Suala la Mugalu imenifanya nigundue jinsi gani wachambuzi wengi wa soka Bongo ni bendera fata upepo

Mimi ni shabiki wa mpira na mpira ninaujua kwa kuutazama na kuucheza uwanjani. Haiitaji elimu kubwa kugundua kuwa Chris Mugalu hafai na hastahili kuanza kikosi cha kwanza kulingana na kiwango chake hasa uwezo wake wa kufunga. Bahati nzuri kwake ni kuwa udhaifu wake unafichwa na ubora wa timu.

Na kwa bahati mbaya zaidi wachambuzi wengi wa soka hapa bongo wamekuwa na 'upofu' katika uchambuzi. Analysis zao nyingi zina base kwenye matokeo. Mfano, hata kama timu ikicheza ovyo kwa dk zote 89, ila ikapata goli na kushinda dakika ya 90..Basi tegemea analyis positive kutoka kwa wachambuzi wetu.. Vice versa is true.

Vivyo hivyo kwenye swala la Mugalu, wachambuzi wetu hawajui chochote kuhusu soka. Hata uchambuzi wao juu ya viwango vya wachezaji umemezwa na matokeo ya timu. Wengi utawasikia kuwa Mugalu ni striker mwenye uwezo wa kuhold mpira na kufungua nafasi kwa wengine. Hawazungumzii kabisa ubutu wake golini.

Na mbaya zaidi wachambuzi karibu wote wana copy na kupaste opinions zao zinafanana. Katika kipindi hiki, huwezi kuta wachambuzi wanajadili weaknesses za Mugalu, badala yake wanaelezea umuhimu wake na faida yake kule mbele.Najiuliza, Hivi kama hafungi, ana umuhimu gani sasa wa kuanza?, na je kama timu isingekuwa inapata matokeo na bado Mugalu angekuwa anapoteza zile nafasi, bado wasingemuelezea udhaifu wake?...Jibu ni rahisi tu, wana chambua kulingana na matokeo.

Mfano wa pili, ni Jonas Mkude. Kwa mtu anaejua mpira na aliyeangalia ile game, ilikuwa sio rahisi kuamini kama Mkude angerudi uwanjani second half..Alikuwa flopy sana siku ile.

Cha ajabu timu imepata matokeo kwenye comments unasikia uchambuzi kuwa Mkude alifanya majukumu yake vizuri na aliiunganisha vizuri sana safu ya ulinzi na ushambuliaji..Hivi ni mkude huyu huyu aliyekuwa na pass accuracy mbovu kuliko wachezaji wote wa simba siku hiyo? Ina maana wachambuzi hamuoni udhaifu wa wachezaji kisa tu timu imepata matokeo?

Basi kama ni hivyo, hakuna kazi rahisi kama kucwa mchambuzi wa soka bongo.​
Unasema Mugalu Ni butu wakati toka aingie SIMBA ameishafunga goli zaidi ya kumi! We vp! Yan mtu kukosa goli mechi moja tu anakuwa mbaya! We utakuwa ni utopolo
 
Mkuu...we ni

mshangiliaji wa soka..sio shabiki wa soka
 
Mimi ni shabiki wa mpira na mpira ninaujua kwa kuutazama na kuucheza uwanjani. Haiitaji elimu kubwa kugundua kuwa Chris Mugalu hafai na hastahili kuanza kikosi cha kwanza kulingana na kiwango chake hasa uwezo wake wa kufunga. Bahati nzuri kwake ni kuwa udhaifu wake unafichwa na ubora wa timu.

Na kwa bahati mbaya zaidi wachambuzi wengi wa soka hapa bongo wamekuwa na 'upofu' katika uchambuzi. Analysis zao nyingi zina base kwenye matokeo. Mfano, hata kama timu ikicheza ovyo kwa dk zote 89, ila ikapata goli na kushinda dakika ya 90..Basi tegemea analyis positive kutoka kwa wachambuzi wetu.. Vice versa is true.

