baunsamuoga
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 1,135
- 1,182
Yote 9! La 10 ni MI 5 TENAAAAAAAAAAAAAAAAA KWA KISHINDO KIKUBWAAAAA
Yaani kwa hizi jitihada za kuwagawia Waarabu rasilimali za Tanganyika lazima Magharibi wajikite kwenye ujasusi!Suala hili la kutaka kutekeleza uhalifu huu bila shaka lazima liwe la siri sana ni ajabu ulaya kuligundua hilo licha ya kuwa la siri inaonesha kwenye mfumo flani kuna majasusi.
Kama wamejua mpango huu ni wazi wanamjua muhusika mkuu ni nani ila hawajamtaja aliyepanga kumuwekea sumu Lissu.
Lissu ni LOW VALUE TARGET (LVT), serikali haiwezi m-poison looser kama huyuHamna mtu amuwekee sumu Lissu.
Hizo sheria za kimataifa sijui ziko wapi kumtetea saa hii.
Ni siku 70+ sasa
TAL ndyo wakuaminiwa?UKITAKA CCM IKUAMINI LAZIMA UWE MWONGOTAL

Watanzania kwa watanzania wenyewe hawapendani ndo iwe kwa mzungu na mwafrikaKwa hiyo unaona wazungu wanawapenda sana? Huyo ni kibaraka wanamtumia km toilet paper baadaye watamtekeza wenyewe, unaijua stori za Jonas Savimbi? Km unataka kujua mzungu anampenda mwafrika nenda kaishi kwao ht kwa mwaka moja tu. Nyie vibwengo mnabwabwaja tu hakuna mnachojua.