cha ushoga!

Hizi nchi za watu wenye low minded people ni ngumu kuziongoza, ndio maana watu wenye akili zinazowaza vyema hujitenga na siasa.

Mnasahau kuwa hii nchi ni masikini kwa kila kitu.

Ajenda ya ushoga ni kichaka cha watu wajinga kujificha.

Waswahili wengi pamoja na kuwa wamesoma Ila hawapo logically Ila wapo emotionally.

Hupenda kuongea bila kuhusisha ufahamu hivyo hata ushoga wenyewe asilimia kubwa wanaouzungumzia hawauelewi ni nini na hawajui unasababishwa na nini.
Wewe ndio utakua mjinga hadi hujitambui kama mjinga. Hata kama umesoma elimu haijakukomboa. Nina hakika wale tunaoipinga marekani ni watu tumesoma vizuri kuliko wewe. Mwenyewe nimemaliza shule darasa hadi la mwisho. Acha dharau jitafakari mjinga wewe.
 
1.Kwanza kabisa nchi yetu sio masikini unatumia kigezo gani kusema tanzania ni masikini hatuna ardhi, hatuna maji, hatuna maliasili kuna watu wanakuja nyumbani kwako kuomba chakula.
2.Unatumia kigezo gani kusema watanzania hawana akili au hawana uwezo wa kufikiri yaani kwahiyo kwako walioweka ushoga kwenye katiba zao ndio wanafikiria vizuri sio, wamasai hawana akili kwako.
3.Bila kufanya utafiti wowote hivyo vyakula vina madhara kwanini? unaongeza virutubisho vya nini unataka watoto wakue kama kuku (broiler chicks) unataka uniambie hao watoto hasa wakiume wakikua kama kuku wataweza kusimamisha vizuri.
4.Kitu kingine hakuna asiyejua kuna watu hasa wanaohusika na hizi non govermental organization wananufaika wao na hizi deal hawajali kabisa maisha ya vizazi vyetu kuna mifano mingi kuna utafiti umefanyika mwaka jana tena na mwandishi wa channel 10 hawa watu wanasambaza ushoga kwa kasi ya ajabu zipo taasisi nyingi nawasitiri.
5.Kitu kingine tanzania hii mfano mkoa wa Njombe kule chini ya Mh Mtaka RC kuna kampeni ya lishe bora, kwanini kama nchi tusiunganishe hizi kampeni, yaani huo msaada wa chakula cha mchongo utakua endelevu, kila mwaka wataleta virutubisho vyao si wale wenyewe huko.
6.Ukweli ni kwamba kuna wasaliti wa nchi hii wananufaika kupitia hizii non govermental organization kwenye sekta nyingi wanaomba misaada ya aibu huko kwa mashoga wanapiga asilimia 40 vitu vya aibu wanawapatia watanzania wenzetu
7. Mwisho sisi sio masikini tena tuna akili, hatutaki kuwa mashoga na hatutaki mchele na maharage yenye virutubisho, watanzania tunataka mchele wa kyela na maharage ya sumbawanga wale watoto wetu, sisi ndio tuna amua watoto wetu wale nini hivyo vyakula vya kuku wa kisasa hatuvitaki.
Safi sana. Umemjibu vizuri huyo mjinga kibaraka wa wazungu. Halafu eti anajiamini tunaopinga kutuita wajinga. Angekua karibu ningempiga rungu kichwani.
 
M

Mataahira nimengii sana!!! yaani mtu apike Mchele agonge ubwabwa wake eti atamani ushoga... wewe umeskia wapi??
Hayo MAVIongozi yanayopinga yanaendaga ulaya yanakula huo ubwabwa mbona si mabwabwa au??
Serikali iongozwe na watu timamu tutajakosa misaada tujifie njaa kwakiburi Cha kisomali chamtu mmoja!!
Wanipe mm gunia zangu tano nijilie ubwabwa MWAKA mzima tusileteane upuuzi hapa
Umeambiwa mchele utakaoletwa utawekwa virutubisho. Wee peleka kijana wako apige ubwabwa kugeuzwa yeye kua ubwabwa. Eti wakienda nje wanapiga ubwabwa umeambiwa huo umewekwa virutubisho hivi wanataka kuwekea watoto wetu?
 
Maskini huwa ana uwanja mdogo sana wa kuchagua vitu vizuri ijapokuwa anaweza kujsa ujeuri na kiburi katika kuvipokea. Watu wa Marekani wameombwa msaada, hali wakitambua lishe duni na umaskini uliokithiri kwa Watanzania, kwa moyo mmoja walijitolea mchele wenye virutubisho, ili vijana wapate lishe bora.

