Subaru forester SJ5 / FB20 ni mgonjwa wa kansa anayetembea barabarani

Mkuu,
Magari mengi huharibika si kwa sababu ya ubovu au makosa ya mtengenezaji, bali kwa sababu ya ushauri wa kimazoea kutoka kwa baadhi ya mafundi wa chini ya mwembe.

Kauli kama “engine hii ni mbovu” au “gearbox hii haifai” au "Bongo joto" mara nyingi si za kweli. Ukweli ni kwamba baadhi ya injini za kisasa hazivumilii uzembe au matunzo yasiyo sahihi, hasa kwenye matumizi ya engine oil.

1. Hoja ya 0W-20 kuwa nyepesi kwa joto la nchi za tropiki si sahihi kitaalamu.

Joto la nje (ambient temperature) halina uhusiano wa moja kwa moja na joto la ndani ya injini, isipokuwa wakati wa kuwasha gari. Joto la ndani ya injini hufikia hadi 100–110°C, so kusema huku bongo kuna joto si sahihi coz joto letu la 30–35°C la mazingira ya hapa bongo ni dogo kuliko la ndani ya engine.

Oil ya 0W-20 imeshapimwa na kuthibitishwa kufanya kazi kwenye joto hilo la ndani ya engine.

Pia, fully synthetic 0W-20 za kisasa zina high shear stability na hazigeuki “kama maji”. Ndiyo maana Subaru, Toyota, Honda n.k hawaandiki oil tofauti kulingana na nchi au hali ya hewa. Wanataja oil moja tu dunia nzima kulingana na walivyoiunda engine.

2. Hoja ya oil clearance ndogo
Ni kweli kwamba injini ya FB20 ina tight tolerances. Lakini hitimisho la kutumia oil nzito si sahihi. Ndiyo maana mtengenezaji ametaja oil nyepesi ya 0W-20 badala ya 5W-30. Oil nzito hupunguza oil flow kwenye maeneo nyeti ya engine, huchelewesha lubrication wakati wa kuwasha, na huongeza uchakavu wa crankshaft na bearings baada ya muda.

3. Kauli kwamba “SJ5 inakula oil na head gasket inaharibika kirahisi”
Hapa mkuu matatizo mawili tofauti yamechanganywa:

a) Kula oil husababishwa na kuchelewesha kubadili oil, kutumia oil isiyo sahihi au fake, uwepo wa tope la oil kwenye engine, oil kuvuja sababu ya kuchaa kwa seal za valve n.k. Hili si tatizo la Subaru SJ5 pekee.

b) Head gasket failure mara nyingi husababishwa na overheating, oil kuchelewa kusambaa kwenye injini, matumizi ya oil isiyo sahihi kama hivyo kuweka 5W30 badala ya 0W20, tatizo la cooling system n.k

4. Hoja ya 5W-30 kuua engine
Hoja hii ina sehemu ya ukweli, si kwa sababu 5W-30 ni oil mbaya, bali kwa sababu FB20 haikubuniwa kwa oil hiyo. Uzito wake husababisha kuchelewa kwa lubrication, kuongezeka kwa msuguano na uchakavu wa bearings. Hapo lazima engine ife.

Matatizo mengi ya magari ya kisasa yanatokana na kusikiliza ushauri wa kubahatisha au kukariri teknolojia za zamani. Ukifuata maelekezo ya mtengenezaji, injini itadumu bila matatizo makubwa.

Nimetumia 0W20 kwenye RVR na Prius kwa miaka, sikuona shida. Shida inaanza ukianza kuweka ubunifu wako.
Mkuu umemaliza kila kitu, na ndio haya mambo nimeongelea kwa ufupi comments za mwanzo.

Ukiweka 5W-30 kwenye FB 20 ni jambo la muda tu utarudi kwa fundi na mfuko utoboke nina ushuhuda wa hili.

Kila mbongo ukiongelea Subaru huwezi kosa sababu ya kuua engine kwa sababu bongo jua ni kali na oil yake haivumilii, unabaki kushangaa tu.

Binafsi huwa naamini hakuna gari mbaya, watumiaji ndio tunakuja na ubaya wa gari
 
Mkuu wewe unatumia/ ulikuwa Aina gani ya oil ili wasomaji wengine wapate faida
 
Natumia Atlantic, anayeniuzia sijui nimuite dealer au la, ila duka lake anauza brand hii tu miaka na miaka. Anasema anachukua direct toka kwa importer.
IMG_20251107_095325.jpg
 
Mkuu umemaliza kila kitu, na ndio haya mambo nimeongelea kwa ufupi comments za mwanzo.

Ukiweka 5W-30 kwenye FB 20 ni jambo la muda tu utarudi kwa fundi na mfuko utoboke nina ushuhuda wa hili.

Kila mbongo ukiongelea Subaru huwezi kosa sababu ya kuua engine kwa sababu bongo jua ni kali na oil yake haivumilii, unabaki kushangaa tu.

Binafsi huwa naamini hakuna gari mbaya, watumiaji ndio tunakuja na ubaya wa gari
Kweli mkuu. Mafundi wengi wanakwambia gari zote ndogo za petrol ni 5w30. Hapo ndipo shida huanza. Baadhi ya engine huvumilia, baadhi hu-react.

Humu JF mwanzo watu walilalamika gearbox za Xtrail na Rumion ni mbovu, hasa wakibadili oil. Kufuatilia kumbe mafundi wengi wanaweka T/F walizozea wakati waundaji wameshauri oil za CVT.
 
Mkuu,
Magari mengi huharibika si kwa sababu ya ubovu au makosa ya mtengenezaji, bali kwa sababu ya ushauri wa kimazoea kutoka kwa baadhi ya mafundi wa chini ya mwembe.

