Quarts 9000 ya total nenda ununue kwenye vituo vyao madukani wengi wanachakachua sababu bei yake imesimama usitumie nyingine unless ninsythetic oilMkuu hebu funguka zaidi ni oil gani nzuri kwa subaru legacy twin turbo? pia labda tujuze madhara ya kuweka filter ya kichina.
Rav4 haina engine ya high performance sports kama Subaru.kama ni 2000cc bado ulaji ni wakawaida tu haina tofauti na Rv4
Hivi hamna fundi anayerekebisha ulaji mafuta hili ni janga
Nineweka full tank lita 65 ajabu nimetembea km 350 mafuta kwishney leo nimejaza tena
ulitakiwa kwenda km 400 na kdogo!Nineweka full tank lita 65 ajabu nimetembea km 350 mafuta kwishney leo nimejaza tena
Yanakujaje haya tena jaman,, unajua kipato chake ,unajua kawekeza nn au hata akija kuikosa hiyo hela atakufata umsaidie " kila mmoja na lifestyle yake bana.... Hebu kama huna uwezo tuachie muendelezo wetu"""".
Daaaaa! Inaonyesha ni jinsi gani hamna mawazo yakinifu hamkai na kupanga maisha kwa pamoja unaendeshwa na upepo , halafu unasema uwezo wa kununua upo , leo 10 m unaiona ndogo ipo siku utaiona ni kubwa. Na ipo siku atakwambia sitaki kumuona Mama yako hapo nyumbani .
DUUUUUUUUUUUU..MM IST LITA 40 NAFIKA MARANGU NA CHENCHI NARUDISHA,,YANA NINI CHA AJABU ZAID YA KELELENineweka full tank lita 65 ajabu nimetembea km 350 mafuta kwishney leo nimejaza tena
Sasa ulitaka inywe mtori[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Nineweka full tank lita 65 ajabu nimetembea km 350 mafuta kwishney leo nimejaza tena
Consumption yake iko juu... Specially zile zenye D4 tu... Afadhali zenye vvti... All in all niliweka lita 60.... Moro to iringa umbali wa km. 330.... Kwel nilikua nakimbia mpk 180.... Kufika iringa ngoma imewasha taa... Wakati huwa nikisafiri na verossa ya 1g fe kwa spidi hiyo hiyo natumia nusu tank tu...Wakuu Brevis nazo zipoje kwenye ulaji wa mafuta