Suala la ulaya kujua mipango ya kumuwekea Lissu sumu inaonesha kuna majasusi wao wa siri ndani ya mfumo

Wewe unayejua siasa tuambie je, huyu mama yupo mubashara anafuatilia kesi ya Mhe.Lissu?
1751361240294.png
 
Elimu wanakupa wao ,sheria zimeandikwa kwa lugha zao halafu wasijue kitu ? Wanajua kila kitu mpaka matumizi ya pesa.
 
Suala hili la kutaka kutekeleza uhalifu huu bila shaka lazima liwe la siri sana ni ajabu ulaya kuligundua hilo licha ya kuwa la siri inaonesha kwenye mfumo flani kuna majasusi.

Kama wamejua mpango huu ni wazi wanamjua muhusika mkuu ni nani ila hawajamtaja aliyepanga kumuwekea sumu Lissu.
Kupata hizo habari sio lazima uwe na majasusi ndani, ukiwapata right people bila hata wao kujua uka tap mawasiliano yao, bila shida yoyote utajua kila jambo

Ni rahisi sana kupata hiyo mipango sababu nature ya wabongo. Kupenda umbea
 
Ukiwa na hela yeyote unaweza kumfanya jasusi hata kama chura kiziwi
 
Suala hili la kutaka kutekeleza uhalifu huu bila shaka lazima liwe la siri sana ni ajabu ulaya kuligundua hilo licha ya kuwa la siri inaonesha kwenye mfumo flani kuna majasusi.

Kama wamejua mpango huu ni wazi wanamjua muhusika mkuu ni nani ila hawajamtaja aliyepanga kumuwekea sumu Lissu.
Ina maana Ulaya wanashirikiana na CHADEMA kufanya espionage dhidi ya Tanzania? Je,ho hao sio kua ndiyo wapo nyuma ya kushinikiza uasi na uhaini ambao mtu anaweza kua wao ameshikiliwa?
 
Kwa hiyo unaona wazungu wanawapenda sana? Huyo ni kibaraka wanamtumia km toilet paper baadaye watamtekeza wenyewe, unaijua stori za Jonas Savimbi? Km unataka kujua mzungu anampenda mwafrika nenda kaishi kwao ht kwa mwaka moja tu. Nyie vibwengo mnabwabwaja tu hakuna mnachojua.
Mzungu angekuwa anakuchukia ungekua bado unaishi in 1960s katika 2025
 
Kupata hizo habari sio lazima uwe na majasusi ndani, ukiwapata right people bila hata wao kujua uka tap mawasiliano yao, bila shida yoyote utajua kila jambo

Ni rahisi sana kupata hiyo mipango sababu nature ya wabongo. Kupenda umbea
Uwezi kupata hizo taarifa kama auna mpango au mkakati wa kufuatilia na kupeleleza.
 
Hivi Wewe bwana umeshindwa hata kujiuliza kuwa Hao wazungu wanataka nini Tena hapa Tanzania ilihali karibu Kila kona wapo na wanakula rasilimali zetu wanavyotaka?

Mzungu hufitinisha pale anapoona maslahi yake yanakanyagwa. Sasa unataka kusema serikali hii ya Samia na jk inakanyaga maslahi ya wazungu?
Rasilimali si mnawapa wenyewe, tena mikataba mibovu mnaandika wenyewe?

Wanakujaje kuchukua vitu bila ruhusa ya wenyeji?
 
Suala hili la kutaka kutekeleza uhalifu huu bila shaka lazima liwe la siri sana ni ajabu ulaya kuligundua hilo licha ya kuwa la siri inaonesha kwenye mfumo flani kuna majasusi.

Kama wamejua mpango huu ni wazi wanamjua muhusika mkuu ni nani ila hawajamtaja aliyepanga kumuwekea sumu Lissu.
Ujanja wa zamani huu, tulijifunza shule kwenye shule za wakoloni.
Uzuri taifa letu lina idara imara...
 
Na hiyo ni faida kwa Watanzania, bila wazungu wabongo wangeuawa kama kuku wanaoumwa mdondo.

Inasemekana Mwovu Shetani ni Mtanzania kwa kuzaliwa ila Wazazi wake hawajulikani
Unatumia makalio kufikiria hao ndio wanataka mteseke hamna mzungu anataka uhuru wenu, mnapouana wanauza siraha na kubeba mali zote hamna mzungu anakujari hata wanataka kuleta taharuki tu
 
Hakuna binadamu kama Mzungu tunaitwa Watanzania kwa sababu ya Mzungu.Mungu azidi kuwabariki wazungu ili dunia ijae neema na amani.
 
Suala hili la kutaka kutekeleza uhalifu huu bila shaka lazima liwe la siri sana ni ajabu ulaya kuligundua hilo licha ya kuwa la siri inaonesha kwenye mfumo flani kuna majasusi.

Kama wamejua mpango huu ni wazi wanamjua muhusika mkuu ni nani ila hawajamtaja aliyepanga kumuwekea sumu Lissu.
mwafrika anaye pambania ushoga analindwa sana na jamii ya kishoga ya mabeberu, inasikitisha kuzidi :CaptFailFish:
 
Back
Top Bottom