Mkuu tutake radhi bana..[emoji35]Boss hii kuagiza Bei yq juu sana ni 15m, ila ukitaka ya kununua kwa mtu Hiyo cjui kweli,
Km unataka ningekushauri uagize Japan.
Ila ukifika nayo usisahau kuileta tuipime kwanza barabarani[emoji1] maana tuna chama chetu huwa tunazipima kila weekend, ikibomolewa unaagiza nyingine.
Kumiliki hizi gari raha sana, tofauti na hii mbolea zingine mnaita Toyota!
Ila mkuu mbona kama unatupiga changa! Mana nimecheki kwenye mtandao 270 km/h ni golf gt.Kuna mjinga mmoja nipo safarini naenda mbeya yupo na crown tena km mpya maana Niliona number ni t...DL..., tumefika Iyovi akataka kushindana na mm Niko na Volkswagen golf....
Sikumtangulia nilimuacha amalize speed zote.....hata km 20 hakufika akasikia engine inapiga kelele..ikawa Ndio mwisho wa gari yake...
Na Hapo mm naenda nae mm nimefika 190 wakati uwezo wa gari yangu ni 300km/h
Toyota ni uchafu, Hakuna gari mle
Mkuu km Ww unamiliki Toyota usijihesabie una gari, Hapo una usafiri tu wa kukutoa point A kukupeleka point B!Mkuu tutake radhi bana..[emoji35]
270km/hr, njia bado unaiona vizuri tu?Hahaha mkuu mbona yangu ni speed 300km/h na nipo Salama, the highest speed Nimewahi kuendesha ni 270km/h ingawa Nina mpango nimalize zote 300 siku moja.
300 ni speed ya ndege wakati Wa ku-take off!
Angalia Volkswagen Golf GTI, model kuanzia 2005+ then uniambie ni speed ngapiIla mkuu mbona kama unatupiga changa! Mana nimecheki kwenye mtandao 270 km/h ni golf gt.
Zingine zipo chini kidogo unaweza nitajia aina yako nimi nika iperuzi. Labda naweza kuvutika one day yes.
Why not? Tena the way u feel comfortable ni km Upo kwny 160km/h270km/hr, njia bado unaiona vizuri tu?
Ulaji wa mafuta vipi mkuu?Why not? Tena the way u feel comfortable ni km Upo kwny 160km/h
Ni very efficient, nyingi ni cc 1800-2000, in short ukiendesha hizi gari Unaweza kutukana Toyota mpaka ukatamani kuzirushia mawe ukizionaUlaji wa mafuta vipi mkuu?
We jamaa ni unazichukia Toyota balaaaNi very efficient, nyingi ni cc 1800-2000, in short ukiendesha hizi gari Unaweza kutukana Toyota mpaka ukatamani kuzirushia mawe ukiziona
Hahaha mkuu niliwahi kumiliki Toyota nyingi zinafika hata 5, mojawapo nilianza na Toyota Mark 2, nikaja Toyota Vista, nikaja Brevis, nikanunua Verossa na nyingine Ilikuwa ya biashara.We jamaa ni unazichukia Toyota balaaa
I can see it in your posts, u hate them with passion [emoji3] [emoji3] [emoji3]. Mie niko kwenye msako wa Vw au audi inayoweza himili barabara za bongo pia iwe below 2000 ccHahaha mkuu niliwahi kumiliki Toyota nyingi zinafika hata 5, mojawapo nilianza na Toyota Mark 2, nikaja Toyota Vista, nikaja Brevis, nikanunua Verossa na nyingine Ilikuwa ya biashara.
Ila Baada ya kuonja Volkswagen na Audi, hizi naziona sijui takataka gani.
Nishaunguza engine nyingi za watu huko barabarani waliojaribu kushindana na mm, maana napenda sana racing![emoji41]
Haha..uko sahihi mkuu. Nimerudi toyota but American Car. nina sequoia 2012 and still running smooth. Ila nina mpangoDah mkuu kutoka Mercedes Benz kurudi hadi Toyota ni Sawa na kutoka kuwa mkuu wa mkoa hadi kuwa mwenyekiti wa kijiji, Umepotea aisee!
Gari yangu ni Volkswagen golf GTI
Hahaha mkuu, I Don't hate them, ila sizikubali tu kwa sababu sio durable na pia hazikimbii,I can see it in your posts, u hate them with passion [emoji3] [emoji3] [emoji3]. Mie niko kwenye msako wa Vw au audi inayoweza himili barabara za bongo pia iwe below 2000 cc
Namimi nikifiksha tano na hama Toyota[emoji2][emoji2][emoji2]Hahaha mkuu niliwahi kumiliki Toyota nyingi zinafika hata 5, mojawapo nilianza na Toyota Mark 2, nikaja Toyota Vista, nikaja Brevis, nikanunua Verossa na nyingine Ilikuwa ya biashara.
Ila Baada ya kuonja Volkswagen na Audi, hizi naziona sijui takataka gani.
Nishaunguza engine nyingi za watu huko barabarani waliojaribu kushindana na mm, maana napenda sana racing![emoji41]
Mercedes yangu bado ipo ingawa nili-donate kwa mtu muhimu in my life. my childhood guardian. so huwa nikija rikizo, naingalia with emotions. kumbuka niliinunua kwa one of the diplomat in south Afrika. ni bullet proof, ingawa sijawahi kumwambia kama ni bullet proof kuondoa usumbufu wa hapa na pale.Dah mkuu kutoka Mercedes Benz kurudi hadi Toyota ni Sawa na kutoka kuwa mkuu wa mkoa hadi kuwa mwenyekiti wa kijiji, Umepotea aisee!
Gari yangu ni Volkswagen golf GTI
Hongera sana mkuu, don't regret to donate it to the important person like him, hope you'll get another one!Mercedes yangu bado ipo ingawa nili-donate kwa mtu muhimu in my life. my childhood guardian. so huwa nikija rikizo, naingalia with emotions. kumbuka niliinunua kwa one of the diplomat in south Afrika. ni bullet proof, ingawa sijawahi kumwambia kama ni bullet proof kuondoa usumbufu wa hapa na pale.
Dah bahati mbaya kila nikijaribu kufungua picha hizi zinagoma!Haha..uko sahihi mkuu. Nimerudi toyota but American Car. nina sequoia 2012 and still running smooth. Ila nina mpango
wa kutafuta hiki chombo'-
Itategemea na umri na ustaarabu wake, hayo masubaru na gari za vijana waliopinda Pinda, walevi na wasio na ustaarabu wa kupigia watu makelele barabarani!Chukua Subaru mzee!
Itategemea na umri na ustaarabu wake, hayo masubaru na gari za vijana waliopinda Pinda, walevi na wasio na ustaarabu wa kupigia watu makelele barabarani!