Vivyo hivyo kwenye swala la Mugalu, wachambuzi wetu hawajui chochote kuhusu soka. Hata uchambuzi wao juu ya viwango vya wachezaji umemezwa na matokeo ya timu. Wengi utawasikia kuwa Mugalu ni striker mwenye uwezo wa kuhold mpira na kufungua nafasi kwa wengine. Hawazungumzii kabisa ubutu wake golini.

Na mbaya zaidi wachambuzi karibu wote wana copy na kupaste opinions zao zinafanana. Katika kipindi hiki, huwezi kuta wachambuzi wanajadili weaknesses za Mugalu, badala yake wanaelezea umuhimu wake na faida yake kule mbele.Najiuliza, Hivi kama hafungi, ana umuhimu gani sasa wa kuanza?, na je kama timu isingekuwa inapata matokeo na bado Mugalu angekuwa anapoteza zile nafasi, bado wasingemuelezea udhaifu wake?...Jibu ni rahisi tu, wana chambua kulingana na matokeo.

Mfano wa pili, ni Jonas Mkude. Kwa mtu anaejua mpira na aliyeangalia ile game, ilikuwa sio rahisi kuamini kama Mkude angerudi uwanjani second half..Alikuwa flopy sana siku ile.

Cha ajabu timu imepata matokeo kwenye comments unasikia uchambuzi kuwa Mkude alifanya majukumu yake vizuri na aliiunganisha vizuri sana safu ya ulinzi na ushambuliaji..Hivi ni mkude huyu huyu aliyekuwa na pass accuracy mbovu kuliko wachezaji wote wa simba siku hiyo? Ina maana wachambuzi hamuoni udhaifu wa wachezaji kisa tu timu imepata matokeo?

Basi kama ni hivyo, hakuna kazi rahisi kama kucwa mchambuzi wa soka bongo.​
Mie nadhani mechi ya Simba dhidi ya AS Vita, Mugalu alinunuliwa, sio kwa kukosa kule magoli ya wazi wazi
 
Aya, leo KAGERE ameanza.

Tutajua Kama mugalu anasingiziwa
 
KAGERE anarudia Yale Yale kocha asiyopenda.

Anarudia Sana nyuma,

Hii inasababisha mabeki wa Al ahly kupanda kushambulia.
 
Haya mnajionea wenyewe umuhimu wa Mugalu, kagere hawezi ata kukaa na mabeki wa team pinzani ili wasipande kushambulia muda wote anakimbia kimbia tu na kurudi Sana Nyuma

Mugalu ata kama asipofunga Ila umuhimu wake ni mkubwa Sana
Ilo ni kwei mkuu,
KAGERE anazurura Sana uwanjani.

Unaona ata cross iliyosababisha goli, imepigwa na beki wa Al ahly.

Tabia ya KAGERE , inasababisha mabeki wa Al ahly kupanda kuongeza mashambulizi.
 
Kwahiyo angecheza Mugalu ndio angefunga ?
Kashindwa kuwafunga Vita nyumbani licha ya chansi zote zile.

Na hao Al-hillaly walivyocheza Dar. huyo Mugalu aliwafunga goli ngapi ?

Mugalu ni galasa kama magalasa mengine nyie endeleeni tu kumpaka Poda, Labda abadilike Siku za usoni
 
Mechi ya leo sio kipimo sahihi cha kumfanya MK14 asiwe bora zaidi ya Mugalu.
Kwa mechi ya leo MK14 kapata chances zipi za maana akakosa goli yeye na kipa kama anazokosa Mugalu?
Kuzurula kwa MK14 mnakosema ndo striker anatakiwa awe hivyo,striker kazi yake sio kukaba mabeki ili wasipande kwenda juu kushambulia,striker afunge magoli lakini kushuka chini kidogo kusaidia timu pale inapobidi.
 
Mimi ni shabiki wa mpira na mpira ninaujua kwa kuutazama na kuucheza uwanjani. Haiitaji elimu kubwa kugundua kuwa Chris Mugalu hafai na hastahili kuanza kikosi cha kwanza kulingana na kiwango chake hasa uwezo wake wa kufunga. Bahati nzuri kwake ni kuwa udhaifu wake unafichwa na ubora wa timu.

