Walikamata mti Slaa ukateleza,wakakanata mti Ukawa ukateleza,wakakanata mti UKUTA ukateleza,wakakanata mti Lowasa ukateleza Sasa mti serikali za mitaa unawasubiria uteleze naoWaliweka pause sasa wapo serikali za mitaa,kila waushikao unateleza!
Umeliweka vizuri sana suala hili. Hasa hiyo "purposive" approach kwenye kutafsiri vipengele vya sheria/katiba. Asante, hivi ndivyo JF inavyopaswa kuwa. Hoja.Kuondolewa kwa CAG Prof. Musa Assad ni jambo ambalo kama Taifa litahitaji mjadala mpana ili kuwa na uhakika kuwa katiba na sheria vimefuatwa au vimekiukwa.
Wanaosema kuwa CAG ameondolewa kwa kufuata katiba na wale wanaosema ameondolewa kwa kukiuka katiba, wote wanaegemea kwenye Katiba kifungu 144 (1), kinachosema:
Controller and Auditor-General of the United Republic shall be obliged to vacate office upon attainaing the age of sixty or any other age which shall be prescribed by a law enacted by Parliament.
Na Public Audit Act 6 (2) (a) inayosema
Unless the question of removal becomes the subject of investigation in terms of Article 144(3) of the Constitution, the Controller and Auditor-General shall vacate office upon attaining the age of sixty five years
Na Public Audit Act 6(1) kinachosema
The Controller and Auditor-General shall hold office for the fixed term of five years and shall be eligible for renewal for one term only.
Kifungu cha kwanza na cha pili, kimsingi havibishaniwi na pande zote mbili. Kifungu kinachobishaniwa ni hicho cha tatu.
Katika kutafsiri vifungu hivi kisheria ni lazima kuvitazama katika kusudio la sheria. Makusudia ya sheria hizi ni:
1) Kupunguza uhuru wa Rais wa kuteua na kumfukuza CAG
2) kumlazimisha Rais aina ya mtu wa kumteua
4) kumzuia CAG kukaa kwa muda mrefu zaidi ya kusudio la sheria
5) kumzuia Rais kumteua au kumkalisha CAG kwenye nafasi hiyo akiwa na umri zaidi ya miaka 65.
Kwenye kifungu cha katiba ibara ya 144(1), katiba imetoa nafasi kwa sheria nyingine kubadilisha umri wa mwisho wa CAG kukaa kwenye nafasi yake kutoka ule wa miaka 60 uliotamkwa.
Sheria wakati wote huweka lengo kuu na kisha huweka mipaka ya hilo lengo kuu. Kwenye katiba 144 (1) lengo kuu ni CAG akishateuliwa ashike nafasi hiyo, Rais asiwe na uwezo wa kumwondoa.
Na pia kwenye Public Audut Act 6(1) sheria imelenga kutokuwa na CAG ambaye anaweza kukaa kwa muda mrefu kuliko ilivyotarajiwa katika lengo kuu. Hivyo sheria ikaweka ukomo. Na ukomo huu ulitazama zaidi pale ambapo CAG akawa ameteuliwa na umri mdogo, na hivyo kukalia kiti cha CAG kwa kipindi cha zaidi ya miaka 10. Hivyo sheria imezuia uwezekano wa kuwa na CAG anayekalia nafasi hiyo kwa zaidinya miaka 10 hata kama umri wake bado unamruhusu kwa kadiri ya Katiba
Katika vifungu vyote hivyo katiba na sheria, vinamtaja CAG mwenyewe na siyo aliyemteua. Ibara ya 144 (1) ya katiba inamtaka CAG ..... shall vacate, na siyo kuondolewa. Na hata kile kifungu cha kuongeza fixed one term, nacho kinamtaja CAG mwenyewe kuwa ... shall be elligible, na siyo aliyemteua.
CAG akishateuliwa, akifikisha umri wa miaka 65, ni yeye ndiye anayestakiwa kumjulisha Mh. Rais kuwa anaondoka kwa kuwa amefikisha umri wa mwisho kisheria.
