Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
Huyu mwamba unaambiwa pasi zake zote zilifikaPass accuracy ya TADEO LWANGA ilkua NI 92.4%[emoji116]View attachment 1746671
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mwamba unaambiwa pasi zake zote zilifikaPass accuracy ya TADEO LWANGA ilkua NI 92.4%[emoji116]View attachment 1746671
Unasema Mugalu Ni butu wakati toka aingie SIMBA ameishafunga goli zaidi ya kumi! We vp! Yan mtu kukosa goli mechi moja tu anakuwa mbaya! We utakuwa ni utopoloMimi ni shabiki wa mpira na mpira ninaujua kwa kuutazama na kuucheza uwanjani. Haiitaji elimu kubwa kugundua kuwa Chris Mugalu hafai na hastahili kuanza kikosi cha kwanza kulingana na kiwango chake hasa uwezo wake wa kufunga. Bahati nzuri kwake ni kuwa udhaifu wake unafichwa na ubora wa timu.
Na kwa bahati mbaya zaidi wachambuzi wengi wa soka hapa bongo wamekuwa na 'upofu' katika uchambuzi. Analysis zao nyingi zina base kwenye matokeo. Mfano, hata kama timu ikicheza ovyo kwa dk zote 89, ila ikapata goli na kushinda dakika ya 90..Basi tegemea analyis positive kutoka kwa wachambuzi wetu.. Vice versa is true.
Vivyo hivyo kwenye swala la Mugalu, wachambuzi wetu hawajui chochote kuhusu soka. Hata uchambuzi wao juu ya viwango vya wachezaji umemezwa na matokeo ya timu. Wengi utawasikia kuwa Mugalu ni striker mwenye uwezo wa kuhold mpira na kufungua nafasi kwa wengine. Hawazungumzii kabisa ubutu wake golini.
Na mbaya zaidi wachambuzi karibu wote wana copy na kupaste opinions zao zinafanana. Katika kipindi hiki, huwezi kuta wachambuzi wanajadili weaknesses za Mugalu, badala yake wanaelezea umuhimu wake na faida yake kule mbele.Najiuliza, Hivi kama hafungi, ana umuhimu gani sasa wa kuanza?, na je kama timu isingekuwa inapata matokeo na bado Mugalu angekuwa anapoteza zile nafasi, bado wasingemuelezea udhaifu wake?...Jibu ni rahisi tu, wana chambua kulingana na matokeo.
Mfano wa pili, ni Jonas Mkude. Kwa mtu anaejua mpira na aliyeangalia ile game, ilikuwa sio rahisi kuamini kama Mkude angerudi uwanjani second half..Alikuwa flopy sana siku ile.
Cha ajabu timu imepata matokeo kwenye comments unasikia uchambuzi kuwa Mkude alifanya majukumu yake vizuri na aliiunganisha vizuri sana safu ya ulinzi na ushambuliaji..Hivi ni mkude huyu huyu aliyekuwa na pass accuracy mbovu kuliko wachezaji wote wa simba siku hiyo? Ina maana wachambuzi hamuoni udhaifu wa wachezaji kisa tu timu imepata matokeo?
Basi kama ni hivyo, hakuna kazi rahisi kama kucwa mchambuzi wa soka bongo.
Hakika,ila nashangaa watu wanaosema umuhimu wa Mugalu ni kukaba,yani striker aache kujipozishen apewe pasi afunge eti anajipa kazi ya kukaba!!Kazi ya namba 9 ni kufunga hakuna neno lingine zaidi ya hilo,miss Eto's,Drogba mnyama aisee
Mie nadhani mechi ya Simba dhidi ya AS Vita, Mugalu alinunuliwa, sio kwa kukosa kule magoli ya wazi waziMimi ni shabiki wa mpira na mpira ninaujua kwa kuutazama na kuucheza uwanjani. Haiitaji elimu kubwa kugundua kuwa Chris Mugalu hafai na hastahili kuanza kikosi cha kwanza kulingana na kiwango chake hasa uwezo wake wa kufunga. Bahati nzuri kwake ni kuwa udhaifu wake unafichwa na ubora wa timu.
Na kwa bahati mbaya zaidi wachambuzi wengi wa soka hapa bongo wamekuwa na 'upofu' katika uchambuzi. Analysis zao nyingi zina base kwenye matokeo. Mfano, hata kama timu ikicheza ovyo kwa dk zote 89, ila ikapata goli na kushinda dakika ya 90..Basi tegemea analyis positive kutoka kwa wachambuzi wetu.. Vice versa is true.
Vivyo hivyo kwenye swala la Mugalu, wachambuzi wetu hawajui chochote kuhusu soka. Hata uchambuzi wao juu ya viwango vya wachezaji umemezwa na matokeo ya timu. Wengi utawasikia kuwa Mugalu ni striker mwenye uwezo wa kuhold mpira na kufungua nafasi kwa wengine. Hawazungumzii kabisa ubutu wake golini.
Na mbaya zaidi wachambuzi karibu wote wana copy na kupaste opinions zao zinafanana. Katika kipindi hiki, huwezi kuta wachambuzi wanajadili weaknesses za Mugalu, badala yake wanaelezea umuhimu wake na faida yake kule mbele.Najiuliza, Hivi kama hafungi, ana umuhimu gani sasa wa kuanza?, na je kama timu isingekuwa inapata matokeo na bado Mugalu angekuwa anapoteza zile nafasi, bado wasingemuelezea udhaifu wake?...Jibu ni rahisi tu, wana chambua kulingana na matokeo.