Na kwa bahati mbaya zaidi wachambuzi wengi wa soka hapa bongo wamekuwa na 'upofu' katika uchambuzi. Analysis zao nyingi zina base kwenye matokeo. Mfano, hata kama timu ikicheza ovyo kwa dk zote 89, ila ikapata goli na kushinda dakika ya 90..Basi tegemea analyis positive kutoka kwa wachambuzi wetu.. Vice versa is true.

Vivyo hivyo kwenye swala la Mugalu, wachambuzi wetu hawajui chochote kuhusu soka. Hata uchambuzi wao juu ya viwango vya wachezaji umemezwa na matokeo ya timu. Wengi utawasikia kuwa Mugalu ni striker mwenye uwezo wa kuhold mpira na kufungua nafasi kwa wengine. Hawazungumzii kabisa ubutu wake golini.

Na mbaya zaidi wachambuzi karibu wote wana copy na kupaste opinions zao zinafanana. Katika kipindi hiki, huwezi kuta wachambuzi wanajadili weaknesses za Mugalu, badala yake wanaelezea umuhimu wake na faida yake kule mbele.Najiuliza, Hivi kama hafungi, ana umuhimu gani sasa wa kuanza?, na je kama timu isingekuwa inapata matokeo na bado Mugalu angekuwa anapoteza zile nafasi, bado wasingemuelezea udhaifu wake?...Jibu ni rahisi tu, wana chambua kulingana na matokeo.

Mfano wa pili, ni Jonas Mkude. Kwa mtu anaejua mpira na aliyeangalia ile game, ilikuwa sio rahisi kuamini kama Mkude angerudi uwanjani second half..Alikuwa flopy sana siku ile.

Cha ajabu timu imepata matokeo kwenye comments unasikia uchambuzi kuwa Mkude alifanya majukumu yake vizuri na aliiunganisha vizuri sana safu ya ulinzi na ushambuliaji..Hivi ni mkude huyu huyu aliyekuwa na pass accuracy mbovu kuliko wachezaji wote wa simba siku hiyo? Ina maana wachambuzi hamuoni udhaifu wa wachezaji kisa tu timu imepata matokeo?

Basi kama ni hivyo, hakuna kazi rahisi kama kucwa mchambuzi wa soka bongo.​
Umenikumbusha mbali sana.
Kina wakati niliendesha topic ya match analysis na hivyo nilipaswa kwenda kuangalia match na wale wanafunzi walipaswa keleta report zao.

Sasa bwana katika discussion kuna bwana mdogo mmoja akaanza sema oh that striker mwenyewe mechi nzima anaruka ruka tuu. Nikamuuliza hivi game imeishaje? Akajibu moja bila....nikamuuliza nani kafunga goli? Akasema yule striker. Sasa namuuliza job description ya striker ni nini kama sio kifunga magoli? anabaki ana bwabwaja.
Ndio haya ya mugalu...hizo buildup plays ni secondary sio primary task.
 
Kwahiyo angecheza Mugalu ndio angefunga ?
Kashindwa kuwafunga Vita nyumbani licha ya chansi zote zile.

Na hao Al-hillaly walivyocheza Dar. huyo Mugalu aliwafunga goli ngapi ?

Mugalu ni galasa kama magalasa mengine nyie endeleeni tu kumpaka Poda, Labda abadilike Siku za usoni
asingefunga ila asingewapa uhuru mabeki wa Alhaly kupanda na kucheza kwa uhuru
 
Mechi ya leo sio kipimo sahihi cha kumfanya MK14 asiwe bora zaidi ya Mugalu.
Kwa mechi ya leo MK14 kapata chances zipi za maana akakosa goli yeye na kipa kama anazokosa Mugalu?
Kuzurula kwa MK14 mnakosema ndo striker anatakiwa awe hivyo,striker kazi yake sio kukaba mabeki ili wasipande kwenda juu kushambulia,striker afunge magoli lakini kushuka chini kidogo kusaidia timu pale inapobidi.
hajapata chance maana anakimbia kimbia hovyo
 
asingefunga ila asingewapa uhuru mabeki wa Alhaly kupanda na kucheza kwa uhuru
Kwahiyo angecheza Mugalu Mabeki wa Al-hilaly wasingepanda mbele?

