Suala la usajili wa wa Clatous Chama limedhihirisha kuwa vyombo vya habari vya michezo nchini ni waongo na hawana uwezo wa kuchunguza na kupata ukweli

Hatukuambii unachotaka kukijua. NIMESHAJUA JANJA YAKO
 
Babra aliwashangaa walivyokuwa wakitunga taarifa kuhusu yeye kurejea Simba bila hata kumwuliza.
Njaa zinawasumbua pamoja na uelewa mdogo.
 
Tetesi za usajili zipo duniani kote.Hata vyombo vikubwa duniani kama bbc huandika tetesi za usajili na wakati mwingine uhalisia huwa kinyume na tetesi zao.
Kabla sijaendelea,unajua maana ya tetesi?
Tetesi za chama wiki nzima ndio nini? Tena anasajiliwa yanga misimu iliyopita anachezea Simba.
Waandishi wanaoshabikia Simba na yanga ni ukanjanja mtupu. Hamna jipya wla lamaana
 
Haya! Ngoja basi nikipunguzie presha. Maana tunaweza tukakupoteza hivi hivi!

Mchezaji Clotus Chama amesaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuitumikia timu ya Young Africans. Na mwishoni mwa wiki hii anatakiwa kujiunga na kambi ya timu yake mpya.

Taarifa hii na iwafikie pia mashabiki wake wote wa humu jukwaani.
 
Comrade, huyo aliyeingilia kati kwenye lile suala la Dogo Fei alikuwa ni huyu binti kiziwi ninayemfahamu, au ni CHURA KIZIWI?
 
Mbona hujahitimisha kuwa Chama kasajiliwa wapi? Kaongeza mkataba Simba au kasajiliwa Yanga? Sasa umeponda vyombo vya habari za michezo halafu swala la msingi umeliacha kulikoni?
Nilitamani nimuulize hivyo, ila baadae nikagundua huyo ni mbumbumbu hajawahi kuwa na akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…