beefinjector
JF-Expert Member
- Jul 23, 2009
- 2,458
- 2,496
Ujinga mtupu yaani. Juzi tu hapa kuna uzi ulianzishwa kwamba eti Salim Kikeke amerudi toka London halafu "anazurula" tu. Leo kaamua kufanya kitu watu wamekuja juu "kwa nini aende EFM". Aliyesema nchi yetu imejaa wagonjwa wa akili huenda alikuwa sahihi.Nasikitika nipobkwenye nchi ya watu ma fakeni sana. Maisha yana njia nyingi yeye sio mjinga. Unakuta mtu anashauri ila hajawahi hata tafuta hela yake yeye kama yeye