Kwani mabeki nafasi yao ya kucheza ni mbele au nyuma ?

Huyo Mugalu ana nini cha maana hadi mabeki wameogope ?
Hana kasi, anatanguziliwa mipira kibao yeye na goli hafungi.

Siku tunacheza na Prizoni mabeki wote wa Prisoni walikuwa wanashambulia na Mugalu ndani anatafuna Bazoka tu. Akapewa penati akakosa, na hakufunga goli lolote.
Mabeki wamuogope Mugalu ana nini cha kutisha ?
Michuano yote ya CAF ana goli mbili moja la penati. Na anacheza kila mechi akiwa mshambuliaji wa kutegemewa.

Hakika Mugalu atakuwa amewaroga na sio bure.
Mtu anasajiriwa ili akafunge nyie mnataka akabe. mbio hana, mzito kama gunia la chumvi ndo aogopwe na mabeki kwa lipi ?

Mshambuliaji anayetakiwa ni kama Prince Dube wa Azam, yeye anafunga tu ndo jukumu lake, wakabaji wapo.

Eti kukabia juu...! Ndio nini ?
 
Kwa sasa pale Simba mimi kwa uzoefu wangu wa kufundisha soka kidogo siwezi kumpanga striker mwingine tofauti na Mugalu
Kagere anajua kufunga ila ni much dependent kwa kazi ya team yaani kama mnacheza na watu wachache juu na mnadefend kuzuia kushambuliwa kirahisi hutopata matokeo yake mazuri.Mugalu ile ball control aliyonayo na hata accuracy passing aliyonayo kamzidi mbali Kagere.Kama timu inaweza kupata matokeo kwa advantage ya striker kuwa strong kupigania mipira na washambuliaji wengine wakatumia mwanya wa gaps zilizoachwa wazi kufunga siwezi kumchezesha mchezaji ambaye anasubiri atafuniwe tu yeye anameza maana naweza kupata matokeo kwa njia nyingine ya middle zangu nzuri.

Nimewahi kutumia mbinu hiyo na kupata matokeo mazuri mno , yaani unakuwa na striker mwenye nguvu kazi yake kuwapa kivuli mabeki akina 10 ,8 ,11,7 wanapata urahisi wa kupenya kuichambua timu pinzani tunafunga goli.One match nakumbuka timu tulicheza wana beki mzuri mno (mzee wa kuosha mbele ) nikagundua wao walikuwa flopy kwenye middle so yule beki ndiye tegemeo lao kupeleka mipira mbele nikamwekea njemba inakaa nae kama ni mpira ukija beki anabaki kuhangaishana na njemba njemba anaweka kwenye njia 10 anazunguka anaweka nyavuni.Mipira ikawa haitoki nyuma kirahisi so mabeki wetu wakasogea juu na tukawabana vilivyo tukachukua ushindi mnono wa goli 8 though walikuwa wana awinga wazuri tu na 10 mzuri sana

Simba wanapaswa kutafuta striker mwenye uwezo wa kupiga chenga,kuhold mipira na kufunga , yaani striker ambaye anaweza kukusanya watu wawili hata watatu na kufunga maana ndicho tumekosa pale.Hawa waliopo wana mapungufu tunawatumia hivyo hivyo tu kibabe sasa huwezi kuchukua mtu dhaifu zaidi ukamweka benchi mtu dhaifu zaidi.

Kagere alishine kwenye mfumo wa Aussems aliyejiachia na kusahau deffensive roles zaidi ,Aussems aliamini kwenye kucheza tu si kuzuia kufungwa ,bali kufungwa huku tunafunga mwisho tuhesabu nani mshindi ndiyo maana wakati wa Aussems Kagere alishine cos timu ilikuwa inashambulia zaidi na alikuwa na washambuliaji hatari pale mbele na wote walicheza yaani BOKO ,OKWI NA KAGERE by now hatuchezi vile so kubalini tu maana huyu kocha anatafuta matokeo usidhani anatafuta kufungwa
 
Back
Top Bottom