Subaru forester SJ5 / FB20 ni mgonjwa wa kansa anayetembea barabarani

unaongea kitu usichokijua mkuu... siyo kila nchi ni ya baridi..huko uarabuni, india, na baadhi ya maeneo mengi ya asia hizi gari zimejaa sana kuliko hata huku kwetu, na hizo zote ni nchi zenye joto kali sana kuliko hata huku kwetu
Sasa wao wanatumia mbinu gani?

Subaru inakubalika sana na USA maeneo kama Califonia kuna wakati joto linakuwa kali mpaka lami zina yeyuka na kuwa kama tope .... na bado watumiaji wa subaru wapo...
usikariri kwamba kila nchi ya wazungu basi kila mahali kuna baridi kuna maeneo ya joto tena kali kuliko huku kwetu. Tatizo letu waafrika wengi ni
1. Mazoea.
2.Kependa vitu vya bei rahisi...kuanzia spare, oil na gharama za matengenezo
3. Kukariri na kutokushaurika....utasikia, Nina fundi wangu.......
4.ubishi... kila mtu anajifanya mjuaji
5.Kutokubali kushindwa, fundi hajui kitu ila kuliko akiri ukweli kwamba hajui bora ang'angane hivyo hivyo

kweli huku kwetu kuna joto lakini siyo kigezo cha kujitetea kwa maana zipo nchi zenye joto kali kuliko huku na wanaishi vizuri tu nahizo gari.
Nmeongea kutoka na changamoto ya cooling system kwakuwa nishaimilk pia, aksnt kwa maarfa zaid
 
CX5 pia walisema zina shida ila zimejaa mtaani. Yaani gari yoyote ambayo sio Toyota inasemekana ina shida.
Nilifatilia hii gari, shida wanazo sema shida sio shida. Hizo gari hazitaki shortcut au janja kwenye services . Tatizo la watumiaji nao wanasaka njia fupi hapo ndio vinaumana
 
Hivi ufeki wa hizi oil huwa upo kwenye nini? Ubora hafifu or hizo namba 10W30 zinakuwa siyo zenyewe?

Mimi ninayefanya service kwa wakati baada ya miezi 6 au 2000Km natoboa kwa oil hizi?
 
Namba ziko sawa ila oil yenyewe sio ya kiwango kama cha Castrol ni wajanja tu wana-refill huko Tabata.
 
Ndugu zangu tunaenda kufunga mwaka wapo wenye ndoto mbalimbali hapo mwakani katika kununua magari.
Kwa wale ndugu zangu wenye ndoto za kumiliki Subaru forester nawaomba waaachane na Subaru forester SJ5 yenye code engine ya FB20 non turbo ( forester ya 2013 - 2016)

Nimekutana na ushahuda wa wamiliki na mafundi wa Subaru wote wanalalamika hii gari.....Mafundi na influences WA mitandaoni wamewaingiza watu chaka Kwa kuwaaminisha kuwa SJ5 ndiyo chaguo Sahihi eti kwasababu haina turbo ila Kwasasa wanatamani wangenunua kama XT zetu

Je ubovu wa SJ5 upo wapi?
  • Kwanza hiyo gari inatumia oil zenye weight ndogo Sana yaani 0W - 20 hivyo kwenye joto hiyo oil inakuwa nyepesi kama konyaji.au Kvant.
  • oil clearance Kati ya crankshaft pamoja bearing za piston yaani main na con ni ndogo Sana kwahiyo oil iweze kupita katikati unahitaji oil filter Bora na oil Sahihi
  • Hii gari inakula oil Sana na cylinder head gasket inakufa kirahisi tofauti na matoleo yote ya Subaru forester.
  • 0W - 20 ni Aina ya oil ambayo sio rafiki Sana Kwa mazingira ya nchi zetu za tropical kwasababu ( kuna baadhi ya mafundi wameshauri wameshauri wateja wao watumie 5W - 30 na bado wameua engine zao).

