Wachina kwani wana akili ndio maana ni soko kuu la low quality productView attachment 3392126
Sasa na nyinyi kilichowafanya muwavalishe nguo za shetani hawo wa china ni nini?
Wachina kwani wana akili ndio maana ni soko kuu la low quality productView attachment 3392126
Sasa na nyinyi kilichowafanya muwavalishe nguo za shetani hawo wa china ni nini?
Daah, no addnNa hiyo ni faida kwa Watanzania, bila wazungu wabongo wangeuawa kama kuku wanaoumwa mdondo.
Inasemekana Mwovu Shetani ni Mtanzania kwa kuzaliwa ila Wazazi wake hawajulikani
Uenda kimya kimyahivi mwigulu amechukua form ?
Propaganda za kuichafua Nchi ambazo Zina Nia ovuSuala hili la kutaka kutekeleza uhalifu huu bila shaka lazima liwe la siri sana ni ajabu ulaya kuligundua hilo licha ya kuwa la siri inaonesha kwenye mfumo flani kuna majasusi.
Kama wamejua mpango huu ni wazi wanamjua muhusika mkuu ni nani ila hawajamtaja aliyepanga kumuwekea sumu Lissu.
KUMBE HATA WENYEWE CDM WANATEKANA NA KUUWANAWHY RISASI 16 KWA TUNDU LISU KWENYE ENEO LA ULINZI MAALUM MASAA YOTE 24?
Wazungu wamezoea kuuwa watu kwa sumu si ajabu washampa wao sumu wanataka afe watugombanisheSuala hili la kutaka kutekeleza uhalifu huu bila shaka lazima liwe la siri sana ni ajabu ulaya kuligundua hilo licha ya kuwa la siri inaonesha kwenye mfumo flani kuna majasusi.
Kama wamejua mpango huu ni wazi wanamjua muhusika mkuu ni nani ila hawajamtaja aliyepanga kumuwekea sumu Lissu.
Hiyo mbona wazi, kama wanaweza kula na kunywa na Khamenei watashindwa kumwingilia huyu boya wa Khizimkazi??Suala hili la kutaka kutekeleza uhalifu huu bila shaka lazima liwe la siri sana ni ajabu ulaya kuligundua hilo licha ya kuwa la siri inaonesha kwenye mfumo flani kuna majasusi.
Kama wamejua mpango huu ni wazi wanamjua muhusika mkuu ni nani ila hawajamtaja aliyepanga kumuwekea sumu Lissu.
Kwani hakuna Waafrica na Watanzania wanaoishi huko?Km unataka kujua mzungu anampenda mwafrika nenda kaishi kwao ht kwa mwaka moja tu. Nyie vibwengo mnabwabwaja tu hakuna mnachojua.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kupata hizo habari sio lazima uwe na majasusi ndani, ukiwapata right people bila hata wao kujua uka tap mawasiliano yao, bila shida yoyote utajua kila jambo
Ni rahisi sana kupata hiyo mipango sababu nature ya wabongo. Kupenda umbea
Yawezekana taarifa imevujishwa toka huko huko ndani huko. Sio wotè wanafanya uovu kwa kupendaSuala hili la kutaka kutekeleza uhalifu huu bila shaka lazima liwe la siri sana ni ajabu ulaya kuligundua hilo licha ya kuwa la siri inaonesha kwenye mfumo flani kuna majasusi.
Kama wamejua mpango huu ni wazi wanamjua muhusika mkuu ni nani ila hawajamtaja aliyepanga kumuwekea sumu Lissu.
Propaganda za kuichafua Nchi ambazo Zina Nia ovu
View: https://www.instagram.com/p/DLpQSLzCuhq/?igsh=MTZmdGhhOGVucXJlZw==
Mkuu nimesoma commenty nikscheka sana halaf nikarudi kuangalia ID yako.Sasa wewe upeleke watu wako wakafanyiwe mafunzo huko halafu uje ushangae wanapotoa taarifa🤣🤣🤣
No reform No Election
Ni propaganda na paranoid. Yaani serikali iache kuhangaika na shida za raia wake ihangaike na mtu mmoja. Hata serikali ya Kijiji haiwezi kufanya hivyo .Suala hili la kutaka kutekeleza uhalifu huu bila shaka lazima liwe la siri sana ni ajabu ulaya kuligundua hilo licha ya kuwa la siri inaonesha kwenye mfumo flani kuna majasusi.
Kama wamejua mpango huu ni wazi wanamjua muhusika mkuu ni nani ila hawajamtaja aliyepanga kumuwekea sumu Lissu.
Yuko ndani kwa kosa lipi?Ni propaganda na paranoid. Yaani serikali iache kuhangaika na shida za raia wake ihangaike na mtu mmoja. Hata serikali ya Kijiji haiwezi kufanya hivyo .
Na jeshi lenu linajua hayo na polisi wenu wenye intelegensia wakaona hiyo siyo kesi lakini lipo kupambana kufunga Kanisa la Gwajima?alipigwa na wafanyabiashara wa Nyamongo, kutokana na dhuluma aliyowafanyia (the story is well known), TAL siyo high value target kwa mfumo wowote wa siasa