Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
We ndio unaweza mipaka sasa,Kwanini unaweka boundaries kwenye mada?
Ni mada Huru hii mugalu ni mshambuliaji
Hayo maneno mkabaji umeyaweka wewe au wengine huko juu, rudia kusoma uone kama nimezungumzia kukaba mimi.We ndio unaweza mipaka sasa,
Mugalu sio mshambuliaji tu, bali ni Mshambuliaji Mkabaji.
Ndio maana anapangwa kwa ajiri ya hayo majukumu mawili.
Ndivyo nilivyo kuelewa.
Nadhani anaweza akapewa tuzo ya Mkabaji bora mwisho wa msimu
Mi nimekuelewa vizuri kuwa thamani ya Mugalu ni hiyo footwork yake unayoielezea.Hayo maneno mkabaji umeyaweka wewe au wengine huko juu, rudia kusoma uone kama nimezungumzia kukaba mimi.
Mwalimu anatumia 4_2_3_1, unaona kuna mtu wa mwisho mbele...
Basi kwa mfumo huu huyo mtu wa mwisho anatakiwa awe na uwezo wa kuiwin mipira yote itakayopelekwa kwake, kuutunza mpira mpaka wenzake hao 3 wafike tuongeze namba tuwe na watu wa 4 kwenye eneo la adui.
Basi ili striker akamilishe hayo inabidi awe na footwork nzuri, uwezo wa kuwin mipira ya juu kwa ufasaha.
Na kwa simba vitu hivyo unavipata kwa Mugalu labda na Boko.....
Kama hujanielewa basi, inaonekana umedhamiria kubisha.
Kama ilivyo katika suala la uwekezaji Simba,wapiga kelele wote wa bilioni 20 either ni wanufaika wa mfumo wa mwanzo au washabiki wa Yanga.Mi nimekuelewa vizuri kuwa thamani ya Mugalu ni hiyo footwork yake unayoielezea.
Ila katika ufungaji magoli, wote tunatambua kwamba uwezo wake ni wa chini sana.
Asingeumia Fraga kazi hiyo isingemhitaji Mugalu.
Simba bado tunahitaji Mfungaji mahiri kwakuwa tunapoteza nafasi nyingi muhimu na za wazi.
Mugalu, Boko na Kagere, uwezo wao wa ufungaji ni wa chini kwa kiwango cha Simba cha sasa.
Nadhani hii imekaa sawa.
Kama ilivyo katika suala la uwekezaji Simba,wapiga kelele wote wa bilioni 20 either ni wanufaika wa mfumo wa mwanzo au washabiki wa Yanga.
Hata hili wanaosema Mugalu ni mzuri nafikiri ni washabiki wa Yanga ili tuendelee kumtumia Mugalu wakijua wanatupoteza njia,hata makocha wa timu pinzani wakimsifia Mugalu basi wanataka kutupoteza njia si kingine.
Katika mfumo wowote ningemtumia Kagere kwa kuwa Mugalu kashindwa.Mkuu, Kama wewe ungekua ni kocha wa Simba, ungetumia mfumo upi (kati ya mfumo wa mshambuliaji mmoja au washambuliaji wawili) na ungemtumia mshambuliaji yupi kati ya wale tulio nao kwa sasa ?
Sawa. Nadhani utaendelea kutokubaliana na kocha mwenzio Gomez hadi pale Simba itakapobadili mfumo wa ushambuliaji (itakapoanza kuwatumia washambuliaji wawili).Katika mfumo wowote ningemtumia Kagere kwa kuwa Mugalu kashindwa.
Ameshondwa ligi kuu na ameshindwa club bingwa Africa
Kagere kwa kweli mnamuonea bure tu, amekaa bench muda mrefu mpaka confidence imepotea, tena kama sio kelele za washabiki nazani angekuwa bado yupo bench.Mi nimekuelewa vizuri kuwa thamani ya Mugalu ni hiyo footwork yake unayoielezea.
Ila katika ufungaji magoli, wote tunatambua kwamba uwezo wake ni wa chini sana.
Asingeumia Fraga kazi hiyo isingemhitaji Mugalu.
Simba bado tunahitaji Mfungaji mahiri kwakuwa tunapoteza nafasi nyingi muhimu na za wazi.
Mugalu, Boko na Kagere, uwezo wao wa ufungaji ni wa chini kwa kiwango cha Simba cha sasa.
