Suala la Mugalu imenifanya nigundue jinsi gani wachambuzi wengi wa soka Bongo ni bendera fata upepo

Kwanini unaweka boundaries kwenye mada?
Ni mada Huru hii mugalu ni mshambuliaji
We ndio unaweza mipaka sasa,
Mugalu sio mshambuliaji tu, bali ni Mshambuliaji Mkabaji.
Ndio maana anapangwa kwa ajiri ya hayo majukumu mawili.
Ndivyo nilivyo kuelewa.

Nadhani anaweza akapewa tuzo ya Mkabaji bora mwisho wa msimu
 
Hayo maneno mkabaji umeyaweka wewe au wengine huko juu, rudia kusoma uone kama nimezungumzia kukaba mimi.
Mwalimu anatumia 4_2_3_1, unaona kuna mtu wa mwisho mbele...
Basi kwa mfumo huu huyo mtu wa mwisho anatakiwa awe na uwezo wa kuiwin mipira yote itakayopelekwa kwake, kuutunza mpira mpaka wenzake hao 3 wafike tuongeze namba tuwe na watu wa 4 kwenye eneo la adui.
Basi ili striker akamilishe hayo inabidi awe na footwork nzuri, uwezo wa kuwin mipira ya juu kwa ufasaha.
Na kwa simba vitu hivyo unavipata kwa Mugalu labda na Boko.....
Kama hujanielewa basi, inaonekana umedhamiria kubisha.
 
Mi nimekuelewa vizuri kuwa thamani ya Mugalu ni hiyo footwork yake unayoielezea.
Ila katika ufungaji magoli, wote tunatambua kwamba uwezo wake ni wa chini sana.
Asingeumia Fraga kazi hiyo isingemhitaji Mugalu.
Simba bado tunahitaji Mfungaji mahiri kwakuwa tunapoteza nafasi nyingi muhimu na za wazi.
Mugalu, Boko na Kagere, uwezo wao wa ufungaji ni wa chini kwa kiwango cha Simba cha sasa.
Nadhani hii imekaa sawa.
 
Kama ilivyo katika suala la uwekezaji Simba,wapiga kelele wote wa bilioni 20 either ni wanufaika wa mfumo wa mwanzo au washabiki wa Yanga.

Hata hili wanaosema Mugalu ni mzuri nafikiri ni washabiki wa Yanga ili tuendelee kumtumia Mugalu wakijua wanatupoteza njia,hata makocha wa timu pinzani wakimsifia Mugalu basi wanataka kutupoteza njia si kingine.
 
Mkuu, Kama wewe ungekua ni kocha wa Simba, ungetumia mfumo upi (kati ya mfumo wa mshambuliaji mmoja au washambuliaji wawili) na ungemtumia mshambuliaji yupi kati ya wale tulio nao kwa sasa ?
 
Katika mfumo wowote ningemtumia Kagere kwa kuwa Mugalu kashindwa.

Ameshondwa ligi kuu na ameshindwa club bingwa Africa
 
Sawa. Nadhani utaendelea kutokubaliana na kocha mwenzio Gomez hadi pale Simba itakapobadili mfumo wa ushambuliaji (itakapoanza kuwatumia washambuliaji wawili).
Bila kuathiri maoni yako, maoni yangu ni kwamba Kagere akichezeshwa kama mshambuliaji pekee pale mbele dhidi ya timu kubwa (achana na mechi dhidi ya hawa akina Ihefu na Gwambina), huwa anateseka sana. Anaonekana kama ''anakimbiakimbia huku na kule''.

Sisi sote tunaamini kwamba ni lazima kwanza mtengeneze nafasi kisha ndio mfunge (you first create chances then you score).
Kama Mugalu anao uwezo wa kukaa na mpira kisha akasubiri viungo wake wasogee (idadi ya wachezaji wa Simba kuongezeka katika shambulizi dhidi ya idadi ndogo ya walinzi, timu itatengeneza nafasi nyingi zaidi).
Timu ikitengeneza nafasi nyingi, hapa ndipo zinapatikana nafasi za ''kufunga'' na za ''kuchezea''. Mugalu ana enjoy kutapanya mali katika mazingira kma haya. Mugalu ni mtoto wa tajiri anayetupa chakula jalalani maana kipo kingi sana.

