beefinjector
JF-Expert Member
- Jul 23, 2009
- 2,458
- 2,496
Ujinga mtupu yaani. Juzi tu hapa kuna uzi ulianzishwa kwamba eti Salim Kikeke amerudi toka London halafu "anazurula" tu. Leo kaamua kufanya kitu watu wamekuja juu "kwa nini aende EFM". Aliyesema nchi yetu imejaa wagonjwa wa akili huenda alikuwa sahihi.Nasikitika nipobkwenye nchi ya watu ma fakeni sana. Maisha yana njia nyingi yeye sio mjinga. Unakuta mtu anashauri ila hajawahi hata tafuta hela yake yeye kama yeye
Watz tuna wivu na maisha yasio tuhusu akizurura ni yeye na pesa zake ila hatujui mipaka yetu ndio tunaposumbuka hapoUjinga mtupu yaani. Juzi tu hapa kuna uzi ulianzishwa kwamba eti Salim Kikeke amerudi toka London halafu "anazurula" tu. Leo kaamua kufanya kitu watu wamekuja juu "kwa nini aende EFM". Aliyesema nchi yetu imejaa wagonjwa wa akili huenda alikuwa sahihi.
SANA! MBAYA ZAIDI NI VIJANA HAOHAO WANAOENDA KUWA WAZEE WA KESHO NA KESHOKUTWA NDO WAJINGA PRO!
Nikisema humu kadri siku zinavyoenda taifa ndio linazidi kuwa na watu wajinga sijui huwa mnaona napiga domo? Hii nchi ina watu wajinga sana.
ukweli kuhusu nini, kwani alikuja kuomba chakula kwako?Asiambiwe ukweli?
Ongezea nyama mkuu Una point😁Ulaya tuende tu . Ila ukioa mzungu hatuabaki salama . Lazima mpira urudishe kwa kipa
Kikeke ujanja Hana , akina Ruge walienda USA sjui kusoma tuu wakarudi na masponsor kibao , chap wakafyatua vitu, yeye amekaa uingereza miaka na Miaka ameshindwa kutengeneza platform anashindwa mpak na akina zamaradi mketema , tuseme Tu kwamba jamaa ni bonge la kiaziHatua ipi ?kwa mfano Kwako unaweza kuona jero ni ela ya kupiga hatua ya kuanzisha biashara mwenzako jero ni ela ya ndogo anahitaji buku mbili maisha ni kuhusu mtazamo nyie mnachowaza mwenzenu haja kiona
Sasa mzee maisha ya London unataka ufanananishe na Dar iyo 60m ambayo sjui uliona wapi mkataba wake , bills tu na matumizi ya lazima unaweza staajabu inatumika 75 % bado kodi bado stareheKule BBC alikuwa analipwa Tsh 15M kwa wiki, sawa na Tsh 60M kwa mwezi. Majizo ana ubavu wa kumlipa hela hizo au unasema tu? Think TWICE my friend.
Kule BBC alikuwa analipwa Tsh 15M kwa wiki, sawa na Tsh 60M kwa mwezi. Majizo ana ubavu wa kumlipa hela hizo au unasema tu? Think TWICE my friend.
Unawaza kama kuku mzee kama akili ndo hizo tutawaliwe tena tu miaka 100 kama trump alivotamaniKikeke ujanja Hana , akina Ruge walienda USA sjui kusoma tuu wakarudi na masponsor kibao , chap wakafyatua vitu, yeye amekaa uingereza miaka na Miaka ameshindwa kutengeneza platform anashindwa mpak na akina zamaradi mketema , tuseme Tu kwamba jamaa ni bonge la kiazi
Ruge alikuwa mwajiriwa wa Clouds, au hujui? Vyote alivyofanya ni kutokana yeye kuwepo Clouds. Mbona hakuchomoka na kuanzisha kitu chake?Kikeke ujanja Hana , akina Ruge walienda USA sjui kusoma tuu wakarudi na masponsor kibao , chap wakafyatua vitu, yeye amekaa uingereza miaka na Miaka ameshindwa kutengeneza platform anashindwa mpak na akina zamaradi mketema , tuseme Tu kwamba jamaa ni bonge la kiazi
Ngozi nyeusi ina upumbavu wa milele.Nimeona jinsi watu wanavyomshambulia Kikeke kwenye akaunti zake za kijamii kwa uamuzi wake wa kujiunga na kituo cha matangazo cha E-fm.
Nimebaki kuajabia tabia ya watanzania. Maisha ni yake, uamuzi ni wake cha ajabu anatukanwa na kudhalilishwa na wachangiaji juu ya uamuzi wake huo.
Tanzania ni taifa la watu wa hovyo sijapata kuona.
Kuwaita wajinga ni kuwapa hadhi, Maana mjinga ni mtu ambaye hajui kitu ila baada ya kuelimishwa hujitambua.
Nikisema humu kadri siku zinavyoenda taifa ndio linazidi kuwa na watu wajinga sijui huwa mnaona napiga domo? Hii nchi ina watu wajinga sana.
Wame laanika.Tz ina watu wenye mitazamo ya hovyo sana.