Subaru foresta 2005 vs harrier 1999

good to hear that. mimi nilikosea nikauza gari niliyoanza nayo maisha, mpaka leo bado naikumbuka. sijui kama bado ipo kwani ni miaka mingi sana imepita. nimebadili magari mengi na sikumbuki idadi, lakini sijawahi kuwa na furaha nazo. gari ya kwanza ni kama mke wa kwanza, huwa kuna miujiza ndani yake..
 
Ndio ivyo mkuu..saa ingine mtu unauza kwa influence tu..ila sio kama unapenda.
 
Nafikiri huijui iyovi ndugu....
 
Sina gari ila napenda magari sana sana pia napenda racing
Uzi huu unanita furaha sana ...siachi comment ata moja
Wakuu napenda Subaru sana nilikuwa nauloza Subaru N12 iko vp niliona kwenye racing mashindano pale station
 
ila ipo siku mungu atakukamilishia tamanio la moyo wako..na ww utakua una cruise tu town apa..
 
Me impreza sijawahi kuzipenda..ugonjwa wangu ni foresta na legacy..both with turbo.. Nikionaga ambazo hazina kipua naona ni toyota tu..
 
ila ipo siku mungu atakukamilishia tamanio la moyo wako..na ww utakua una cruise tu town apa..
Sawa mkuu nitaleta mlejesho cos ndo nimemaliza chuo nazisaka noti
 
Hahaha mkuu hii ni gari, Ziko vizuri sana hasa kwa,Safari ndefu
Mkuu vipi kuhusu ground clearance, maana naiona kama ipo chini mno!! Pia vipi performance yake kwenye rough roads?
 
na hapo ndo mwisho wa IST hata ungekanyaga vipi isingeweza kufika 180... unless ufanye ECU remap..

most of toyota's ambazo ni chini ya 1.8 ltr engine na iwe cylindr 4 hazimalizi sahani
hadi ufanye mappin
Hio golf yako ni GTi au na ni ya mwaka gani?
 
MKUU HEBU UTUELEZEE VZR, MODEL HII YA VW TOURAN NAKUMBUKA KUNA MCHANGIAJI MMOJA ALISHAWAHI KUSEMA KUWA TATIZO LAKE NI KWENYE GIA BOX AMBAYO NDIYO MOST COMMON PROBLEM.. HEBU TUAMBIE..

PILI MAFUNDI NAPO KUMEKUWA NA CHANGAMOTO, JE NI KWELI...

MWINGINE AKAJA NA SHUHUDA YA KUWA SPARE PART YA HII MODEL BADO NI SHIDA ESPECIALLY TAA KUBWA ZA MBELE, SITE MIRROR, TAA ZA NYUMA NI MPAKA UAGIZE KUPITIA NAIROBI AU SOUTH AFRIKA, JE NI KWELI..

VIPI BOJO JOINT NA MINOFU MINGINE YA UVUNGUNI KWENYE MODEL HII, NI RELIABLE AU NDIYO MPAKA NAIROB NA JOBERG?????

MWISHO HII GARI NINA IADMIRE SANA SABABU YA BODY LAKE KUBWA THEN NI NEW FLAVA UKICOMPARE NA MBOLEA..
 
Namba ya Engineer Issa kwa matatizo yote ya Subaru muone 0759917001 na spea zake pia
 
Gari zote nzuri kutegemea na matumizi na utunzaji angalia chaguo lako kama ni AWD or FWD.....maintenance ya subaru ni ghali ila ukiwa mtunzaji itakufaa...
Usikimbilie hayo yenye maTURBO mana kitakachofata ni maumivu bora uchukue hiyo hiyo N/A
Hizo zote resell price yake ni ya hovyo mana subaru watu wanazikimbia siku hizi mostly turbo ones, harrier hiyo imeshapitwa na wakati labda new model yake(matak* ya nyani)
 
Nin
Ninasubiri pia. Driving in rough road je?
 
Soccer mum's car
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…