PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,521
- 46,663
Ndugu zangu tunaenda kufunga mwaka wapo wenye ndoto mbalimbali hapo mwakani katika kununua magari.
Kwa wale ndugu zangu wenye ndoto za kumiliki Subaru forester nawaomba waaachane na Subaru forester SJ5 yenye code engine ya FB20 non turbo ( forester ya 2013 - 2016)
Nimekutana na ushahuda wa wamiliki na mafundi wa Subaru wote wanalalamika hii gari.....Mafundi na influences WA mitandaoni wamewaingiza watu chaka Kwa kuwaaminisha kuwa SJ5 ndiyo chaguo Sahihi eti kwasababu haina turbo ila Kwasasa wanatamani wangenunua kama XT zetu
Je ubovu wa SJ5 upo wapi?
Baadhi ya mafundi wenye Akili Toka kitambo walishauri Subaru forester SJG / FA 20 ni Bora kuliko hizo non turbo ila watu walibeza ushauri ule na sasa wamesadiki ushauri wako
..... Je unahitaji Subaru forester Aina gani itakufaa....

- Kwanza hiyo gari inatumia oil zenye weight ndogo Sana yaani 0W - 20 hivyo kwenye joto hiyo oil inakuwa nyepesi kama konyaji.au Kvant.
- oil clearance Kati ya crankshaft pamoja bearing za piston yaani main na con ni ndogo Sana kwahiyo oil iweze kupita katikati unahitaji oil filter Bora na oil Sahihi
- Hii gari inakula oil Sana na cylinder head gasket inakufa kirahisi tofauti na matoleo yote ya Subaru forester.
- 0W - 20 ni Aina ya oil ambayo sio rafiki Sana Kwa mazingira ya nchi zetu za tropical kwasababu ( kuna baadhi ya mafundi wameshauri wameshauri wateja wao watumie 5W - 30 na bado wameua engine zao).
Baadhi ya mafundi wenye Akili Toka kitambo walishauri Subaru forester SJG / FA 20 ni Bora kuliko hizo non turbo ila watu walibeza ushauri ule na sasa wamesadiki ushauri wako
..... Je unahitaji Subaru forester Aina gani itakufaa....
- Subaru forester XT 2008-20012 ( Hii ninayo najua kiundani Sana
- Subaru forester EJ 20 non turbo 2008-20012 hii gari roho ya paka
- Subaru forester SJG/ FA 20 ya 2013-2016