Tangu huu Mchele ulipotolewa na Marekani nimewaona Watanzania kuwa wana akili ndogo sana.
Ikiwa mnashindwa kuwapa watoto wenu chakula bora huko shuleni na wanakonda na kupata utapiamlo, then ghafla mnapata msaada mnakimbilia katika kichaka cha ushoga!
Hizi nchi za watu wenye low minded people ni ngumu kuziongoza, ndio maana watu wenye akili zinazowaza vyema hujitenga na siasa.
Mnasahau kuwa hii nchi ni masikini kwa kila kitu.
Ajenda ya ushoga ni kichaka cha watu wajinga kujificha.
Waswahili wengi pamoja na kuwa wamesoma Ila hawapo logically Ila wapo emotionally.
Hupenda kuongea bila kuhusisha ufahamu hivyo hata ushoga wenyewe asilimia kubwa wanaouzungumzia hawauelewi ni nini na hawajui unasababishwa na nini.
1.Kwanza kabisa nchi yetu sio masikini unatumia kigezo gani kusema tanzania ni masikini hatuna ardhi, hatuna maji, hatuna maliasili kuna watu wanakuja nyumbani kwako kuomba chakula.
2.Unatumia kigezo gani kusema watanzania hawana akili au hawana uwezo wa kufikiri yaani kwahiyo kwako walioweka ushoga kwenye katiba zao ndio wanafikiria vizuri sio, wamasai hawana akili kwako.
3.Bila kufanya utafiti wowote hivyo vyakula vina madhara kwanini? unaongeza virutubisho vya nini unataka watoto wakue kama kuku (broiler chicks) unataka uniambie hao watoto hasa wakiume wakikua kama kuku wataweza kusimamisha vizuri.
4.Kitu kingine hakuna asiyejua kuna watu hasa wanaohusika na hizi non govermental organization wananufaika wao na hizi deal hawajali kabisa maisha ya vizazi vyetu kuna mifano mingi kuna utafiti umefanyika mwaka jana tena na mwandishi wa channel 10 hawa watu wanasambaza ushoga kwa kasi ya ajabu zipo taasisi nyingi nawasitiri.
5.Kitu kingine tanzania hii mfano mkoa wa Njombe kule chini ya Mh Mtaka RC kuna kampeni ya lishe bora, kwanini kama nchi tusiunganishe hizi kampeni, yaani huo msaada wa chakula cha mchongo utakua endelevu, kila mwaka wataleta virutubisho vyao si wale wenyewe huko.
6.Ukweli ni kwamba kuna wasaliti wa nchi hii wananufaika kupitia hizii non govermental organization kwenye sekta nyingi wanaomba misaada ya aibu huko kwa mashoga wanapiga asilimia 40 vitu vya aibu wanawapatia watanzania wenzetu
7. Mwisho sisi sio masikini tena tuna akili, hatutaki kuwa mashoga na hatutaki mchele na maharage yenye virutubisho, watanzania tunataka mchele wa kyela na maharage ya sumbawanga wale watoto wetu, sisi ndio tuna amua watoto wetu wale nini hivyo vyakula vya kuku wa kisasa hatuvitaki.