Suala la timu ya USM Alger kuja na Maji na vyakula linafikirisha sana

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
2,971
Reaction score
6,607
Juzi tumeona kwenye mitandao ya kijamii ikionyesha timu ya USM Alger ikiwasili JK Nyerere International Airport ikiwa na shehena ya Maji ya kunywa na pia inasemekana walibeba na vyakula vyao.

Huenda wakawa na nia njema ya kuhakikisha usalama wao na kuepuka hujuma za kimichezo lakini pia kwa upande mwingine wanaweza kutumia fursa hiyo kuingiza vimiminika kwa ajili ya kuongeza nguvu kwa wachezaji wao ambapo unaweza kukuta mchezaji mwanzo mwisho yupo na energy ile ile au mara dufu.

Inavyoonekana vinywaji hivyo wameingia navyo siku hiyohiyo ambapo ukifuatilia sidhani kama mamlaka husika kama TFDA, TBS nk zilikuwa na muda wa kufanya ukaguzi wa kina.

Nadhani mambo kama haya vyombo vyetu vya Usalama including SSIT kwenda mbali zaidi.
 
Kweli. Hivi siku hizi mbona hatusikii kesi za wacheza mpira kuhusu madawa ya kuongeza nguvu michezoni, zaidi tunasikia huko kwenye riadha? Kwani kwenye futbol hapahusiki au imehararishwa? Inatakiwa wawe wanawasapraiz wachezaji kuwapima.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Mlitaka muwalishe kitimoto waarabu wa wenyewe... Wamewastukia...
 
Mpira wa ki Africa unaeleweka ko kila mtu ana mlia timing mwenzake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…