Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,148
- 13,108
atachukua ya uRaishivi mwigulu amechukua form ?
atachukua ya uRaishivi mwigulu amechukua form ?
Tanzania ni kama hatuna serikali. Barua ya kukamatwa Mange Kimambi si alipewa aisome kabla hajakamatwa.Suala hili la kutaka kutekeleza uhalifu huu bila shaka lazima liwe la siri sana ni ajabu ulaya kuligundua hilo licha ya kuwa la siri inaonesha kwenye mfumo flani kuna majasusi.
Kama wamejua mpango huu ni wazi wanamjua muhusika mkuu ni nani ila hawajamtaja aliyepanga kumuwekea sumu Lissu.
raisi siameshapitishwa tayari na wajumbeatachukua ya uRais
LISU HULETEWA CHAKULA NA FAMILIA/CHADEMA PAMOJA NA MAJI YAKE YA KUNYWA KILA UCHWAO,JAPO ZIPO SUMU ZA AINA NYINGI NA MATUMIZI MENGI,LAKINI SUMU KUBWA ZAIDI ITUMIWAYO NI YA KULISHWA,NINA HOFU SANA NA CHADEMA WENYEWE KATIKA KUFANYA UPUMBAVU HUU,ILI AU KWA DHAMIRA SEREKALI YA AWAMU YA SITA,ICHAFUKE,MMEONA KILA UCHAFUZI UNAPANGULIWA,SASA MARIA ANATENGENEZA KUBWA ZAIDI ILI ALIPWE ZAIDI,WAPO MABINTI HATARI SANA.Suala hili la kutaka kutekeleza uhalifu huu bila shaka lazima liwe la siri sana ni ajabu ulaya kuligundua hilo licha ya kuwa la siri inaonesha kwenye mfumo flani kuna majasusi.
Kama wamejua mpango huu ni wazi wanamjua muhusika mkuu ni nani ila hawajamtaja aliyepanga kumuwekea sumu Lissu.
Watakuwa wako ndani ya serikali,kama wanataka wawasake na kuwanyonga kabla hayajawakuta ya IranSuala hili la kutaka kutekeleza uhalifu huu bila shaka lazima liwe la siri sana ni ajabu ulaya kuligundua hilo licha ya kuwa la siri inaonesha kwenye mfumo flani kuna majasusi.
Kama wamejua mpango huu ni wazi wanamjua muhusika mkuu ni nani ila hawajamtaja aliyepanga kumuwekea sumu Lissu.
HZO NI HISIA TU HAMNA CHOCHOTESuala hili la kutaka kutekeleza uhalifu huu bila shaka lazima liwe la siri sana ni ajabu ulaya kuligundua hilo licha ya kuwa la siri inaonesha kwenye mfumo flani kuna majasusi.
Kama wamejua mpango huu ni wazi wanamjua muhusika mkuu ni nani ila hawajamtaja aliyepanga kumuwekea sumu Lissu.
Wale ndio Mossad wenyewe.Suala hili la kutaka kutekeleza uhalifu huu bila shaka lazima liwe la siri sana ni ajabu ulaya kuligundua hilo licha ya kuwa la siri inaonesha kwenye mfumo flani kuna majasusi.
Kama wamejua mpango huu ni wazi wanamjua muhusika mkuu ni nani ila hawajamtaja aliyepanga kumuwekea sumu Lissu.
Ndani ya mfumo kuna wazalendo ambao hawafurahishwi na utawala dhalimu wa Samia na jinsi anavyoineemesha Zanzibar kwa kodi za Watanganyika ndiyo hao wameamua kuuanika uovu wa utawala wa Samia ili hata ikiwezekana Jeshi la Wananchi liikomboe nchi maana mifumo ya kistaarabu ya kuweza kuleta mabadiliko imeshindikana.Suala hili la kutaka kutekeleza uhalifu huu bila shaka lazima liwe la siri sana ni ajabu ulaya kuligundua hilo licha ya kuwa la siri inaonesha kwenye mfumo flani kuna majasusi.
Kama wamejua mpango huu ni wazi wanamjua muhusika mkuu ni nani ila hawajamtaja aliyepanga kumuwekea sumu Lissu.
Hivi Wewe bwana umeshindwa hata kujiuliza kuwa Hao wazungu wanataka nini Tena hapa Tanzania ilihali karibu Kila kona wapo na wanakula rasilimali zetu wanavyotaka?Kwa hiyo unaona wazungu wanawapenda sana? Huyo ni kibaraka wanamtumia km toilet paper baadaye watamtekeza wenyewe, unaijua stori za Jonas Savimbi? Km unataka kujua mzungu anampenda mwafrika nenda kaishi kwao ht kwa mwaka moja tu. Nyie vibwengo mnabwabwaja tu hakuna mnachojua.
Kaka, unabii lazima utimie, mbeba maono hawezi kufa, tupo hapa mpaka unabii utimieWatu wema wapo kila mahali.. Halafu zingatia nafasi ya jamaa kimataifa
Wanakosaje majasusi?Suala hili la kutaka kutekeleza uhalifu huu bila shaka lazima liwe la siri sana ni ajabu ulaya kuligundua hilo licha ya kuwa la siri inaonesha kwenye mfumo flani kuna majasusi.
Kama wamejua mpango huu ni wazi wanamjua muhusika mkuu ni nani ila hawajamtaja aliyepanga kumuwekea sumu Lissu.
Kaka, unabii lazima utimie, mbeba maono hawezi kufa, tupo hapa mpaka unabii utimie
Watoe picha ya mpango kamili kama upo.Suala hili la kutaka kutekeleza uhalifu huu bila shaka lazima liwe la siri sana ni ajabu ulaya kuligundua hilo licha ya kuwa la siri inaonesha kwenye mfumo flani kuna majasusi.
Kama wamejua mpango huu ni wazi wanamjua muhusika mkuu ni nani ila hawajamtaja aliyepanga kumuwekea sumu Lissu.
Unaelewa nini wewe kuhusu siasa?Chadema na wazungu wao wanapenda kiki kama wasanii. Siasa imewashinda
Kuna jambo tunalifuta kwa nguvu sana kama nchi tutalipataNa hiyo ni faida kwa Watanzania, bila wazungu wabongo wangeuawa kama kuku wanaoumwa mdondo.
Inasemekana Mwovu Shetani ni Mtanzania kwa kuzaliwa