Ukimtumia Medie Kagere, asiyekua na uwezo niliousema hapo juu, maana yale ni kwamba timu itatengeneza nafasi chache sana kutokana na uchache wao katika shambulizi dhidi ya walinzi.
Kwa mantiki hiyo ni kwamba, hapa unataka kufunga goli bila kutengeneza nafasi. It is very rare in football.
Na ndio maana Kagere hapati nafasi za ''kutapanya mali'' kama mwenzie Mugalu.
Lakini pia kama timu haitengenezi nafasi, pia uwezekano wa kupata magoli kutoka kwa akina Chama, Luis na Bwalya unakua ni mdogo.

Kwahiyo kupanga ni kuchagua na wewe umeshafanya chaguo lako kwamba potelea mbali acha timu ikajaribu kufunga magoli ''bila kutengeneza nafasi'' lakini lazima Meddie Kagere acheze.

Kupanga ni kuchagua.

Gomez amechagua, wewe umechagua. Wote mko sahihi kwa utashi wa kila mmoja wenu.
 
Mi nimekuelewa vizuri kuwa thamani ya Mugalu ni hiyo footwork yake unayoielezea.
Ila katika ufungaji magoli, wote tunatambua kwamba uwezo wake ni wa chini sana.
Asingeumia Fraga kazi hiyo isingemhitaji Mugalu.
Simba bado tunahitaji Mfungaji mahiri kwakuwa tunapoteza nafasi nyingi muhimu na za wazi.
Mugalu, Boko na Kagere, uwezo wao wa ufungaji ni wa chini kwa kiwango cha Simba cha sasa.
Nadhani hii imekaa sawa.
Kagere kwa kweli mnamuonea bure tu, amekaa bench muda mrefu mpaka confidence imepotea, tena kama sio kelele za washabiki nazani angekuwa bado yupo bench.
 
Sawa. Nadhani utaendelea kutokubaliana na kocha mwenzio Gomez hadi pale Simba itakapobadili mfumo wa ushambuliaji (itakapoanza kuwatumia washambuliaji wawili).
Bila kuathiri maoni yako, maoni yangu ni kwamba Kagere akichezeshwa kama mshambuliaji pekee pale mbele dhidi ya timu kubwa (achana na mechi dhidi ya hawa akina Ihefu na Gwambina), huwa anateseka sana. Anaonekana kama ''anakimbiakimbia huku na kule''.

Sisi sote tunaamini kwamba ni lazima kwanza mtengeneze nafasi kisha ndio mfunge (you first create chances then you score).
Kama Mugalu anao uwezo wa kukaa na mpira kisha akasubiri viungo wake wasogee (idadi ya wachezaji wa Simba kuongezeka katika shambulizi dhidi ya idadi ndogo ya walinzi, timu itatengeneza nafasi nyingi zaidi).
Timu ikitengeneza nafasi nyingi, hapa ndipo zinapatikana nafasi za ''kufunga'' na za ''kuchezea''. Mugalu ana enjoy kutapanya mali katika mazingira kma haya. Mugalu ni mtoto wa tajiri anayetupa chakula jalalani maana kipo kingi sana.

Ukimtumia Medie Kagere, asiyekua na uwezo niliousema hapo juu, maana yale ni kwamba timu itatengeneza nafasi chache sana kutokana na uchache wao katika shambulizi dhidi ya walinzi.
Kwa mantiki hiyo ni kwamba, hapa unataka kufunga goli bila kutengeneza nafasi. It is very rare in football.
Na ndio maana Kagere hapati nafasi za ''kutapanya mali'' kama mwenzie Mugalu.
Lakini pia kama timu haitengenezi nafasi, pia uwezekano wa kupata magoli kutoka kwa akina Chama, Luis na Bwalya unakua ni mdogo.

Kwahiyo kupanga ni kuchagua na wewe umeshafanya chaguo lako kwamba potelea mbali acha timu ikajaribu kufunga magoli ''bila kutengeneza nafasi'' lakini lazima Meddie Kagere acheze.

Kupanga ni kuchagua.

Gomez amechagua, wewe umechagua. Wote mko sahihi kwa utashi wa kila mmoja wenu.
Siku ya mechi ya mwisho kati ya Simba na AS Vita, Mugalu alikosa magoli hadi Kocha nilimwona akimkasirikia.

