PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,521
- 46,663
Nazipenda subaru lakini nazichukia sana.Ndugu zangu tunaenda kufunga mwaka wapo wenye ndoto mbalimbali hapo mwakani katika kununua magari.
Kwa wale ndugu zangu wenye ndoto za kumiliki Subaru forester nawaomba waaachane na Subaru forester SJ5 yenye code engine ya FB20 non turbo ( forester ya 2013 - 2016)
Nimekutana na ushahuda wa wamiliki na mafundi wa Subaru wote wanalalamika hii gari.....Mafundi na influences WA mitandaoni wamewaingiza watu chaka Kwa kuwaaminisha kuwa SJ5 ndiyo chaguo Sahihi eti kwasababu haina turbo ila Kwasasa wanatamani wangenunua kama XT zetu
Je ubovu wa SJ5 upo wapi?
- Kwanza hiyo gari inatumia oil zenye weight ndogo Sana yaani 0W - 20 hivyo kwenye joto hiyo oil inakuwa nyepesi kama konyaji.au Kvant.
- oil clearance Kati ya crankshaft pamoja bearing za piston yaani main na con ni ndogo Sana kwahiyo oil iweze kupita katikati unahitaji oil filter Bora na oil Sahihi
- Hii gari inakula oil Sana na cylinder head gasket inakufa kirahisi tofauti na matoleo yote ya Subaru forester.
- 0W - 20 ni Aina ya oil ambayo sio rafiki Sana Kwa mazingira ya nchi zetu za tropical kwasababu ( kuna baadhi ya mafundi wameshauri wameshauri wateja wao watumie 5W - 30 na bado wameua engine zao).
Baadhi ya mafundi wenye Akili Toka kitambo walishauri Subaru forester SJG / FA 20 ni Bora kuliko hizo non turbo ila watu walibeza ushauri ule na sasa wamesadiki ushauri wako
..... Je unahitaji Subaru forester Aina gani itakufaa....
View attachment 3523250
- Subaru forester XT 2008-20012 ( Hii ninayo najua kiundani Sana
- Subaru forester EJ 20 non turbo 2008-20012 hii gari roho ya paka
- Subaru forester SJG/ FA 20 ya 2013-2016
My next car is Subaru ForesterNdugu zangu tunaenda kufunga mwaka wapo wenye ndoto mbalimbali hapo mwakani katika kununua magari.

Mwambie aingie kwenye Subaru forester EJ 20 non turbo ya 2009Duh wife anaipenda sana. Sass gari ipi mbadala ya kijapan?
Chukua yenye turbo usiogope ni imara zaidi kuliko hiyo non turboAiseeee mbona kama nimevinjika moyo kabisa
Yaani aache gari ya 2015 anunue ya 2009?Mwambie aingie kwenye Subaru forester EJ 20 non turbo ya 2009
CX5 pia walisema zina shida ila zimejaa mtaani. Yaani gari yoyote ambayo sio Toyota inasemekana ina shida.Aisee uwa naielewa sana. Sasa hii nayo tuitoe kwenye bucket list, CX5 mshatukataza. Mbona SUV zimevamiwa?
Kahama,mwanza cx5 ni kama zime geuka ist, yaani ni nyingi kinyama.CX5 pia walisema zina shida ila zimejaa mtaani. Yaani gari yoyote ambayo sio Toyota inasemekana ina shida.
Unatumia Aina gani ya oil mkuu maana wengine wametumia 5W - 30 bado engine zimekufaNinayo na nimeshatembelea zaidi ya km elfu 40 na oil naweka 5W30 sijakumbana na tatizo lolote.
Hao mafundi ni feki, wanatumia vitu feki.
Waswahili wanasema kupanga ni kuchagua nunua SJ5 ili baadae ununue engine mpya Kwa Tsh milioni 10 au nunua Subaru forester SJG ili turbo ikifa ununue Kwa laki 9Aisee uwa naielewa sana. Sasa hii nayo tuitoe kwenye bucket list, CX5 mshatukataza. Mbona SUV zimevamiwa?
Mimi natumia oil ya PUMA 5W30 Full Synthetic Oil na nanunua mwenyewe kwenye vituo vya PUMA na Filrer natumia ambayo ni Genuine na nanunua mwenyewe kwenye duka linalouza vifaa vya Subaru. Kila baada ya km 5,000 nafanya service ya kubadilsiha Oil Filter na Engine Oil. (Oil hii unaweza ukaenda km 10,000 hadi 15,000 kutegemea na mazingira ya barabarani)Unatumia Aina gani ya oil mkuu maana wengine wametumia 5W - 30 bado engine zimekufa
Hakuna Engine ya laki 9!Waswahili wanasema kupanga ni kuchagua nunua SJ5 ili baadae ununue engine mpya Kwa Tsh milioni 10 au nunua Subaru forester SJG ili turbo ikifa ununue Kwa laki 9
Naona haujaelewa hapo ni hivi engine SJG kama itazingua basi ni turbo Tu huwezi kuona inabadilishwa engine nzima kama ilivyo Kwa SJ5.Hakuna Engine ya laki 9!
SJG bei ya Engine ni gali kuliko ya SJ5,
Tumia hii oil utanishukuru Kwa miaka mingi Sana mbeleMimi natumia oil ya PUMA 5W30 Full Synthetic Oil na nanunua mwenyewe kwenye vituo vya PUMA na Filrer natumia ambayo ni Genuine na nanunua mwenyewe kwenye duka linalouza vifaa vya Subaru. Kila baada ya km 5,000 nafanya service ya kubadilsiha Oil Filter na Engine Oil. (Oil hii unaweza ukaenda km 10,000 hadi 15,000 kutegemea na mazingira ya barabarani)
Epuka kununua oil maduka ya kawaida, nyingi zimechakachuliwa, nenda mwenyewe kwenye vituo vya Mafuta vinavyoamimika nunua oil ambayo ni Full Synthetic.
Mafundi wengi wanashauri kutumia Oil ambazo sio bora, zimechakachuliwa kama Atlantic, hao ni wa kuwaogopa.
Na Subaru ukiwasha sio uondoke muda huo, subiria taa ya temperature izime ndio uondoe gari. Kuna magari mengine kama ya Ulaya ukiwasha hakuna cha kusibiria Oil ipate joto, ninkuondoka kwa speed ndogo kwa muda fulani.
Tujitahidi kabla ya kununua gari tupitie Manual yake na pia tupitiie kwenye websites tofauti ikiwemo YouTube kuifahamu vizuri gari tunazotaka kununua.
Hakikisha unatumia oil ambazo ni Genuine na Oil Filter ambazo nazo ni Genuine na uzingatie kufanya Service kwa wakati