Nadhani hii imekaa sawa.
Siku ya mechi ya mwisho kati ya Simba na AS Vita, Mugalu alikosa magoli hadi Kocha nilimwona akimkasirikia.Sawa. Nadhani utaendelea kutokubaliana na kocha mwenzio Gomez hadi pale Simba itakapobadili mfumo wa ushambuliaji (itakapoanza kuwatumia washambuliaji wawili).
Bila kuathiri maoni yako, maoni yangu ni kwamba Kagere akichezeshwa kama mshambuliaji pekee pale mbele dhidi ya timu kubwa (achana na mechi dhidi ya hawa akina Ihefu na Gwambina), huwa anateseka sana. Anaonekana kama ''anakimbiakimbia huku na kule''.
Sisi sote tunaamini kwamba ni lazima kwanza mtengeneze nafasi kisha ndio mfunge (you first create chances then you score).
Kama Mugalu anao uwezo wa kukaa na mpira kisha akasubiri viungo wake wasogee (idadi ya wachezaji wa Simba kuongezeka katika shambulizi dhidi ya idadi ndogo ya walinzi, timu itatengeneza nafasi nyingi zaidi).
Timu ikitengeneza nafasi nyingi, hapa ndipo zinapatikana nafasi za ''kufunga'' na za ''kuchezea''. Mugalu ana enjoy kutapanya mali katika mazingira kma haya. Mugalu ni mtoto wa tajiri anayetupa chakula jalalani maana kipo kingi sana.
Ukimtumia Medie Kagere, asiyekua na uwezo niliousema hapo juu, maana yale ni kwamba timu itatengeneza nafasi chache sana kutokana na uchache wao katika shambulizi dhidi ya walinzi.
Kwa mantiki hiyo ni kwamba, hapa unataka kufunga goli bila kutengeneza nafasi. It is very rare in football.
Na ndio maana Kagere hapati nafasi za ''kutapanya mali'' kama mwenzie Mugalu.
Lakini pia kama timu haitengenezi nafasi, pia uwezekano wa kupata magoli kutoka kwa akina Chama, Luis na Bwalya unakua ni mdogo.
Kwahiyo kupanga ni kuchagua na wewe umeshafanya chaguo lako kwamba potelea mbali acha timu ikajaribu kufunga magoli ''bila kutengeneza nafasi'' lakini lazima Meddie Kagere acheze.
Kupanga ni kuchagua.
Gomez amechagua, wewe umechagua. Wote mko sahihi kwa utashi wa kila mmoja wenu.
Kagere naye kashuka kiwango.Kagere kwa kweli mnamuonea bure tu, amekaa bench muda mrefu mpaka confidence imepotea, tena kama sio kelele za washabiki nazani angekuwa bado yupo bench.
We kweli kilaza werner anayo ball controll na holding nzuri?Mkuu..Kazi ya striker ni kufunga hakuna kingine cha ziada..ndio maana mashabiki wa liverpool wanataka Jota aanze mbele ya Firmino licha ya ball control nzuri aliyonayo Boby...ndio maana leo chelsea wanahangaika kumrudisha Lukaku epl au kumleta Halaand, licha ya ball control na holding nzuri aliyonayo Timo werner...kuna watu wanaitwa wakina Muller, hawana skills kubwa kama unazozitaka ila ndio maana panga pangua wanaanza bayern munich..
Kwani kati ya Jesus na Lukaku nani ni mzuri katika kuhold au kuposess mpira?, mbona Guardiola mate yanamtoka kwa Lukaku?
hasira za nini bwasheee??Kwahiyo angecheza Mugalu Mabeki wa Al-hilaly wasingepanda mbele?
Kwani mabeki nafasi yao ya kucheza ni mbele au nyuma ?
Huyo Mugalu ana nini cha maana hadi mabeki wameogope ?
Hana kasi, anatanguziliwa mipira kibao yeye na goli hafungi.
Siku tunacheza na Prizoni mabeki wote wa Prisoni walikuwa wanashambulia na Mugalu ndani anatafuna Bazoka tu. Akapewa penati akakosa, na hakufunga goli lolote.
Mabeki wamuogope Mugalu ana nini cha kutisha ?
Michuano yote ya CAF ana goli mbili moja la penati. Na anacheza kila mechi akiwa mshambuliaji wa kutegemewa.
Hakika Mugalu atakuwa amewaroga na sio bure.