Ilivyo kosa goli la mwisho akambadilisha na kumwingiza Bwalya huku nafasi ya Mkude akamwingiza Nyoni.

Kabla ya hapo tulikuwa tunawaongoza goli 2 kwa 1 na huku tukiwa tunashambuliwa kila wakati wakitaka kurudisha goli.

Baada ya kumtoa huyo Mugalu wenu Simba ilishinda goli mbili za haraka haraka. Goli la tatu likifungwa na sub ya Mugalu, Bwalya. La nne Chama.

Hapa inaonekana wazi jinsi Mugalu alivyotugharimu na kutukaba siku hiyo maana angeendelea kubaki uwanjani huenda angeendelea kukosa nafasi muhimu za kufunga hivyo Vita kuweza kusawazisha na pengine kushinda.

Kocha sio kwamba anamtumia Mugalu kwa kuwa ni mzuri ila hana namna. Kegere kaisha makali, Boko ni majeruhi.

Wakati wa Kocha kishingo alikuwa anamtumia John Boko ambaye ni mzuri kupita Mugalu na Kagere. Huyo Mugalu alikuwa anakalia benchi tu na Simba ilikuwa inapata matokeo mazuri.
Ni kwamba sasa hivi Simba tumekosa mfungaji mahiri.
Hapa hatuzungumzii footwork wala kuhold mipira, wala fomesheni ya mpira.
Hapa tunazungumzia mshambuliaji mfungaji wa Magori.
Kwa ma mild field wa Simba akina Chama, Luiz, Kagata, Bwalya, Morrison nk, pale Simba namba tisa angesimama hata Papaa Morringa angefunga magoli ya kumwaga.

Leo hii mfungaji bora wa ligi yetu anatokea Azam FC, Prince Dube.
Huyo ndiye mfungaji.
Hii inaonesha wazi kuwa pamoja na ubora wake Simba bado haina mshambuliaji mahiri wa kufunga magoli.
Kocha Gomez kumtumia mtu haina maana ndiye anayefaa, ni kwamba kakosa mtu anayestahiri katika hiyo namba.

Mugalu uwezo wa kufunga magoli hana.
Hayo mambo ya kuhold mipira na kugawa kwa wengine ni mada nyingine. Sijawahi kusikia mshambuliaji anapewa tuzo ya kuhold mipira na kugawa kwa wengine.
Mwambieni Mugalu wenu sisi tunataka afunge magoli maana ndio mshambuliaji tegemeo kwa sasa.
Siamini kwamba alisajiriwa ili ahold mipira.
Awe siriaz uwanjani na sio kutafuna Big G kila wakati.
 
Kagere kwa kweli mnamuonea bure tu, amekaa bench muda mrefu mpaka confidence imepotea, tena kama sio kelele za washabiki nazani angekuwa bado yupo bench.
Kagere naye kashuka kiwango.
Hebu mfananishe na Kagere wakati anasajiriwa.
Simba kwa sasa mfungaji bora ni John Boko sema bado yuko majeruhi.

Ila ukimchukua Kagere na Mugalu katika swala la kufunga magoli basi Kagere ni mzuri zaidi.
Unaambiwa kocha anamwanzisha Mugalu ili akabe hapo ndani ya 18 ya adui.
 
Unaufahamu mpira na unauchambua, upo kwenye list ya wachambuzi wazuri TZ? Kama haupo kwann?
 
Mkuu..Kazi ya striker ni kufunga hakuna kingine cha ziada..ndio maana mashabiki wa liverpool wanataka Jota aanze mbele ya Firmino licha ya ball control nzuri aliyonayo Boby...ndio maana leo chelsea wanahangaika kumrudisha Lukaku epl au kumleta Halaand, licha ya ball control na holding nzuri aliyonayo Timo werner...kuna watu wanaitwa wakina Muller, hawana skills kubwa kama unazozitaka ila ndio maana panga pangua wanaanza bayern munich..

Kwani kati ya Jesus na Lukaku nani ni mzuri katika kuhold au kuposess mpira?, mbona Guardiola mate yanamtoka kwa Lukaku?

We kweli kilaza werner anayo ball controll na holding nzuri?
Guardiola anacheza bila foward halafu bench yupo jesus sterling na aguero alafu amtolee mate lukaku
 
Kwahiyo angecheza Mugalu Mabeki wa Al-hilaly wasingepanda mbele?