Shirika la viwango, TBS, limethibitisha kuwa chakula hicho ni kizuri na kinafaa kwa matumizi ya binadamu. Sasa kelele za watu jeuri zinaanza kupazwa na kushutumu msaada uliotolewa, na kutafutwa sababu zisizokuwa na mashiko ili kuhalalisha lawama zao.

Marekani ni taifa kubwa sana na lililoendelea sana kisayansi na kiuchumi. Bajeti yetu tegemezi huitegemea nchi hii, na hata shirika lao la USAID huisaidia nchi yetu kwa mambo mbalimbali. Sasa inakuwaje msaada huu tu ndio ulete kelele zote hizo!? Ni lazima tukumbuke kuwa baniani mbaya kiatu chake dawa
tibies nawafananisha tu na wale p.trafic wanaokusanya buku mbili barabarani,wameshindwa kudhibiti junks food sokoni sembuse inayotoka kwa mzungu mwamerika sahau
 
Tangu huu Mchele ulipotolewa na Marekani nimewaona Watanzania kuwa wana akili ndogo sana.

Ikiwa mnashindwa kuwapa watoto wenu chakula bora huko shuleni na wanakonda na kupata utapiamlo, then ghafla mnapata msaada mnakimbilia katika kichaka cha ushoga!

Hizi nchi za watu wenye low minded people ni ngumu kuziongoza, ndio maana watu wenye akili zinazowaza vyema hujitenga na siasa.

Mnasahau kuwa hii nchi ni masikini kwa kila kitu.

Ajenda ya ushoga ni kichaka cha watu wajinga kujificha.

Waswahili wengi pamoja na kuwa wamesoma Ila hawapo logically Ila wapo emotionally.

Hupenda kuongea bila kuhusisha ufahamu hivyo hata ushoga wenyewe asilimia kubwa wanaouzungumzia hawauelewi ni nini na hawajui unasababishwa na nini.
Unaona kwa macho ya wazungu .Unasikia kwa masikio ya wazungu . Macho yako yana giza .
 
Hakuna mzungu mjomba au shangazi wa mtanzania ulaya. Mchele tunao tupewe namna ya kuweka hivyo virutubisho. Mzungu hajawahi kuwa rafiki wa mwafrica hata siku moja.
 
Tangu huu Mchele ulipotolewa na Marekani nimewaona Watanzania kuwa wana akili ndogo sana.

Ikiwa mnashindwa kuwapa watoto wenu chakula bora huko shuleni na wanakonda na kupata utapiamlo, then ghafla mnapata msaada mnakimbilia katika kichaka cha ushoga!

Hizi nchi za watu wenye low minded people ni ngumu kuziongoza, ndio maana watu wenye akili zinazowaza vyema hujitenga na siasa.

Mnasahau kuwa hii nchi ni masikini kwa kila kitu.

Ajenda ya ushoga ni kichaka cha watu wajinga kujificha.

Waswahili wengi pamoja na kuwa wamesoma Ila hawapo logically Ila wapo emotionally.

Hupenda kuongea bila kuhusisha ufahamu hivyo hata ushoga wenyewe asilimia kubwa wanaouzungumzia hawauelewi ni nini na hawajui unasababishwa na nini.
Wewe ndo huna akili...miaka 60 Bado tupewe msaada wa chakula hiyo ndo akili..
 
Tangu huu Mchele ulipotolewa na Marekani nimewaona Watanzania kuwa wana akili ndogo sana.

Ikiwa mnashindwa kuwapa watoto wenu chakula bora huko shuleni na wanakonda na kupata utapiamlo, then ghafla mnapata msaada mnakimbilia katika kichaka cha ushoga!

Hizi nchi za watu wenye low minded people ni ngumu kuziongoza, ndio maana watu wenye akili zinazowaza vyema hujitenga na siasa.

Mnasahau kuwa hii nchi ni masikini kwa kila kitu.

Ajenda ya ushoga ni kichaka cha watu wajinga kujificha.

Waswahili wengi pamoja na kuwa wamesoma Ila hawapo logically Ila wapo emotionally.

Hupenda kuongea bila kuhusisha ufahamu hivyo hata ushoga wenyewe asilimia kubwa wanaouzungumzia hawauelewi ni nini na hawajui unasababishwa na nini.

Utafikiri kuna hata jambo moja tu tunaweza kulifanya kwa ufanisi! Hatuna mchango wowote kwnye maendeleo ya dunia lakini mmidomo yetu kama chuchunge yani
 
Back
Top Bottom