Subaru mnatufilisi, Gari zinakunywa mafuta kama zinameza!

subaru legacy turbo/forester turbo,markx,crown kaa nazo mbali kama una bajeti ya mwendokasi...
 
Mmenigusa jamani hata mm nimenunua Noah nimejaza full tank nimetembea km 240 yaan sijailewa kabisa
 
Sina cha kuongezea zaidi.
Haijawahi ni letdown
Routes za Nairobi -Mza-A town-Dar-Lusaka-Bjmbra
 
kwa hiyo kila baada ya km 5 unalipa 2000 ya petrol,duuh aya tfanye unatoka dar to songea km kama 1000,watu wa mahesabu njooni hapa

Hizo gari kwasafari ndefu kama hiyo utaifurahia ni 1ltr kwa 11km balaa lake ni ilemisele ya town full tank ni km 300 minilishaipaki imebaki kwa matumizi ya safari ndefu
 
Mkuu unataka kuniambia verossa inakula mafuta kdogo kuliko Brevis
 
Atakuwa alininunu Cross Sport
Au WRX hizo ninshida unakuta ina 2000CC lakini ni shida
Au ulikuwau unatembea upande wa Manual nishida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…