Kwani mabeki nafasi yao ya kucheza ni mbele au nyuma ?

Huyo Mugalu ana nini cha maana hadi mabeki wameogope ?
Hana kasi, anatanguziliwa mipira kibao yeye na goli hafungi.

Siku tunacheza na Prizoni mabeki wote wa Prisoni walikuwa wanashambulia na Mugalu ndani anatafuna Bazoka tu. Akapewa penati akakosa, na hakufunga goli lolote.
Mabeki wamuogope Mugalu ana nini cha kutisha ?
Michuano yote ya CAF ana goli mbili moja la penati. Na anacheza kila mechi akiwa mshambuliaji wa kutegemewa.

Hakika Mugalu atakuwa amewaroga na sio bure.
Mtu anasajiriwa ili akafunge nyie mnataka akabe. mbio hana, mzito kama gunia la chumvi ndo aogopwe na mabeki kwa lipi ?

Mshambuliaji anayetakiwa ni kama Prince Dube wa Azam, yeye anafunga tu ndo jukumu lake, wakabaji wapo.

Eti kukabia juu...! Ndio nini ?
hasira za nini bwasheee??
tuliza mihemko

mimi kwa maoni yangu kwa mfumo wa Da Rosa chaguo la kwanza ni Mugalu alafu Bocco ndo huyo Kagere wako ambaye ni mtu wa kuvizia vizia uwanjani na kukimbia kimbia hovyo.

Kunywa chai
 
Oliver Giroud hufunga goli ngapi mkuu?
Kwanini ilikuwa humkosi kwenye kikosi cha France?
Kama kashindwa kukujibu hapa anakimbilia kumuongelea mugalu personal basi jua hubishani na mtu wa mpira, unabishana na hater wa Mugalu, hapa me naona mnaongelea mfumo ambao kocha anaridhika kukaa na strika mbele ambae sio mfungaji mzuri ila mtengenezaji mzuri Kwa wenzie hasa viungo na left backs

Umemtolea mfano mzuri Sana Kwa Giroud tena kwenye kombe muhimu kama world cup kocha anamuamini kumuanzisha mechi zote na jamaa Hana goli ata moja Ila kupitia yeye ndio kina mbape,greiziman,pavard wanascore kwakuwa jamaa anahold mpira na kusubiri wenzake wapande na kuwa wengi langoni mwa adui so chance za kufunga zinakuwa nyingi

Kwenda na huu mfumo unainufaisha Sana team maana pass za magoli zinakuwa zinapitia pembeni kwa mabeki namba 2 na 3 na pia namba 10 huku namba 9 yeye akitoa key passes Kwa either left backs au viungo, refer namna ambavyo klop amekuwa akimtumia firmino na wafungaji wanakuwa mawinga Salah na mane na pia chances zinakuwa nyingi mno kiasi kwamba goli litapatikana Tu, na assist zinatoka Kwa kina Anorld, mpira ni science hawa wanaishi Kwa kukalili, kama team inapata ushindi na strika hafungi we unataka nini tena

France imebeba kombe la dunia Kwa mfumo Huo, Liverpool kabeba champions League Kwa mfumo Huo, Liverpool kabeba EPL Kwa mfumo Huo, kwahiyo hao makocha wajinga Sana kuliko huyo mchangiaji? Hapa cha msingi ilikuwa ni kushauri mugalu awe clinical pale ambapo anapata nafasi aconvert ziwe goli basi maana anatekeleza maelekezo ya kocha Kwa Zaidi ya 70% ndomana kocha anaendelea kumuamini maana hao mastrika wengine hawawezi kumpa hizo 70% za contribution
 
Hayo maneno mkabaji umeyaweka wewe au wengine huko juu, rudia kusoma uone kama nimezungumzia kukaba mimi.
Mwalimu anatumia 4_2_3_1, unaona kuna mtu wa mwisho mbele...
Basi kwa mfumo huu huyo mtu wa mwisho anatakiwa awe na uwezo wa kuiwin mipira yote itakayopelekwa kwake, kuutunza mpira mpaka wenzake hao 3 wafike tuongeze namba tuwe na watu wa 4 kwenye eneo la adui.
Basi ili striker akamilishe hayo inabidi awe na footwork nzuri, uwezo wa kuwin mipira ya juu kwa ufasaha.
Na kwa simba vitu hivyo unavipata kwa Mugalu labda na Boko.....
Kama hujanielewa basi, inaonekana umedhamiria kubisha.
unapoteza muda wako kubishana na mtu aliyeshupaza shingo aelewi chochote
 