Baadhi ya mafundi wenye Akili Toka kitambo walishauri Subaru forester SJG / FA 20 ni Bora kuliko hizo non turbo ila watu walibeza ushauri ule na sasa wamesadiki ushauri wako

..... Je unahitaji Subaru forester Aina gani itakufaa....

  • Subaru forester XT 2008-20012 ( Hii ninayo najua kiundani Sana
  • Subaru forester EJ 20 non turbo 2008-20012 hii gari roho ya paka
  • Subaru forester SJG/ FA 20 ya 2013-2016
View attachment 3523250

Mwenye pesa hachagui wala hachaguliwi gari la kununua.

Asiye na pesa ndiye hushinda mtandaoni akisema gari fulani si zuri au halifai kununuliwa.

TAFUTENI PESA!
 
Naomba elimu juu ya hiyo xt ambao unayo na non turbo ej20. Na unashauli ipi itanifaa kutoka kwenye rumion 2010 2ZR-FAE, valve matic technology
 
EJ20 non turbo na turbocharger zote ni engine ngumu Sana kama utafaulu kwenye matunzo ingawa non turbo haina masharti mengi kuliko turbochargers

Kwenye kufanya uchaguzi ipi uende nayo angalia Kwanza wewe mwenyewe ni MTU mwenye tabia gani kwenye magari hasa kwenye umakini wa utunzaji gari....non turbo ni engine ambayo haina stress za turbo, head gasket.
Ugonjwa wake mkubwa ni sterling reck Tu kwasababu hizi non turbo zinatumia umeme tofauti hizi za turbo ambazo zinatumia hydraulic oil.
Wewe kama MTU wa kwenda kazini na kurudi na haina safari nyingi za mikoani hii non turbo itakufaa Sana kutokana na fuel consumption yake, non turbo inakula vizuri Sana mafuta kwasababu hii gari IPO limited na option ya economic mode .

Huku kwenye turbocharger sio rafiki kwenye fuel consumption ila ni tamu Sana safari ndefu na nguvu iliyopo huku ni balaa kubwa Sana hii inazalisha HP 230 tofauti na non turbo ambayo ni HP 170

Nitakuja na uchambuzi kamili juu hizi gari mbili soon
 
Nausubiri kwa hamu sana huu uchambuzi mkuu, pia nilisikia unaweza fanya convention kutoka tearing ya umeme ukaweka hydrologic kwenye non turbo ni kweli? Pia nasikia ej20 non turbo zinaua sana head gasket. Ni nin sababu?!
 
EJ20 non turbo na turbocharger zote ni engine ngumu Sana kama utafaulu kwenye matunzo ingawa non turbo haina masharti mengi kuliko turbochargers

Kwenye kufanya uchaguzi ipi uende nayo angalia Kwanza wewe mwenyewe ni MTU mwenye tabia gani kwenye magari hasa kwenye umakini wa utunzaji gari....non turbo ni engine ambayo haina stress za turbo, head gasket.
Ugonjwa wake mkubwa ni sterling reck Tu kwasababu hizi non turbo zinatumia umeme tofauti hizi za turbo ambazo zinatumia hydraulic oil.
Wewe kama MTU wa kwenda kazini na kurudi na haina safari nyingi za mikoani hii non turbo itakufaa Sana kutokana na fuel consumption yake, non turbo inakula vizuri Sana mafuta kwasababu hii gari IPO limited na option ya economic mode .

Huku kwenye turbocharger sio rafiki kwenye fuel consumption ila ni tamu Sana safari ndefu na nguvu iliyopo huku ni balaa kubwa Sana hii inazalisha HP 230 tofauti na non turbo ambayo ni HP 170

Nitakuja na uchambuzi kamili juu hizi gari mbili soon
Pia muda wa kubadiri tyming belt ni kuda gan and gharama zake kama una idea nayo
 
Back
Top Bottom