Suala la Wamachinga: Kuwatimua DC na DED inaweza kuonekana ni kuwatetea "wanyonge" lakini ni kuendeleza kero kwa wananchi

Suala la Wamachinga: Kuwatimua DC na DED inaweza kuonekana ni kuwatetea "wanyonge" lakini ni kuendeleza kero kwa wananchi

Kuwaondoa machinga ni vita kali kubwa sana sidhani kamamama atapitisha salama....ugomvi mkubwa sana wako fujo nchi nzima wakiandamana watapigwa kuvunjwa miguu .....nashauri mama asiende kwa pupa
 
Thinking hii nayo ni ya kimachinga.
Mtu halipi kodi wala tozo za Halmashauri ili kujenga hiyo miundombinu.
Tutajenga nchi ya kimachinga.
Hawa watu wametengenezewa kitambukisho maalumu cha Cha ujasiriamali kinachotambua biashara zao, kwa hiyo wanachangia mapato kupitia kitambukisho hicho.

Ni muhimu kuwawekea mazingira mazuri ya biashara maeneo ya mijini ili waweze fanya biashara zao bila bugudha yeyote.

Changamoto kubwa inayotokea halmashauri zinawaandalia maeneo ya biashara mbali na miji sehemu ambako watu hawafiki kwa urahisi, kwa hiyo wanashindwa kufanya biashara na kuamua kurudi mijini.
 
Tatizo siyo kuwaondoa tu, wawekee mazingira mazuri ya biashara maeneo ndani ya miji, siyo wanawaswaga kwenda huko nje ya miji ambako hakuna biashara.
Kufanya biashara mijini kuna gharama zake
Watu wanalipia fremu,ofisi nk na kodi za TRA wanalipa...
Ila machinga wants it all for FREE
HAIWEZEKANI!! ....

ni bughudha na kero kwa wananchi wanaofuata taratibu
Nchi ni yetu sote makundi yote yaangaliwe
 
Hii ni nchi yetu sote, matajiri na maskini wanayo haki ya kufanya biashara mijini, kinachotakiwa ni kuwapanga vizuri hawa wajasiriamali ili biashara zao zisiingiliane na biashara kubwa. Utaratibu wa kitambulisho cha mjasiriamali kinawapa fursa ya kuchangia ktk mapato ya nchi.
 
Machinga analipa kodi gani?
Elf 20 nayo ni hela kwa mauzo wanayouza mijini?.

miundombinu kwa elfu 20 anayolipa?!
Hauko serious

Wanataka strategic locations for free wkt wafanya biashara wengine wanalipia gharama kubwa kuzipata

njia nzuri labda wapangwe watambuliwe mauzo yao yawe bayna TRA walipe kodi stahiki
Sio mchoma chips mauzo 1M per day afu analipa elf 20!NO!

elf20 wakauzie maporini

mjini kiama chao kinakuja..sheria za nchi zipo matajiri kwa maskini tuzifuate
 
Wimbi la machinga mijini chanzo ni wanasiasa uchwara baada ya kuuwa uchumi kuingilia bei za mazao,chuki visasi dhidi ya waliofanikiwa, viwanda na shughuli nyingi zilifungwa watu wakakosa kazi.Hivyo ikapelekea wengi kuingia kwenye umachinga,kuja kuwa mtaji wa wanasiasa wakati wa kuomba kura.
 
Machinga analipa kodi gani?
Elf 20 nayo ni hela kwa mauzo wanayouza mijini?.

miundombinu kwa elfu 20 anayolipa?!
Hauko serious

Wanataka strategic locations for free wkt wafanya biashara wengine wanalipia gharama kubwa kuzipata

njia nzuri labda wapangwe watambuliwe mauzo yao yawe bayna TRA walipe kodi stahiki
Sio mchoma chips mauzo 1M per day afu analipa elf 20!NO!

elf20 wakauzie maporini

mjini kiama chao kinakuja..sheria za nchi zipo matajiri kwa maskini tuzifuate
Kuanzishwa kwa utambulisho wa mjasiriamali ilikuwa na lengo la kuwatambua na kuwalea ili baadae wawe wafanyabiashara wakubwa. kuna watu leo wana maduka makubwa lakini ukifuatilia historia yao utakuta wameanzia chini Kama wamachinga.

Wajasiriamali hawa kwa wingi wao wana mchango mkubwa Sana kwa kutoa hiyo elfu 20 usidharau mchango wao.

Wakipangiwa nje ya miji hawawezi kufanya biashara, kwa sababu biashara zao zinategemea movement ya watu. Mitaji yao ni midogo kwa hiyo asipouza siku 2 tu anajikuta amekula mtaji.
 
