IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,878
- 7,526
Isuzu Trooper MnyamaDuh wife anaipenda sana. Sass gari ipi mbadala ya kijapan?
Isuzu Trooper MnyamaDuh wife anaipenda sana. Sass gari ipi mbadala ya kijapan?
Hii niliacha kuitumia baada ya PUMA kuachana nao, kuna fake sana ya hizi oil, kuwa makini sana.Tumia hii oil utanishukuru Kwa miaka mingi Sana mbeleView attachment 3523564
Hiyo nayo pasua hasa cooling systemMwambie aingie kwenye Subaru forester EJ 20 non turbo ya 2009
Aisee uwa naielewa sana. Sasa hii nayo tuitoe kwenye bucket list, CX5 mshatukataza. Mbona SUV zimevamiwa?
Hii ni maajabuYaani aache gari ya 2015 anunue ya 2009?
Wabongo wakinunua gari hawajishughulishi kusoma manual za gari hizo.Ninayo na nimeshatembelea zaidi ya km elfu 40 na oil naweka 5W30 sijakumbana na tatizo lolote.
Hao mafundi ni feki, wanatumia vitu feki.
Aisee Dar kuna CX5 nyingi aiseeCX5 pia walisema zina shida ila zimejaa mtaani. Yaani gari yoyote ambayo sio Toyota inasemekana ina shida.
Castrol Original kuipata shughuli kweli. Nadhani ndio oil inayoongoza kwa kuchakachuliwa. Toka wavunje ushirikiano na Puma, sijui ata mnanunua wapi OG.Tumia hii oil utanishukuru Kwa miaka mingi Sana mbeleView attachment 3523564
Puma niliwafuata kununua 0W20 hawana. Option zikabaki mbili tu, Atlantic au Liquimolly. Nasikia Castrol wanazo ila naiogopa sana Castrol.Mimi natumia oil ya PUMA 5W30 Full Synthetic Oil na nanunua mwenyewe kwenye vituo vya PUMA na Filrer natumia ambayo ni Genuine na nanunua mwenyewe kwenye duka linalouza vifaa vya Subaru. Kila baada ya km 5,000 nafanya service ya kubadilsiha Oil Filter na Engine Oil. (Oil hii unaweza ukaenda km 10,000 hadi 15,000 kutegemea na mazingira ya barabarani)
Epuka kununua oil maduka ya kawaida, nyingi zimechakachuliwa, nenda mwenyewe kwenye vituo vya Mafuta vinavyoamimika nunua oil ambayo ni Full Synthetic.
Mafundi wengi wanashauri kutumia Oil ambazo sio bora, zimechakachuliwa kama Atlantic, hao ni wa kuwaogopa.
Na Subaru ukiwasha sio uondoke muda huo, subiria taa ya temperature izime ndio uondoe gari. Kuna magari mengine kama ya Ulaya ukiwasha hakuna cha kusibiria Oil ipate joto, ninkuondoka kwa speed ndogo kwa muda fulani.
Tujitahidi kabla ya kununua gari tupitie Manual yake na pia tupitiie kwenye websites tofauti ikiwemo YouTube kuifahamu vizuri gari tunazotaka kununua.
Hakikisha unatumia oil ambazo ni Genuine na Oil Filter ambazo nazo ni Genuine na uzingatie kufanya Service kwa wakati
Yeah, tatizo SUV za Toyota ni chache hafu watoto wa mjini hawaoni zimekaa kisport wanaona zimekaa kifaza.Hiyo nayo pasua hasa cooling system
Kwann msiishi kwenye Toyota za kishua,
Mkuu, usiweke oil ambayo haijawa recommended kwenye manual ya gari yako.Unatumia Aina gani ya oil mkuu maana wengine wametumia 5W - 30 bado engine zimekufa
Ukija JF kuna nyuzi mfululizo unaambiwa usinunueAisee Dar kuna CX5 nyingi aisee
Subaru Forester naionaga kali sana pia Dar zimejazana sana.Ukija JF kuna nyuzi mfululizo unaambiwa usinunue
Kwani outlander PHEV ina ubaya gani?Aisee uwa naielewa sana. Sasa hii nayo tuitoe kwenye bucket list, CX5 mshatukataza. Mbona SUV zimevamiwa?
Tutakosa maneno basi? Tutasema gearbox CVT ila inavumilika fresh tu. Kama wanavyoshauri ni kwanza kulijua gari, pili service on time na tatu mafundi + vifaa high qualityKwani outlander PHEV ina ubaya gani?
Ni shingapi hii kwa show room?Mwambie aingie kwenye Subaru forester EJ 20 non turbo ya 2009
Ukihitaji nambie nikutumie unapokea hapo daslm kutoka kwenye Truck iliyobeba kutoka SA kit yote ya Service ya gari ila gari ziwe hizi za Mabeberu ndio kaburu anazo..Castrol Original kuipata shughuli kweli. Nadhani ndio oil inayoongoza kwa kuchakachuliwa. Toka wavunje ushirikiano na Puma, sijui ata mnanunua wapi OG.
0W20 PUMA hawana.Puma niliwafuata kununua 0W20 hawana. Option zikabaki mbili tu, Atlantic au Liquimolly. Nasikia Castrol wanazo ila naiogopa sana Castrol.