Subaru forester SJ5 / FB20 ni mgonjwa wa kansa anayetembea barabarani

Subaru forester SJ5 / FB20 ni mgonjwa wa kansa anayetembea barabarani

0W20 PUMA hawana.

Kwenye kifuniko cha oil cha Subaru SJ5 wameandika 0W20 ila kwa mazingira ya hali ya joto nchi yetu si salama kwa hii oil.

Kwenye manual wameandika tumia 0W20 ila ukikosa unaweza ukatumia 5W30 ama 5W40 ila next service uweke 0W20.

Kama mtengenezaji ameshauri.unaweza kutumia 5W30 kwanini mimi niwe na wasiwasi wa kuitumia muda wote.

View attachment 3523630
Maelezo mazuri sana.
 
Mwaka huu inshaallah mambo yakienda vizuri shamba February nataka nivute chuma budget yangu 20-25 Million yaan mambo ya magari sijui kabisa.
Ni gari gani nzuri itanifaa kwa huku kwetu ni maeneo ya milima na barabara za vumbi kwa asilimia kubwa so itakua ni ya kuendea mjini kwa safari za karibu.
Mimi sio bishoo yaan kikubwa gari iendane tu na hali na ambayo haitanisumbua 😂
Nayatamani yale Maford Ranger japo najua litakua mkasi sana !!Japo sijui undani wake ila linanivutia mno muundo wake, mnishauri hata kama naweza kupata linalofanania la bei ya chama 😂

Oya ile chuma nikiisukuma nimepigilia na kofia langu na nimechomekea , inanifurahisha sana najikuta kama John Dutton kwenye Yellowstone au Tommy Norris wa Landman

Nimeiga mfumo wa maisha design kama wale COWBOYS ndo maana nimejitenga mbali na mji kabisa huko ni kilimo na kufuga na kumiliki aridhi.
 
Hii niliacha kuitumia baada ya PUMA kuachana nao, kuna fake sana ya hizi oil, kuwa makini sana.

Alafu zote zinatoka South Africa.
Hiyo michezo yote ya oil fake nazijua Sana sehemu pekee ambayo nanunua oil za Castrol ni Kwa authorized dealer wa Castrol wako pale gerezani mtaa kiungani opposite na uwanja wa JK wanauza Tsh 165,000/= Kwa dumu moja la lita 5...
Oil filter natumia Bosch
IMG_20250123_141751.jpg
 
Hiyo michezo yote ya oil fake nazijua Sana sehemu pekee ambayo nanunua oil za Castrol ni Kwa authorized dealer wa Castrol wako pale gerezani mtaa kiungani opposite na uwanja wa JK wanauza Tsh 165,000/= Kwa dumu moja la lita 5...
Oil filter natumia Bosch View attachment 3523656
Authorized dealer wa Castrol ni Wambi Lubricants tu na dumu la 5L wanauza 185,000 hii ni zaidi ya mwaka ndio niliuliza.
Hao wengine wote Castrol za mchongo zipo hadi 75,000 5L
Huyo wa hapo Gerezani namjua anauza oil nyingi kwa jumla. Nilikuwa nanunua Total hapo zamani.
 
Naona haujaelewa hapo ni hivi engine SJG kama itazingua basi ni turbo Tu huwezi kuona inabadilishwa engine nzima kama ilivyo Kwa SJ5.
SJ5 ugonjwa wake ni kuzungusha mkono wa piston au kupinda Kwa crankshaft au au sleeves kutanuka kitu ambacho ni lazima utanunua engine nyingine Kwa milioni 9-10
Sisi wenye turbo tunasumbuka na turbo Tu na kama itazingua utanunua Kwa laki 9 Hadi milioni 1 pekee
Gari nyingi zinazungusha kwa sababu ya oil mbaya. Sio Subaru tu, BMW na Land Rover huwa zinqzungusha sana ukikosea oil.
 
Authorized dealer wa Castrol ni Wambi Lubricants tu na dumu la 5L wanauza 185,000 hii ni zaidi ya mwaka ndio niliuliza.
Hao wengine wote Castrol za mchongo zipo hadi 75,000 5L
Huyo wa hapo Gerezani namjua anauza oil nyingi kwa jumla. Nilikuwa nanunua Total hapo zamani.
Ukienda kwa Wambi ni uhakika ila nadhani anauza kwa jumla.

Ukimuuliza wapi nitapata rejareja atakuelekeza kwa wale watu anao wauzia.
 
Kuna fundi wangu yeye anaenda mwenyewe. Au anakwambia nenda kachukue hata box moja utatumia hadi liidhe.
Tatizo hao wanaowauzia huwa wana mix na mzigo wa kichina kuongeza faida.
Awali nilikuwa natumia Catrol Oil Full Synthetic ya 5W30 kwa Toyota na 5W40 kwq BMW, nilikuwa nanunua PUMA, baada ya PUMA kuacha kuuza nilikwenda kwa Wambi kutaka kununua akaniambia anauza kwa jumla. Nikamuuliza wapi nitazipata, akanielekeza kwa watu tofauti ndio nikamchagua mmoja wapo nikawa nakwenda kufanya Service.

Baadae huyo bwana akawa na mapipa yale makubwa nadhani ni ya lita 20, nikapitia kwenye mitandao nikaona siku hizi kuna fake zinatengenezwa, nikacheki PUMA nikaona nazo ni bora sababu zote zinatoka South Africa ndio nikahakia kwenye PUMA sababu nakwemda filling station ya PUMA kununua mwenyewe.
 
Back
Top Bottom