Mtu anasajiriwa ili akafunge nyie mnataka akabe. mbio hana, mzito kama gunia la chumvi ndo aogopwe na mabeki kwa lipi ?
Mshambuliaji anayetakiwa ni kama Prince Dube wa Azam, yeye anafunga tu ndo jukumu lake, wakabaji wapo.
Eti kukabia juu...! Ndio nini ?
Kama kashindwa kukujibu hapa anakimbilia kumuongelea mugalu personal basi jua hubishani na mtu wa mpira, unabishana na hater wa Mugalu, hapa me naona mnaongelea mfumo ambao kocha anaridhika kukaa na strika mbele ambae sio mfungaji mzuri ila mtengenezaji mzuri Kwa wenzie hasa viungo na left backsOliver Giroud hufunga goli ngapi mkuu?
Kwanini ilikuwa humkosi kwenye kikosi cha France?
unapoteza muda wako kubishana na mtu aliyeshupaza shingo aelewi chochoteHayo maneno mkabaji umeyaweka wewe au wengine huko juu, rudia kusoma uone kama nimezungumzia kukaba mimi.
Mwalimu anatumia 4_2_3_1, unaona kuna mtu wa mwisho mbele...
Basi kwa mfumo huu huyo mtu wa mwisho anatakiwa awe na uwezo wa kuiwin mipira yote itakayopelekwa kwake, kuutunza mpira mpaka wenzake hao 3 wafike tuongeze namba tuwe na watu wa 4 kwenye eneo la adui.
Basi ili striker akamilishe hayo inabidi awe na footwork nzuri, uwezo wa kuwin mipira ya juu kwa ufasaha.
Na kwa simba vitu hivyo unavipata kwa Mugalu labda na Boko.....
Kama hujanielewa basi, inaonekana umedhamiria kubisha.
Nimeelewa Mkuu, kwamba Mugalu ni footworker mzuri, na Mkabaji pale mbele.unapoteza muda wako kubishana na mtu aliyeshupaza shingo aelewi chochote
Sina hasira yoyote.hasira za nini bwasheee??
tuliza mihemko
mimi kwa maoni yangu kwa mfumo wa Da Rosa chaguo la kwanza ni Mugalu alafu Bocco ndo huyo Kagere wako ambaye ni mtu wa kuvizia vizia uwanjani na kukimbia kimbia hovyo.
Kunywa chai
Kama kashindwa kukujibu hapa anakimbilia kumuongelea mugalu personal basi jua hubishani na mtu wa mpira, unabishana na hater wa Mugalu, hapa me naona mnaongelea mfumo ambao kocha anaridhika kukaa na strika mbele ambae sio mfungaji mzuri ila mtengenezaji mzuri Kwa wenzie hasa viungo na left backs
Umemtolea mfano mzuri Sana Kwa Giroud tena kwenye kombe muhimu kama world cup kocha anamuamini kumuanzisha mechi zote na jamaa Hana goli ata moja Ila kupitia yeye ndio kina mbape,greiziman,pavard wanascore kwakuwa jamaa anahold mpira na kusubiri wenzake wapande na kuwa wengi langoni mwa adui so chance za kufunga zinakuwa nyingi
Kwenda na huu mfumo unainufaisha Sana team maana pass za magoli zinakuwa zinapitia pembeni kwa mabeki namba 2 na 3 na pia namba 10 huku namba 9 yeye akitoa key passes Kwa either left backs au viungo, refer namna ambavyo klop amekuwa akimtumia firmino na wafungaji wanakuwa mawinga Salah na mane na pia chances zinakuwa nyingi mno kiasi kwamba goli litapatikana Tu, na assist zinatoka Kwa kina Anorld, mpira ni science hawa wanaishi Kwa kukalili, kama team inapata ushindi na strika hafungi we unataka nini tena
France imebeba kombe la dunia Kwa mfumo Huo, Liverpool kabeba champions League Kwa mfumo Huo, Liverpool kabeba EPL Kwa mfumo Huo, kwahiyo hao makocha wajinga Sana kuliko huyo mchangiaji? Hapa cha msingi ilikuwa ni kushauri mugalu awe clinical pale ambapo anapata nafasi aconvert ziwe goli basi maana anatekeleza maelekezo ya kocha Kwa Zaidi ya 70% ndomana kocha anaendelea kumuamini maana hao mastrika wengine hawawezi kumpa hizo 70% za contribution