Na hata pale anapohudumu term ya pili akamaliza au wakati akihudumu akafikisha umri wa mwisho, ni yeye anayetakiwa kumjulisha mh. Rais kuwa amemaliza kipindi chake kwa mujibu wa sheria na katiba.
Kilichofanyika siyo sahihi. CAG anaweza asifanye kitu, na sisi pia tunaweza tusifanye kitu, siyo kwa sababu Rais yupo sahihi kwa mujibu wa Katiba na sheria bali kwa sababu tumeamua kukubaliana na uvunjifu wa katiba kama ilivyowahi kutokea kwa mambo mengine.
Lakini tusisahau kuwa uharibifu huanza taratibu. Mataifa mengi yalianza hivi hivi wakapuuza. Mambo yalipofika kilele, hawakuweza kurekebisha zaidi ya kushuhudia uharibifu na kusambaratika kwa mataifa yote.
Nchi ni lazima iendeshwe kwa misingi ya katiba, hata kama kutakuwa na kiongozi mzuri namna gani, ni lazima afuate katiba.
GAG Prof. Assad hajatumbuliwa, kipindi cha CAG kushika madaraka ni miaka 5, imekamilika jana.Tunachouliza Mkuu Pascal, je kumtumbua Profesa Assad, hajavunja Katiba ya nchi, ibara ya 144??
Lakini Katiba hiyo hiyo ibara ya 144, haijaongelea kuhusu hicho kipindi cha miaka 5, badala yake inasema CAG ataacha hiyo nafasi yake, pale atakapofika umri wa kustaafu, ambao ni miaka 60GAG Prof. Assad hajatumbuliwa, kipindi cha CAG kushika madaraka ni miaka 5, imekamilika jana.
Kama ilivyo kwa kipindi cha urais, iwapo CCM haitamsimamisha Magufuli 2020, unaweza kusema ametumbuliwa.
P
Mbona Katiba na sheria zote husika zimeshwekwa hapa yote; yaani hujazisoma? Ngoja nikutafutie za kiswahili.Hebu weka hicho kifungu cha sheria kinachosema atatumikia kwa kipindi cha miaka 5, na baada ya miaka hiyo, ATACHAGULIWA CAG MWINGINE!
Soma sheria hiyo ya Public Audits Act ya 2008 kifungu cha 6 sehemu ya 1; nimeweka hapo juu. Sijapata tafsiri yake ya kiswhaili, ila kama utataka ya kiswahili sema nitakutafutia.Hebu weka hicho kifungu cha sheria kinachosema atatumikia kwa kipindi cha miaka 5, na baada ya miaka hiyo, ATACHAGULIWA CAG MWINGINE!
Kipindi ni miaka mitano! Sio kwa kutimiza miaka 60? Au 65? Na kwa kufanya makosa/ udhaifu wenye kupelekea kuundwa tume itakayobaini makosa ndipo achukuliwe hatua? Paschaaaaal.......naomba ufafanuzi toka kwako.GAG Prof. Assad hajatumbuliwa, kipindi cha CAG kushika madaraka ni miaka 5, imekamilika jana.
Kama ilivyo kwa kipindi cha urais, iwapo CCM haitamsimamisha Magufuli 2020, unaweza kusema ametumbuliwa.
P
Umeliweka vizuri sana suala hili. Hasa hiyo "purposive" approach kwenye kutafsiri vipengele vya sheria/katiba. Asante, hivi ndivyo JF inavyopaswa kuwa. Hoja.
Labda suala (uwezekano) lingine ambalo wengi hatujadili ni kuhusu huo utaratibu wa kumuondoa CAG (kwa kuunda tume, nk), je tuna uhakika gani haikuundwa? Haiwezekani kuwa Rais aliunda tume hiyo na ikafanya kazi yake kimya kimya? Rais analazimika kutangaza akiunda tume? Maswali haya najiuliza hasa kwa kuzingatia kauli mmoja wapo ya Rais kwa CAG mpya......kuwa "huwezi ukateuwa halafu usiwe na nguvu ya kutengua"........"utaratibu wa kumuondoa CAG upo". Ingawa najua pia kwa maneno yake Rais amesema kuwa CAG "amemaliza" muda wake.
