kikaragosi
Senior Member
- Nov 14, 2010
- 112
- 10
baki na body la subaru thn engine ya corrola umemaliza utata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana yake,
Ukihonga Simu, wenzio wanahonga Vocha!!
Nineweka full tank lita 65 ajabu nimetembea km 350 mafuta kwishney leo nimejaza tena
..utaiharibu tu..Hivi hamna fundi anayerekebisha ulaji mafuta hili ni janga
..dada kikaragosi hicho kikaragosi kwenye avatar ya ko mbona utata ?? huu ndo tunaita uchochezi...baki na body la subaru thn engine ya corrola umemaliza utata
Vijana wengi wa Arusha wamenunua Subaru wakifurahia ule mlio wake lakini wamesahau ufahali nyumba ya umaskini hasa kama hela yenyewe ya kujichanga changa!
Subaru haifai kwa kiwese.
Mkuu watu wananua magari bila kujua matumizi yake.
Nimetumia Subaru matoleo mawili sasa, ya '98 na ya 2002.
Hizi gari hazikukopeshi, ni brilliant perfomers. Engine zake ni sports, hazikutengenezwa kubania mafuta bali ku-out perform.
Nilijaribu hilo katika mbuga za Makambako-Iringa.
Cruiser moja ilinipita kwa fujo, nami nikaamua kukanyaga mafuta.
Spidi zikifika zaidi ya 140km/hr. valves zinazibuka na kamnyama haka ka Subaru kana paa kirahisi sana hadi 180km/hr na mashine wala haipandishi temperature wakati wa high revs.
Kwa kifupi ile Cruiser nami tukawa ngoma droo hadi Iringa, na dereva mwenzangu wa Cruiser ilibidi akubali.
Hala hala lakini, kamchezo hako ni kwa wazoefu tu na pochi ikiruhusu.