Kauli kama “engine hii ni mbovu” au “gearbox hii haifai” au "Bongo joto" mara nyingi si za kweli. Ukweli ni kwamba baadhi ya injini za kisasa hazivumilii uzembe au matunzo yasiyo sahihi, hasa kwenye matumizi ya engine oil.

1. Hoja ya 0W-20 kuwa nyepesi kwa joto la nchi za tropiki si sahihi kitaalamu.

Joto la nje (ambient temperature) halina uhusiano wa moja kwa moja na joto la ndani ya injini, isipokuwa wakati wa kuwasha gari. Joto la ndani ya injini hufikia hadi 100–110°C, so kusema huku bongo kuna joto si sahihi coz joto letu la 30–35°C la mazingira ya hapa bongo ni dogo kuliko la ndani ya engine.

Oil ya 0W-20 imeshapimwa na kuthibitishwa kufanya kazi kwenye joto hilo la ndani ya engine.

Pia, fully synthetic 0W-20 za kisasa zina high shear stability na hazigeuki “kama maji”. Ndiyo maana Subaru, Toyota, Honda n.k hawaandiki oil tofauti kulingana na nchi au hali ya hewa. Wanataja oil moja tu dunia nzima kulingana na walivyoiunda engine.

2. Hoja ya oil clearance ndogo
Ni kweli kwamba injini ya FB20 ina tight tolerances. Lakini hitimisho la kutumia oil nzito si sahihi. Ndiyo maana mtengenezaji ametaja oil nyepesi ya 0W-20 badala ya 5W-30. Oil nzito hupunguza oil flow kwenye maeneo nyeti ya engine, huchelewesha lubrication wakati wa kuwasha, na huongeza uchakavu wa crankshaft na bearings baada ya muda.

3. Kauli kwamba “SJ5 inakula oil na head gasket inaharibika kirahisi”
Hapa mkuu matatizo mawili tofauti yamechanganywa:

a) Kula oil husababishwa na kuchelewesha kubadili oil, kutumia oil isiyo sahihi au fake, uwepo wa tope la oil kwenye engine, oil kuvuja sababu ya kuchaa kwa seal za valve n.k. Hili si tatizo la Subaru SJ5 pekee.

b) Head gasket failure mara nyingi husababishwa na overheating, oil kuchelewa kusambaa kwenye injini, matumizi ya oil isiyo sahihi kama hivyo kuweka 5W30 badala ya 0W20, tatizo la cooling system n.k

4. Hoja ya 5W-30 kuua engine
Hoja hii ina sehemu ya ukweli, si kwa sababu 5W-30 ni oil mbaya, bali kwa sababu FB20 haikubuniwa kwa oil hiyo. Uzito wake husababisha kuchelewa kwa lubrication, kuongezeka kwa msuguano na uchakavu wa bearings. Hapo lazima engine ife.

Matatizo mengi ya magari ya kisasa yanatokana na kusikiliza ushauri wa kubahatisha au kukariri teknolojia za zamani. Ukifuata maelekezo ya mtengenezaji, injini itadumu bila matatizo makubwa.

Nimetumia 0W20 kwenye RVR na Prius kwa miaka, sikuona shida. Shida inaanza ukianza kuweka ubunifu wako.
Vipi kuhusu high mileage vs low mileage? Kuna notion kwamba gari ikishatembea sana unatakiwa upande grade ya oil.
Mfano gari iliotoka na 5w30 spec iki clock 100k wanashauri utumie 5w40. Hio unazungumziaje? Binafsi nimetumia sana 5w40 kwenye gari ambazo manufacturer anasema tumia 5w30.
 
Natumia Atlantic, anayeniuzia sijui nimuite dealer au la, ila duka lake anauza brand hii tu miaka na miaka. Anasema anachukua direct toka kwa importer.View attachment 3524605
Habari hii Neoteric Atlantic 0w 20 nayo ni nzuri kwa subaru ama hiyo full synthetic, vipi kuhusu tofouti kati ya hivi vilainishi viwili?

Atlantic Neotric Vs Atlantic Full Synthetic oil?
 
Attachments

  • Screenshot_20260105_234834_Instagram.jpg
    Screenshot_20260105_234834_Instagram.jpg
    194.3 KB · Views: 29
Hayo masubr xt,fx yametengezw kwenye mataifa ya barid san ndio maan huku bongo mifumo ya oil na cooling system lzm zfe mapem
unaongea kitu usichokijua mkuu... siyo kila nchi ni ya baridi..huko uarabuni, india, na baadhi ya maeneo mengi ya asia hizi gari zimejaa sana kuliko hata huku kwetu, na hizo zote ni nchi zenye joto kali sana kuliko hata huku kwetu
Sasa wao wanatumia mbinu gani?

Subaru inakubalika sana na USA maeneo kama Califonia kuna wakati joto linakuwa kali mpaka lami zina yeyuka na kuwa kama tope .... na bado watumiaji wa subaru wapo...
usikariri kwamba kila nchi ya wazungu basi kila mahali kuna baridi kuna maeneo ya joto tena kali kuliko huku kwetu. Tatizo letu waafrika wengi ni
1. Mazoea.
2.Kependa vitu vya bei rahisi...kuanzia spare, oil na gharama za matengenezo
3. Kukariri na kutokushaurika....utasikia, Nina fundi wangu.......
4.ubishi... kila mtu anajifanya mjuaji
5.Kutokubali kushindwa, fundi hajui kitu ila kuliko akiri ukweli kwamba hajui bora ang'angane hivyo hivyo

kweli huku kwetu kuna joto lakini siyo kigezo cha kujitetea kwa maana zipo nchi zenye joto kali kuliko huku na wanaishi vizuri tu nahizo gari.
 
Back
Top Bottom