Kitu kingine muhimu kujadiliana/kuangalia ni version ya katiba tunayotumia. Wengi naona wanatumia version ya kiingereza (kwa nini?). Katiba yetu imeandikwa kwa kiswahili na kisha kutafsiriwa kwa kiingereza. Kwa hivyo kama kuna utata wowote kati ya version ya kiswahili na ile ya kiingereza, ile ya kiswahili inachukuliwa kuwa ipo sasa na ndicho kilichokusudiwa na waliiandika. Katika hili, tupanua mjadala kwa kutiza vifungu hivyo vya katiba lakini ile ya kiswahili. Hizo sheria nyingine najua wote zipo kwa kiingereza....so hazina utata wa version.(Chige )
Linapokuja suala la maslahi ya taifa, tunalo tatizo kubwa. Ukitizama haya yanayoendelea unajiuliza, ni kwa maslahi ya taifa? Napata mashaka sana huko tuondepo.....hasa kama tunakuwa na CAG ambaye hawezi kuwa independent vya kutosha kuweza kufanya kazi yake inavyotakikana na kwa matarajio ya kikatiba.
Anachotaka Rais huyu ni watu wote nchini wajiunge na "Praise and worship team for Magufuli"Mpaka watu makini waje watambue kuwa tuna kiongozi mwenye mapungufu makubwa kimaumbile na kiafya taifa litakuwa limeishaporomoka
Kweli kabisa yani anavyotamba kiukweli hajitofautishi na Mungu uyuAnachotaka Rais huyu ni watu wote nchini wajiunge na "Praise and worship team for Magufuli"
Huyu Rais anajimwambafai na kujifanya ana hadhi sawasawa na Mungu!
Mkuu hapa imetumika "shall eligible" na sio "shall" pekee, hayo maneno ukiyatenganisha yanaleta maana tofautiUkweli gani?
Nilichosema mimi, kwamba, ‘shall’ as an auxiliary [modal] verb, kimsingi ina maana ile ile, iwe imetumika kwenye andiko la kisheria au kwenye riwaya.
Inatumika kuelezea ulazima wa kitu au jambo fulani.
Huyo Chige kaweka ki reference chake ambacho kinasema vilevile nisemavyo mimi.
Nami nimeweka rejea yangu, kisemwacho ni kilekile ambacho nimekisema.
Sasa hebu nieleze, nilipokosea ni wapi?
Unless labda uwe unafurahia tu mtu anapotoka nje ya mstari na kuanza ku get personal, kwa prejudices ulizonazo tayari.
Haya, eleza nilipokosea.
You know how it turned to be personal here?! If you don't, then let me remind you!!First, no need to get personal here. It’s a sign of losing the argument. Me being this or that is neither here or there.
I like this!Back to the subject at hand.
That's where a lot of people miss the point!I said, ‘shall’ as an auxiliary [modal] verb, fundamentally, means the same thing across the board.
What do I mean by that? I mean this: it is used to express a necessity [ulazima].
Looking at your reference, I see ‘shall’ basically mean the same thing as I’m saying.
Here is my reference.
View attachment 1254239
That’s from Cambridge dictionary.
Now, after reading it, what do you say? Does it mean something fundamentally different from your reference source?
But, when used in a sentence with other words, context becomes paramount.
You can’t tell me that ‘shall be eligible for renewal’ is exactly the same as ‘shall be renewed’.
The latter is more firm [tightened] whereas the former has a wrinkle in it. That being the word ‘eligible’.
You haven’t realized what you are saying is what I’m saying also?
Nope!
Shall is a modal verb which expresses a necessity.
It means the same thing across the board.
If it doesn’t, show me, with authority, where it means totally something else.
Hapa mimi pia nimewaza na kuwazua lakini mwishoni kabisa nimeng'amua kuwa huyu Jason Paramaribo Marinda ni Mbwamwitu aliyejivika tu vazi la kondoo[emoji3][emoji125][emoji125][emoji125]Kama yeye Rais anatamba kwenye majukwaa ya kisiasa kuwa serikali yake inapiga vita ufisadi, ni kwanini basi "amchukie" CAG anayeonyesha kwenye ripoti zake mahali kulikofanyika ufisadii wa kutisha nchini??