Subaru forester SJ5 / FB20 ni mgonjwa wa kansa anayetembea barabarani

Subaru forester SJ5 / FB20 ni mgonjwa wa kansa anayetembea barabarani

Nausubiri kwa hamu sana huu uchambuzi mkuu, pia nilisikia unaweza fanya convention kutoka tearing ya umeme ukaweka hydrologic kwenye non turbo ni kweli? Pia nasikia ej20 non turbo zinaua sana head gasket. Ni nin sababu?!
Mafundi wengi wabadilsha kutoka kwenye umeme Hadi hydraulic system.
Non turbo ukiendesha vizuri yaani kutoipa stress engine inadumu sana

Changamoto kila gari inayo , non turbo zinahitaji acceleration yenye adabu Kwa MTU ambaye anaendesha gari Kwa revs za juu wakati wote hii gari haikufai
 
Ndugu zangu tunaenda kufunga mwaka wapo wenye ndoto mbalimbali hapo mwakani katika kununua magari.
Kwa wale ndugu zangu wenye ndoto za kumiliki Subaru forester nawaomba waaachane na Subaru forester SJ5 yenye code engine ya FB20 non turbo ( forester ya 2013 - 2016)

Nimekutana na ushahuda wa wamiliki na mafundi wa Subaru wote wanalalamika hii gari.....Mafundi na influences WA mitandaoni wamewaingiza watu chaka Kwa kuwaaminisha kuwa SJ5 ndiyo chaguo Sahihi eti kwasababu haina turbo ila Kwasasa wanatamani wangenunua kama XT zetu

Je ubovu wa SJ5 upo wapi?
  • Kwanza hiyo gari inatumia oil zenye weight ndogo Sana yaani 0W - 20 hivyo kwenye joto hiyo oil inakuwa nyepesi kama konyaji.au Kvant.
  • oil clearance Kati ya crankshaft pamoja bearing za piston yaani main na con ni ndogo Sana kwahiyo oil iweze kupita katikati unahitaji oil filter Bora na oil Sahihi
  • Hii gari inakula oil Sana na cylinder head gasket inakufa kirahisi tofauti na matoleo yote ya Subaru forester.
  • 0W - 20 ni Aina ya oil ambayo sio rafiki Sana Kwa mazingira ya nchi zetu za tropical kwasababu ( kuna baadhi ya mafundi wameshauri wameshauri wateja wao watumie 5W - 30 na bado wameua engine zao).

Baadhi ya mafundi wenye Akili Toka kitambo walishauri Subaru forester SJG / FA 20 ni Bora kuliko hizo non turbo ila watu walibeza ushauri ule na sasa wamesadiki ushauri wako

..... Je unahitaji Subaru forester Aina gani itakufaa....

  • Subaru forester XT 2008-20012 ( Hii ninayo najua kiundani Sana
  • Subaru forester EJ 20 non turbo 2008-20012 hii gari roho ya paka
  • Subaru forester SJG/ FA 20 ya 2013-2016
View attachment 3523250
Ukinunua andika na urithi na kama hujastaafu hakikisha watoto wa nje wana maandishi kabisa ya mzigo waooahsante sana
 
Mafundi wengi wabadilsha kutoka kwenye umeme Hadi hydraulic system.
Non turbo ukiendesha vizuri yaani kutoipa stress engine inadumu sana

Changamoto kila gari inayo , non turbo zinahitaji acceleration yenye adabu Kwa MTU ambaye anaendesha gari Kwa revs za juu wakati wote hii gari haikufai
Nakukubari kaka, vp kwa upande wa mafuta nackia kwa sher zetu za huku mikoani zinapelekea sana kuua engene kwasabab inahitaj mafuta masafi ( high octane ) ni kweli? Na kama ni kwel ni njia gan ya kuilinda engene kwa huku mikoani ambapo total na puma hawapo
 
Nakukubari kaka, vp kwa upande wa mafuta nackia kwa sher zetu za huku mikoani zinapelekea sana kuua engene kwasabab inahitaj mafuta masafi ( high octane ) ni kweli? Na kama ni kwel ni njia gan ya kuilinda engene kwa huku mikoani ambapo total na puma hawapo
Hapo hakuna namna aisee ya kuiponya gari na mafuta machafu..Kwa magari yote ya kisasa yanahitaji mafuta Safi

Haya magari ya sasa yanahitaji UNLEADED PETROL Tu , mafuta yenye octane kuanzia 93-98 .
Zaidi ya hapo ni Bora uachane na Subaru aisee.

