Suala la michango shule za serikali ni changamoto kubwa sana serikali litazameni kwa ukubwa sana

Suala la michango shule za serikali ni changamoto kubwa sana serikali litazameni kwa ukubwa sana

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
5,283
Reaction score
11,558
Nimeona leo waziri mkuu akitoa maelekezo mepesi kwenye jambo zito hilo jambo ni zito tena zito kweli mnasema kweli elimu bila malipo na serikali kila mwezi inapeleka pesa mashuleni pesa ambazo matumizi yake na mambo mengine yanaitaji uwazi sasa niwape changamoto tu hizo shule za serikali si zipo kwenye kila kata nchini fanyeni hivi

Wambieni watendaji wa kata wapite kila shule waone wapi wakuu wa shule wameandika mapato na matumizi ya pesa hizo

Kingine hao watendaji wawape form za idadi ya michango ambayo ipo mashuleni katika kata zao chukueni

Serikali si inaongozwa na chama cha mapinduzi ambacho kina mabalozi haya chama ombeni wazazi watoto wawambie michango iliyopo uko mashuleni na kisha wawambie idadi ya kaya ngapi kila balozi watoto wameacha shule kisa hiyo michango ni idadi kubwa sana

Sasa kwakuwa mambo serious mnachukulia pouwa sawa ila hili suala ni kubwa zaidi ya bei ya mafuta ipo siku likiripuka ni balaa wanaichi wanalia sana uko mitaani kivuli ni kuwa kikao cha wazazi walikubalianq
 
Ifakara huko Chita hali inatisha shule za serikali za bweni ila wazazi wanatakiwa wapeleke Kilo 30 za mpunga na hiyo ni kwa kila kichwa kila baada ya Pazia la likizo kukata.
Bado michango mingine....Maumivu
 
Back
Top Bottom