Subaru mnatufilisi, Gari zinakunywa mafuta kama zinameza!

Subaru mnatufilisi, Gari zinakunywa mafuta kama zinameza!

subaru legacy turbo/forester turbo,markx,crown kaa nazo mbali kama una bajeti ya mwendokasi...
 
Mkuu hiyo gari ina high perfomance engine 2000cc.
Watu wengi wana iconfuse na kufikiri ni sawa na Corolla!

Hii gari ni kiboko, ina perfomance bora kuliko Chaser au gari inayolingana na Chaser.

Ukitaka kuijua Subaru piga long trip kama Mbeya au Arusha ndo uyaiheshimu.
Its a leader in its class.
Sina cha kuongezea zaidi.
Haijawahi ni letdown
Routes za Nairobi -Mza-A town-Dar-Lusaka-Bjmbra
 
kwa hiyo kila baada ya km 5 unalipa 2000 ya petrol,duuh aya tfanye unatoka dar to songea km kama 1000,watu wa mahesabu njooni hapa

Hizo gari kwasafari ndefu kama hiyo utaifurahia ni 1ltr kwa 11km balaa lake ni ilemisele ya town full tank ni km 300 minilishaipaki imebaki kwa matumizi ya safari ndefu
 
Consumption yake iko juu... Specially zile zenye D4 tu... Afadhali zenye vvti... All in all niliweka lita 60.... Moro to iringa umbali wa km. 330.... Kwel nilikua nakimbia mpk 180.... Kufika iringa ngoma imewasha taa... Wakati huwa nikisafiri na verossa ya 1g fe kwa spidi hiyo hiyo natumia nusu tank tu...
Mkuu unataka kuniambia verossa inakula mafuta kdogo kuliko Brevis
 
Atakuwa alininunu Cross Sport
Au WRX hizo ninshida unakuta ina 2000CC lakini ni shida
Au ulikuwau unatembea upande wa Manual nishida
 
Back
Top Bottom