Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Je ni kweli mlipanga kumpa simu?
Kama sio kwel bc hzo zinabaki kuwa propaganda
Kama sio kwel bc hzo zinabaki kuwa propaganda
Nakuunga mkono Mbaga Jr, inasikitisha sana.Inasikitisha sana
Rudi kulala ukauchezeeChadema na wazungu wao wanapenda kiki kama wasanii. Siasa imewashinda
Kweli wakasaidie na kule Gaza mateka wapatikaneMungu Wabariki Wazungu
Uwekezaji katika maeneo kama hayo ndiyo kunachowafanya wawe mbele ya muda. Ninyi mmezoea kupuuza vitu vyote vya msingi.Suala hili la kutaka kutekeleza uhalifu huu bila shaka lazima liwe la siri sana ni ajabu ulaya kuligundua hilo licha ya kuwa la siri inaonesha kwenye mfumo flani kuna majasusi.
Kama wamejua mpango huu ni wazi wanamjua muhusika mkuu ni nani ila hawajamtaja aliyepanga kumuwekea sumu Lissu.
Kwa hiyo unaona wazungu wanawapenda sana? Huyo ni kibaraka wanamtumia km toilet paper baadaye watamtekeza wenyewe, unaijua stori za Jonas Savimbi? Km unataka kujua mzungu anampenda mwafrika nenda kaishi kwao ht kwa mwaka moja tu. Nyie vibwengo mnabwabwaja tu hakuna mnachojua.Na hiyo ni faida kwa Watanzania, bila wazungu wabongo wangeuawa kama kuku wanaoumwa mdondo.
Inasemekana Mwovu Shetani ni Mtanzania kwa kuzaliwa
We ni zombieMungu Wabariki Wazungu
Kwani wanahitaji jasusi wakati technology yote ni Yao na wanauwezo wa kupekua Kila sehemu yenu ya taarifa?Suala hili la kutaka kutekeleza uhalifu huu bila shaka lazima liwe la siri sana ni ajabu ulaya kuligundua hilo licha ya kuwa la siri inaonesha kwenye mfumo flani kuna majasusi.
Kama wamejua mpango huu ni wazi wanamjua muhusika mkuu ni nani ila hawajamtaja aliyepanga kumuwekea sumu Lissu.
Na hiyo ni faida kwa Watanzania, bila wazungu wabongo wangeuawa kama kuku wanaoumwa mdondo.
Inasemekana Mwovu Shetani ni Mtanzania kwa kuzaliwa
A sad truth! Lakini yote haya tumeyasababisha wenyewe kwakuendekeza maslahi binafsi, tungeruhusu democracy watanzania wasingehitaji kutafuta wajomba nje Kuwasaidia...Tumefikishwa huku na watu wachache ambao wanadai wanalinda "amani" kumbe wanalinda maslahi Yao binafsi Kwa cover ya vyeo vya kisiasaKwa hiyo unaona wazungu wanawapenda sana? Huyo ni kibaraka wanamtumia km toilet paper baadaye watamtekeza wenyewe, unaijua stori za Jonas Savimbi? Km unataka kujua mzungu anampenda mwafrika nenda kaishi kwao ht kwa mwaka moja tu. Nyie vibwengo mnabwabwaja tu hakuna mnachojua.
Suala hili la kutaka kutekeleza uhalifu huu bila shaka lazima liwe la siri sana ni ajabu ulaya kuligundua hilo licha ya kuwa la siri inaonesha kwenye mfumo flani kuna majasusi.
Kama wamejua mpango huu ni wazi wanamjua muhusika mkuu ni nani ila hawajamtaja aliyepanga kumuwekea sumu Lissu.
Wasipokuwa makini watafanyiwa wao, wazungu wako mbali sana miaka 100+Suala hili la kutaka kutekeleza uhalifu huu bila shaka lazima liwe la siri sana ni ajabu ulaya kuligundua hilo licha ya kuwa la siri inaonesha kwenye mfumo flani kuna majasusi.
Kama wamejua mpango huu ni wazi wanamjua muhusika mkuu ni nani ila hawajamtaja aliyepanga kumuwekea sumu Lissu.
Chadema wanakwrnda kubaya kufeni Kwa amani acheni uzushiSuala hili la kutaka kutekeleza uhalifu huu bila shaka lazima liwe la siri sana ni ajabu ulaya kuligundua hilo licha ya kuwa la siri inaonesha kwenye mfumo flani kuna majasusi.
Kama wamejua mpango huu ni wazi wanamjua muhusika mkuu ni nani ila hawajamtaja aliyepanga kumuwekea sumu Lissu.
Suala hili la kutaka kutekeleza uhalifu huu bila shaka lazima liwe la siri sana ni ajabu ulaya kuligundua hilo licha ya kuwa la siri inaonesha kwenye mfumo flani kuna majasusi.
Kama wamejua mpango huu ni wazi wanamjua muhusika mkuu ni nani ila hawajamtaja aliyepanga kumuwekea sumu Lissu.
Wapo wanaolitakia mema Taifa hili hawawezi kukaa kimya wanapoona mambo yanaharibikaSuala hili la kutaka kutekeleza uhalifu huu bila shaka lazima liwe la siri sana ni ajabu ulaya kuligundua hilo licha ya kuwa la siri inaonesha kwenye mfumo flani kuna majasusi.
Kama wamejua mpango huu ni wazi wanamjua muhusika mkuu ni nani ila hawajamtaja aliyepanga kumuwekea sumu Lissu.