Mfano wa pili, ni Jonas Mkude. Kwa mtu anaejua mpira na aliyeangalia ile game, ilikuwa sio rahisi kuamini kama Mkude angerudi uwanjani second half..Alikuwa flopy sana siku ile.
Cha ajabu timu imepata matokeo kwenye comments unasikia uchambuzi kuwa Mkude alifanya majukumu yake vizuri na aliiunganisha vizuri sana safu ya ulinzi na ushambuliaji..Hivi ni mkude huyu huyu aliyekuwa na pass accuracy mbovu kuliko wachezaji wote wa simba siku hiyo? Ina maana wachambuzi hamuoni udhaifu wa wachezaji kisa tu timu imepata matokeo?
Basi kama ni hivyo, hakuna kazi rahisi kama kucwa mchambuzi wa soka bongo.
Ilo ni kwei mkuu,Haya mnajionea wenyewe umuhimu wa Mugalu, kagere hawezi ata kukaa na mabeki wa team pinzani ili wasipande kushambulia muda wote anakimbia kimbia tu na kurudi Sana Nyuma
Mugalu ata kama asipofunga Ila umuhimu wake ni mkubwa Sana
Umenikumbusha mbali sana.Mimi ni shabiki wa mpira na mpira ninaujua kwa kuutazama na kuucheza uwanjani. Haiitaji elimu kubwa kugundua kuwa Chris Mugalu hafai na hastahili kuanza kikosi cha kwanza kulingana na kiwango chake hasa uwezo wake wa kufunga. Bahati nzuri kwake ni kuwa udhaifu wake unafichwa na ubora wa timu.
Na kwa bahati mbaya zaidi wachambuzi wengi wa soka hapa bongo wamekuwa na 'upofu' katika uchambuzi. Analysis zao nyingi zina base kwenye matokeo. Mfano, hata kama timu ikicheza ovyo kwa dk zote 89, ila ikapata goli na kushinda dakika ya 90..Basi tegemea analyis positive kutoka kwa wachambuzi wetu.. Vice versa is true.
Vivyo hivyo kwenye swala la Mugalu, wachambuzi wetu hawajui chochote kuhusu soka. Hata uchambuzi wao juu ya viwango vya wachezaji umemezwa na matokeo ya timu. Wengi utawasikia kuwa Mugalu ni striker mwenye uwezo wa kuhold mpira na kufungua nafasi kwa wengine. Hawazungumzii kabisa ubutu wake golini.
Na mbaya zaidi wachambuzi karibu wote wana copy na kupaste opinions zao zinafanana. Katika kipindi hiki, huwezi kuta wachambuzi wanajadili weaknesses za Mugalu, badala yake wanaelezea umuhimu wake na faida yake kule mbele.Najiuliza, Hivi kama hafungi, ana umuhimu gani sasa wa kuanza?, na je kama timu isingekuwa inapata matokeo na bado Mugalu angekuwa anapoteza zile nafasi, bado wasingemuelezea udhaifu wake?...Jibu ni rahisi tu, wana chambua kulingana na matokeo.
Mfano wa pili, ni Jonas Mkude. Kwa mtu anaejua mpira na aliyeangalia ile game, ilikuwa sio rahisi kuamini kama Mkude angerudi uwanjani second half..Alikuwa flopy sana siku ile.
Cha ajabu timu imepata matokeo kwenye comments unasikia uchambuzi kuwa Mkude alifanya majukumu yake vizuri na aliiunganisha vizuri sana safu ya ulinzi na ushambuliaji..Hivi ni mkude huyu huyu aliyekuwa na pass accuracy mbovu kuliko wachezaji wote wa simba siku hiyo? Ina maana wachambuzi hamuoni udhaifu wa wachezaji kisa tu timu imepata matokeo?
Basi kama ni hivyo, hakuna kazi rahisi kama kucwa mchambuzi wa soka bongo.
Aya, leo KAGERE ameanza.
Tutajua Kama mugalu anasingiziwa
asingefunga ila asingewapa uhuru mabeki wa Alhaly kupanda na kucheza kwa uhuruKwahiyo angecheza Mugalu ndio angefunga ?
Kashindwa kuwafunga Vita nyumbani licha ya chansi zote zile.
Na hao Al-hillaly walivyocheza Dar. huyo Mugalu aliwafunga goli ngapi ?
Mugalu ni galasa kama magalasa mengine nyie endeleeni tu kumpaka Poda, Labda abadilike Siku za usoni
hajapata chance maana anakimbia kimbia hovyoMechi ya leo sio kipimo sahihi cha kumfanya MK14 asiwe bora zaidi ya Mugalu.
Kwa mechi ya leo MK14 kapata chances zipi za maana akakosa goli yeye na kipa kama anazokosa Mugalu?
Kuzurula kwa MK14 mnakosema ndo striker anatakiwa awe hivyo,striker kazi yake sio kukaba mabeki ili wasipande kwenda juu kushambulia,striker afunge magoli lakini kushuka chini kidogo kusaidia timu pale inapobidi.
Kwahiyo angecheza Mugalu Mabeki wa Al-hilaly wasingepanda mbele?asingefunga ila asingewapa uhuru mabeki wa Alhaly kupanda na kucheza kwa uhuru
Dube anafunga katika ligi gani ? Kama ni ligi kuu mbona na hao wanafungaMshambuliaji anayetakiwa ni kama Prince Dube wa Azam, yeye anafunga tu ndo jukumu lake, wakabaji wapo.