Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Umefirisika mno kiakilimwafrika anaye pambania ushoga analindwa sana na jamii ya kishoga ya mabeberu, inasikitisha kuzidi![]()
Umefirisika mno kiakilimwafrika anaye pambania ushoga analindwa sana na jamii ya kishoga ya mabeberu, inasikitisha kuzidi![]()
wewe na Mungu wako TAL ndyo mufilisi, unatumia uti wa mgongo kuliko ubongo, na sioni hata chembe ya TAL kuwa tishio kwa serikali, huwezi poison mtu mfuUmefirisika mno kiakili
Pure fabricationsSuala hili la kutaka kutekeleza uhalifu huu bila shaka lazima liwe la siri sana ni ajabu ulaya kuligundua hilo licha ya kuwa la siri inaonesha kwenye mfumo flani kuna majasusi.
Kama wamejua mpango huu ni wazi wanamjua muhusika mkuu ni nani ila hawajamtaja aliyepanga kumuwekea sumu Lissu.
Suala hili la kutaka kutekeleza uhalifu huu bila shaka lazima liwe la siri sana ni ajabu ulaya kuligundua hilo licha ya kuwa la siri inaonesha kwenye mfumo flani kuna majasusi.
Kama wamejua mpango huu ni wazi wanamjua muhusika mkuu ni nani ila hawajamtaja aliyepanga kumuwekea sumu Lissu.
Tumia akili kufikiri sio hilo tumbo lakomwafrika anaye pambania ushoga analindwa sana na jamii ya kishoga ya mabeberu, inasikitisha kuzidi kuwa
OK, lakini TAL si tishio hata chembe kwa serikali, why poison a "fallen man" ??Wanakanushaga hivyo kumbe huku tayari wameshafanya mambo.
siwezi tumia akili kufurahisha imbeciles, ni matumizi mabaya ya akiliTumia akili kufikiri sio hilo tumbo lako
WHY RISASI 16 KWA TUNDU LISU KWENYE ENEO LA ULINZI MAALUM MASAA YOTE 24?OK, lakini TAL si tishio hata chembe kwa serikali, why poison a "fallen man" ??
Ulaya wanajua kila kitu nchi ipo uchi haswaSuala hili la kutaka kutekeleza uhalifu huu bila shaka lazima liwe la siri sana ni ajabu ulaya kuligundua hilo licha ya kuwa la siri inaonesha kwenye mfumo flani kuna majasusi.
Kama wamejua mpango huu ni wazi wanamjua muhusika mkuu ni nani ila hawajamtaja aliyepanga kumuwekea sumu Lissu.
Mpaka leo hawajawahi kusema chochoteWHY RISASI 16 KWA TUNDU LISU KWENYE ENEO LA ULINZI MAALUM MASAA YOTE 24?
alipigwa na wafanyabiashara wa Nyamongo, kutokana na dhuluma aliyowafanyia (the story is well known), TAL siyo high value target kwa mfumo wowote wa siasaWHY RISASI 16 KWA TUNDU LISU KWENYE ENEO LA ULINZI MAALUM MASAA YOTE 24?
Halafu wanatufanya sisi Wapumbavu kwenye mission zao za kihuni?Mpaka leo hawajawahi kusema chochote
Kimsingi ni serikali katili haswaHalafu wanatufanya sisi Wapumbavu kwenye mission zao za kihuni?
Wewe acha ujinga huu. Kama uliishia huko ulikuwa mzurulaji ndiyo maana ulipata shida, mbona wapo wengi wanaoishi huko na ni hakuna malalamiko.Kwa hiyo unaona wazungu wanawapenda sana? Huyo ni kibaraka wanamtumia km toilet paper baadaye watamtekeza wenyewe, unaijua stori za Jonas Savimbi? Km unataka kujua mzungu anampenda mwafrika nenda kaishi kwao ht kwa mwaka moja tu. Nyie vibwengo mnabwabwaja tu hakuna mnachojua.
Wazungu wao wepi tena muulize nchimbi kaongea nini na wazungu wenu huko ubaloziniChadema na wazungu wao wanapenda kiki kama wasanii. Siasa imewashinda
"Basi Dunia yote ilikuwa Lugha Moja na usemi mmoja..... Wakasema: Haya, na tujijengee mji na mnara uufikie mbingu...'Lakini BWANA akawatawanya kutoka huko waende usoni pa nchi yote; wakaacha kuujenga ule mji. Kwa sababu hiyo Jina lake likaitwa Babeli, maana ndiko Bwana alikowachanganyia lugha ya Dunia yote..." (Mwanzo 11:1-9)Suala hili la kutaka kutekeleza uhalifu huu bila shaka lazima liwe la siri sana ni ajabu ulaya kuligundua hilo licha ya kuwa la siri inaonesha kwenye mfumo flani kuna majasusi.
Kama wamejua mpango huu ni wazi wanamjua muhusika mkuu ni nani ila hawajamtaja aliyepanga kumuwekea sumu Lissu.
AI PhotosWewe unayejua siasa tuambie je, huyu mama yupo mubashara anafuatilia kesi ya Mhe.Lissu?View attachment 3392512
Asante mtumishi"Basi Dunia yote ilikuwa Lugha Moja na usemi mmoja..... Wakasema: Haya, na tujijengee mji na mnara uufikie mbingu...'Lakini BWANA akawatawanya kutoka huko waende usoni pa nchi yote; wakaacha kuujenga ule mji. Kwa sababu hiyo Jina lake likaitwa Babeli, maana ndiko Bwana alikowachanganyia lugha ya Dunia yote..." (Mwanzo 11:1-9)
Habari za Tel Aviv banana nimerudi Teheran.. ujawachoma kweli serikali yenu kuhusu LisuInasikitisha sana