Sidhani kama huyu machinga unayesema asipouza siku mbili atakula mtaji ndo huyu uliyemsema alianza na umachinga kisha akawa ni mfanya biashara mkubwa.Ata hivyo hili lakusema machinga wanafwata movement za watu hao ni machinga wachache lakini wakishakua lundo la machinga wengi hapo panakua ni soko.Leo machinga wamejazana kariakoo kwasababu tayari kulishakua na soko kariakoo na wateja walikua wanalifwata soko la kariakoo.Kwahiyo hili lakusema hawawezi kutengewa eneo sababu sio kwamba wateja hawatawafuata bali woga unatokana na aina ya bidhaa wanazoziuza kama zitakua na ulazima wa mteja kufunga safari hadi maeneo yao kununua kitu cha kichina cha elfu 3 wakat katumia muda na nauli zaidi ya elfu 2.kwahiyo wanatumia mgongo wa msongamano wa watu kuficha wepesi wa aina ya bidhaa zinazouzwa.Ata hapo kariakoo kwa mfano zikifungwa biashara zingine zote wakaachwa hao machinga wenyewe unaowasema baada ya miaka 2 wataanza kulalamika biashara ni ngumu.Kwahiyo tatizo hapa linachagizwa na mambo mengi ikiwepo sera ya nchi yenyewe kwenye mambo ya uchumi,ajira na weledi wakisiasa.hadi sasa kunatumika utashi wakisiasa kwenye kulishughulikia hili ndo maana linaendelea kusumbua na wahusika wasipolitizama kwa mapana litakuja kusumbua sana miaka ijayo.Kwahiyo pamoja na umuhimu wao bado swala lao linahitaji ufumbuzi mgumu wa haraka.
 
Tatizo nchi hii ni moja. Tujiulize ni kwa mini nchi imejaa machinga? Nchi hii kuna sheria nyingi mno zinazowapa nafasi matajiri kunufaika.
 
Kuanzishwa kwa utambulisho wa mjasiriamali ilikuwa na lengo la kuwatambua na kuwalea ili baadae wawe wafanyabiashara wakubwa. kuna watu leo wana maduka makubwa lakini ukifuatilia historia yao utakuta wameanzia chini Kama wamachinga.

Wajasiriamali hawa kwa wingi wao wana mchango mkubwa Sana kwa kutoa hiyo elfu 20 usidharau mchango wao.

Wakipangiwa nje ya miji hawawezi kufanya biashara, kwa sababu biashara zao zinategemea movement ya watu. Mitaji yao ni midogo kwa hiyo asipouza siku 2 tu anajikuta amekula mtaji.
Elf 20 ni ndogo sana kwa kufuatiliwa mauzo yao ya siku..!

bottom line walipe kodi..
 
Hili swala la machinga kutaka kujifanya ni kundi maalumu na spesho sana kwenye hii nchi haikubaliki,lazima machinga wafuate sheria na sio kujifanyia chochote wanachotaka
Huko Mwanza niliona wanaifunga barabara pale Nyerere square. Pale kuna vifo vitatokea, ni swala la muda tu.
 
Suala la wamachinga halina shortcut, Serikali iweke mpango mzuri wa kudeal na hilo suala

Wamachinga ni raia wenzetu wanaotafuta kula yao ya kila siku, kuwaondoa bila mpango maana yake unataka wafe kwa njaa, sasa hakuna binadamu anayeweza kukubali wewe usimame katikati ya njaa yake, mtazinguana.

Serikali yenyewe ndo ilifanya hili suala kuwa la kisiasa, sasa chickens are coming home to roost, ni wajibu wa serikali kulisolve hilo, Wamachinga hawana kosa, hakuna kosa kwenye kutafuta rizki halali ili usife njaa!.

Mambo ya mipango miji mtajua wenyewe, maadamu keshalipa 20000 ya kitambulisho chake na mlimhakikishia kuwa atafanya baiashara popote bila kusumbuliwa basi timizeni ahadi yenu!
Leseni yenyewe licha ya kuwa ina masharti yake lakini yanaweza kubadirishwa muda wowote au kuzuiwa, sembuse kitambulisho?!!eti hakuna kosa kwenye kutafuta riziki!!ni suala la muda tu, lakini lazima wapangwe tu kwa kufuata sheria za halimashauri.Mfano juzi kwenye ujenzi wa barabara ya DART, mbagala kuna baadhi walitaka kuleta vurugu kisa kuambiwa wapishe wajenzi waliokuwa wanataka kuchimba mitaro, wanasema waende wapi?wakawa wanazuia greda lisifanye kazi, Mtu ana kibanda chenye bidhaa za milioni tano, kipo pembezoni mwa barabara eti na yeye ni machinga!!!
 
Back
Top Bottom