PUMA
TOTAL ENERGIES
PETROAFRICA
AFROIL
ENGENE
Kama hayo makampuni hayapo utapata shida Sana kubadilisha plug kilasiku na utauwa engine yako
 
Hapo hakuna namna aisee ya kuiponya gari na mafuta machafu..Kwa magari yote ya kisasa yanahitaji mafuta Safi

Haya magari ya sasa yanahitaji UNLEADED PETROL Tu , mafuta yenye octane kuanzia 93-98 .
Zaidi ya hapo ni Bora uachane na Subaru aisee.

PUMA
TOTAL ENERGIES
PETROAFRICA
AFROIL
ENGENE
Kama hayo makampuni hayapo utapata shida Sana kubadilisha plug kilasiku na utauwa engine yako
Ah kumbe kumbe afroil wanatoa mafuta safi, bas ipo mana nilidhan ni total na puma pekee
 
EJ20 non turbo na turbocharger zote ni engine ngumu Sana kama utafaulu kwenye matunzo ingawa non turbo haina masharti mengi kuliko turbochargers

Kwenye kufanya uchaguzi ipi uende nayo angalia Kwanza wewe mwenyewe ni MTU mwenye tabia gani kwenye magari hasa kwenye umakini wa utunzaji gari....non turbo ni engine ambayo haina stress za turbo, head gasket.
Ugonjwa wake mkubwa ni sterling reck Tu kwasababu hizi non turbo zinatumia umeme tofauti hizi za turbo ambazo zinatumia hydraulic oil.
Wewe kama MTU wa kwenda kazini na kurudi na haina safari nyingi za mikoani hii non turbo itakufaa Sana kutokana na fuel consumption yake, non turbo inakula vizuri Sana mafuta kwasababu hii gari IPO limited na option ya economic mode .

Huku kwenye turbocharger sio rafiki kwenye fuel consumption ila ni tamu Sana safari ndefu na nguvu iliyopo huku ni balaa kubwa Sana hii inazalisha HP 230 tofauti na non turbo ambayo ni HP 170

Nitakuja na uchambuzi kamili juu hizi gari mbili soon
Uraji wa mafuta let say lita 1 km ngapi
Niko kwenye kusaka gari la kutembelea
 
Nimetulizana na Toyota wangu. Na leo anabadilisha fen belt. Na brake
Kazi ni kipimo cha utu
 
Kwa gari hizo zenye engine ya FB20 nashauri tumia 0W20......hiyo unayotumia ni kwa gari zenye turbo.
Mimi natumia SHJ always natumia 0W20 sijawahi pata shida
SHJ ni bulletproof engine....hii ni Kati ya engine zenye kuhimili shida kutoka kampuni ya Subaru
 
wakurungwa naomba mnifahamishe "coolant" sahihi kwa jili ya subaru SJ5 tafadhali
Products za Atlantic Wana coolant zenye ubora mkubwa Sana tafuta hiyo brand na rangi iwe kijani au nyekundu.
Kuhusu namba Sahihi za coolant za SJ5 bado sijui
 
Mimi natumia oil ya PUMA 5W30 Full Synthetic Oil na nanunua mwenyewe kwenye vituo vya PUMA na Filrer natumia ambayo ni Genuine na nanunua mwenyewe kwenye duka linalouza vifaa vya Subaru. Kila baada ya km 5,000 nafanya service ya kubadilsiha Oil Filter na Engine Oil. (Oil hii unaweza ukaenda km 10,000 hadi 15,000 kutegemea na mazingira ya barabarani)

Epuka kununua oil maduka ya kawaida, nyingi zimechakachuliwa, nenda mwenyewe kwenye vituo vya Mafuta vinavyoamimika nunua oil ambayo ni Full Synthetic.

Mafundi wengi wanashauri kutumia Oil ambazo sio bora, zimechakachuliwa kama Atlantic, hao ni wa kuwaogopa.

Na Subaru ukiwasha sio uondoke muda huo, subiria taa ya temperature izime ndio uondoe gari. Kuna magari mengine kama ya Ulaya ukiwasha hakuna cha kusibiria Oil ipate joto, ninkuondoka kwa speed ndogo kwa muda fulani.

Tujitahidi kabla ya kununua gari tupitie Manual yake na pia tupitiie kwenye websites tofauti ikiwemo YouTube kuifahamu vizuri gari tunazotaka kununua.

Hakikisha unatumia oil ambazo ni Genuine na Oil Filter ambazo nazo ni Genuine na uzingatie kufanya Service kwa wakati
Ushamaliza hapa 👊
 
Back
Top Bottom