Tatizo mmechukua mechi moja aliyoflop na kutumia kama case study ya hoja zenu.
 
unapoteza muda wako kubishana na mtu aliyeshupaza shingo aelewi chochote
Nimeelewa Mkuu, kwamba Mugalu ni footworker mzuri, na Mkabaji pale mbele.
Kazi yake ni kugawa mipira kwa wanzake ili wafunge.

Kwanza sikuelewa umuhimu wake huu.
Nilifikiria kwamba anampasa kufunge magoli.

Nimewaelewa Wazee.
 
hasira za nini bwasheee??
tuliza mihemko

mimi kwa maoni yangu kwa mfumo wa Da Rosa chaguo la kwanza ni Mugalu alafu Bocco ndo huyo Kagere wako ambaye ni mtu wa kuvizia vizia uwanjani na kukimbia kimbia hovyo.

Kunywa chai
Sina hasira yoyote.
Nilielewa mshambuliji jukumu lake ni kufunga magoli.
Hayo mambo mengine sikuwa nayaelewa.
Asante kwa kunifahamisha.
 
Kama kashindwa kukujibu hapa anakimbilia kumuongelea mugalu personal basi jua hubishani na mtu wa mpira, unabishana na hater wa Mugalu, hapa me naona mnaongelea mfumo ambao kocha anaridhika kukaa na strika mbele ambae sio mfungaji mzuri ila mtengenezaji mzuri Kwa wenzie hasa viungo na left backs

Umemtolea mfano mzuri Sana Kwa Giroud tena kwenye kombe muhimu kama world cup kocha anamuamini kumuanzisha mechi zote na jamaa Hana goli ata moja Ila kupitia yeye ndio kina mbape,greiziman,pavard wanascore kwakuwa jamaa anahold mpira na kusubiri wenzake wapande na kuwa wengi langoni mwa adui so chance za kufunga zinakuwa nyingi

Kwenda na huu mfumo unainufaisha Sana team maana pass za magoli zinakuwa zinapitia pembeni kwa mabeki namba 2 na 3 na pia namba 10 huku namba 9 yeye akitoa key passes Kwa either left backs au viungo, refer namna ambavyo klop amekuwa akimtumia firmino na wafungaji wanakuwa mawinga Salah na mane na pia chances zinakuwa nyingi mno kiasi kwamba goli litapatikana Tu, na assist zinatoka Kwa kina Anorld, mpira ni science hawa wanaishi Kwa kukalili, kama team inapata ushindi na strika hafungi we unataka nini tena

France imebeba kombe la dunia Kwa mfumo Huo, Liverpool kabeba champions League Kwa mfumo Huo, Liverpool kabeba EPL Kwa mfumo Huo, kwahiyo hao makocha wajinga Sana kuliko huyo mchangiaji? Hapa cha msingi ilikuwa ni kushauri mugalu awe clinical pale ambapo anapata nafasi aconvert ziwe goli basi maana anatekeleza maelekezo ya kocha Kwa Zaidi ya 70% ndomana kocha anaendelea kumuamini maana hao mastrika wengine hawawezi kumpa hizo 70% za contribution
tmp-cam-1406778689493522958.jpg

Umeongea vyema mkuu, sisi bado tuna mpila wa kukalili, hawa hawa kuna kipindi walikuwa wanamtukana sven kutokuchesesha double strikers, na tulibishana sana humu kuhusu modern football. Same mugalu aliyekuwa ana statistic nzuri first leg ya vital na merreick hawakutaka kuongea, wametafuta mechi ambayo statistic zimekataa ndio wanafanya kama case study yao. Good enough kagere alianza last match against Ahly, na mipila haikuwa inakaa mbele, baada ya kuingia mugalu mabeki wa ahly walirudi na timu nzima ikawa inacheza defensive game. Lakini kwa kuwa mugalu hakushinda hawawezi kuliongelea hilo.
 
Back
Top Bottom